Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Samia Must Go ni uhaini, unaenda kujitesa mwenyewe na kutesa familia za wenzako, Lissu mkewe na watoto hawako nchini, Lema naye ni hivyo hivyo mkewe analishwa na wazungu huko Canada.
Hiyo Samia Must Go akifa mtu siku hiyo mshtakiwa wa kwanza ni wewe kwa sababu dunia nzima imekusikia.
Samia must Go, sasa where does she go?
Mbeya mmepigwa hadi leo Mnyika hawezi kutembea vzr mnataka mpigwe tena hiyo trh 23.
Prof Lipumba ambaye ndiye mwanasiasa aliyeteseka zaidi anawazoom t.
Hakuna serikali itakayoangalia usalama wa Taifa ukihatarishwa.
Ujinga huu mnaoufanya leo Kagame alishaumaliza miaka kibao, kule Rwanda husikii kelele wala nini, majenerali wanastaafu na wanakimbia nchi yao wenyewe.
Tafuteni njia nyingine ya kudai haki lakini sio uhaini huu.
Nilikuonea huruma sana ulipokuwa na kesi wakati ule, nililia mimi kwa kukuonea huruma Mbowe, nikiona umenyolewa kipara nasikitika sana, Sasa naona unayatafuta babangu.
Nakushauri achana na mipango yako hiyo huwezi kudai Samia Must Go, otherwise jiandae kwa treason case