Mbowe, achana na Samia Must Go. Ni Uhaini mtupu na mtatesa familia zenu

Hizi ni tamathali ambazo zinajengwa ndani ya mioyo za watu anaweza huyo Mbowe asiwepo wala samia asiwepo lakini kukawa kumeingizwa spirit.Kwa sababu nchi hii tatizo siyo Samia tatizo ni mifumo, hata CDM kama inachukua nchi kwenye mifumo hii ya kiongozi wa nchi ndiyo kila kitu wanaweza wakawa wabaya zaidi kuliko CCM.
True
 
Watanzania wagumu mno kufanya mabadiliko na ni kwa sababu ya ujinga
Mabadiko kata society and yoyote ni Long process of kikubwa kinachotakiwa je hao wanao azisha vuguvugu ni watu sahihi, utaona watu kama wakina Mandela hawakuwa na interest zao binafsi ktk kupigania nchi ila kwetu hapa wengi wana interest zao binafsi
 
Hii nchi ya ajabu sana, CCM wenyewe hawamtaki Samia ndo Sembuse Mbowe. Samia nchi imemshinda
 
Samia Must Go ni uhaini, unaenda kujitesa mwenyewe na kutesa familia za wenzako, Lissu mkewe na watoto hawako nchini, Lema naye ni hivyo hivyo mkewe analishwa na wazungu huko Canada.

Hiyo Samia Must Go akifa mtu siku hiyo mshtakiwa wa kwanza ni wewe kwa sababu dunia nzima imekusikia.

Samia must Go, sasa where does she go?

Mbeya mmepigwa hadi leo Mnyika hawezi kutembea vzr mnataka mpigwe tena hiyo trh 23.

Prof Lipumba ambaye ndiye mwanasiasa aliyeteseka zaidi anawazoom t.

Hakuna serikali itakayoangalia usalama wa Taifa ukihatarishwa.

Ujinga huu mnaoufanya leo Kagame alishaumaliza miaka kibao, kule Rwanda husikii kelele wala nini, majenerali wanastaafu na wanakimbia nchi yao wenyewe.

Tafuteni njia nyingine ya kudai haki lakini sio uhaini huu.

Nilikuonea huruma sana ulipokuwa na kesi wakati ule, nililia mimi kwa kukuonea huruma Mbowe, nikiona umenyolewa kipara nasikitika sana, Sasa naona unayatafuta babangu.

Nakushauri achana na mipango yako hiyo huwezi kudai Samia Must Go, otherwise jiandae kwa treason case

HALAFU AKIACHANA NAYE AKUJIE WEWE? WATU MNA WIVU SANA.
 
Acha WENGE.
 
Mkuu, siyo Uhaini kusema Samia Must Fall. Inaweza kuwa ni mwanzo wa Kampeni zao kuelekea kwenye sanduku la kura 2025.
 
Keyboard warriors mnamshambulia mleta mada ila kwenye ground mnajificha. Hiyo kampeni ya Samia must go ni UHAINI.
 
Samia Must Go ni uhaini, unaenda kujitesa mwenyewe na kutesa familia za wenzako, Lissu mkewe na watoto hawako nchini, Lema naye ni hivyo hivyo mkewe analishwa na wazungu huko Canada.

Hiyo Samia Must Go akifa mtu siku hiyo mshtakiwa wa kwanza ni wewe kwa sababu dunia nzima imekusikia.

Samia must Go, sasa where does she go?

Mbeya mmepigwa hadi leo Mnyika hawezi kutembea vzr mnataka mpigwe tena hiyo trh 23.

Prof Lipumba ambaye ndiye mwanasiasa aliyeteseka zaidi anawazoom t.

Hakuna serikali itakayoangalia usalama wa Taifa ukihatarishwa.

Ujinga huu mnaoufanya leo Kagame alishaumaliza miaka kibao, kule Rwanda husikii kelele wala nini, majenerali wanastaafu na wanakimbia nchi yao wenyewe.

Tafuteni njia nyingine ya kudai haki lakini sio uhaini huu.

Nilikuonea huruma sana ulipokuwa na kesi wakati ule, nililia mimi kwa kukuonea huruma Mbowe, nikiona umenyolewa kipara nasikitika sana, Sasa naona unayatafuta babangu.

Nakushauri achana na mipango yako hiyo huwezi kudai Samia Must Go, otherwise jiandae kwa treason case
hacha uoga,,hacha kukatisha watu tamaa,,kama wewe huwezi waache wanaume wanaoweza,,wewe endelea kupaka shedo na kutinda nyusi
 
Samia Must Go ni uhaini, unaenda kujitesa mwenyewe na kutesa familia za wenzako, Lissu mkewe na watoto hawako nchini, Lema naye ni hivyo hivyo mkewe analishwa na wazungu huko Canada.

Hiyo Samia Must Go akifa mtu siku hiyo mshtakiwa wa kwanza ni wewe kwa sababu dunia nzima imekusikia.

Samia must Go, sasa where does she go?

Mbeya mmepigwa hadi leo Mnyika hawezi kutembea vzr mnataka mpigwe tena hiyo trh 23.

Prof Lipumba ambaye ndiye mwanasiasa aliyeteseka zaidi anawazoom t.

Hakuna serikali itakayoangalia usalama wa Taifa ukihatarishwa.

Ujinga huu mnaoufanya leo Kagame alishaumaliza miaka kibao, kule Rwanda husikii kelele wala nini, majenerali wanastaafu na wanakimbia nchi yao wenyewe.

Tafuteni njia nyingine ya kudai haki lakini sio uhaini huu.

Nilikuonea huruma sana ulipokuwa na kesi wakati ule, nililia mimi kwa kukuonea huruma Mbowe, nikiona umenyolewa kipara nasikitika sana, Sasa naona unayatafuta babangu.

Nakushauri achana na mipango yako hiyo huwezi kudai Samia Must Go, otherwise jiandae kwa treason case
Watu wenye akili kama wewe, ni janga kwa dunia, familia ya mbowe, lisu, lema,kuishi ulaya kwako ni tatizo? Hawa watu wanapambania maslahi mapana ya nchi,
Lisu alikula shaba 19! Mpaka kapata kilema cha maisha, wewe kenge u me sacrifice nini? Hata wakati Mandela anapigania Uhuru, wapiganaji wenzie wengi walikuja bongo, uhamishoni na kupata mafunzo, ukisikia sehemu bongo inaitwa Soweto, ujue hapo wapiganaji wa South waliishi,
Samia sio Tanzania, Tanzania itakuwepo hata baada ya miaka 300,samia akishakufa, hii kuona ma ccm ni Bora kuliko nchi, ni upumbu mtupu,
Demokrasia kama ya Kenya, ndio jambo la muhimu, sio kuwa na Rais, anaifanya nchi kama genge lake binafsi,
 
Hakuna Kiongozi yeyote wa Nchi yoyote Duniani anayeweza kuendela kuwepo madarakani hata alindwe kiasi gani kama ameshindwa kulinda uhai wa Raia wa Nchi husika. Sasa utakuwa unaongoza nini kama raia wanauawa na hauchukui hatua yoyote? Utaongoza wanyama wa mbugani? Kiongozi wa aina hiyo MUST GO!
 
Ookk
Katiba ya nchi yoyote ile hapa duniani huwa inaletwa na Wananchi wenyewe kwa wingi wao na kwa umoja wao, Katiba huwa hailetwi au kufungwa na Watawala peke yao au kuletwa na Rais wa nchi husika peke yake.
Uzoefu duniani kote unaonyesha kwamba Nchi yoyote ile ambayo Katiba ya nchi husika hutungwa na kikundi kidogo Cha Watu) watawala peke yao, lazima utaona Wananchi katika watakuwa wapo kwenye misuguano mikubwa Sana kati yao na watawala wao, lazima nchi husika itakuwa na Migogoro mikubwa ya kisiasa isiyokwisha, mifano hai ya nchi za namna hiyo kama vile hii Tanzania, karibia nchi zingine zote zilizopo Afrika, Mynmar (Burma), n.k.

Muhimu Watanzania waelewe hilo, ni umoja wao kwa ujumla utakawaletea sheria nzuri, viongozi bora na usalama wao, familia zao na mali zao na uwajibikaji.Ukiangalia vyama vyote vya upinzani vimejengwa kwa misingi ya kidini, kikanda, kikabila au vyama vya watu binafsi.

Wangekuwa serious wote wangeungana kuipinga CCM na kusimamisha mgombea mmoja na kumpigia kampeni.
 
Unacho kiamini na kilichopo katika uhalisia ni vitu viwili tofauti.

Sasa kuna kitu sijakielewa kwa huyo mbowe, hiyo samia must go itaanzia wapi kwenda wapi?

Au watajikusanya tu mahali na kuanza kuimba samia must go!
Waruhusu wajikusanye utajua wanamaanisha nini! Tatizo waoga sana policcm wenu.
 
Hivi vitu vinawezwa kufanywa. Maandamano yanaitwa kwa mitandao ya nje. Pia sehemu tofauti tofauti, kila mkoa nchini, na kila wilaya. Hatuna polisi, jeshi, usalama wa kutosha kuua watu kama milioni kumi. Sana sana wanaweza kuchukua viongozi , kuua elfu kadhaa. Lakini ndio utakuwa mwisho wao. Ukumbuke polisi nao sio wajinga waue kila mtu. Hata hivyo hawana risasi za kutosha.
 
Mtoa hoja, kama mama yako mzazi angetekwa akakutwa ununio katobolewa macho na akiwa utupu, ukaitwa ili uutambue mwili nafikiri ungemwelewa Mh. Mbowe ana maanisha nini.
 
Samia Must Go ni uhaini, unaenda kujitesa mwenyewe na kutesa familia za wenzako, Lissu mkewe na watoto hawako nchini, Lema naye ni hivyo hivyo mkewe analishwa na wazungu huko Canada.

Hiyo Samia Must Go akifa mtu siku hiyo mshtakiwa wa kwanza ni wewe kwa sababu dunia nzima imekusikia.

Samia must Go, sasa where does she go?

Mbeya mmepigwa hadi leo Mnyika hawezi kutembea vzr mnataka mpigwe tena hiyo trh 23.

Prof Lipumba ambaye ndiye mwanasiasa aliyeteseka zaidi anawazoom t.

Hakuna serikali itakayoangalia usalama wa Taifa ukihatarishwa.

Ujinga huu mnaoufanya leo Kagame alishaumaliza miaka kibao, kule Rwanda husikii kelele wala nini, majenerali wanastaafu na wanakimbia nchi yao wenyewe.

Tafuteni njia nyingine ya kudai haki lakini sio uhaini huu.

Nilikuonea huruma sana ulipokuwa na kesi wakati ule, nililia mimi kwa kukuonea huruma Mbowe, nikiona umenyolewa kipara nasikitika sana, Sasa naona unayatafuta babangu.

Nakushauri achana na mipango yako hiyo huwezi kudai Samia Must Go, otherwise jiandae kwa treason case
Hana njia nyingine na hiyo ni hasara ya chama kuongozwa kisanii, hakina maono.
 
Ni kampeni ambayo haina logic ,sasa aende wapi ,wao badala ya kujipanga na uchaguzi wanakuja na mambo ambayo hayatekelezeki
 
Back
Top Bottom