Mwanjigwene
Member
- Mar 1, 2021
- 48
- 33
Acha kutetea uovu kijana, acha uchawa wewe.Familia ya mbowe na wenzake hazitoumia, ila nyie wananchi mnaojifanya mna uchungu sana ndio mtakaoumia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kutetea uovu kijana, acha uchawa wewe.Familia ya mbowe na wenzake hazitoumia, ila nyie wananchi mnaojifanya mna uchungu sana ndio mtakaoumia
Anampenda sana mbowe 😂😂😂Una huruma sana ??
Haambiwi must go sababu amekaa muda mrefu madarakani kama unavyojaribu kudeflect, anaambiwa must go sababu hachukui hatua kwa yanayoendelea nchini.Yaan mwenyekiti wa kudumu anawambia Samia must go, wakati yeye ndiye anatakiwa aambiwe hivyo.
Hamna njia moja ya kupambana na CCM, acha kuelekeza wanaume wenzio namna ya kufanya mapambano na wewe toka magetoni ukafanye, since you know everything!Mbowe na Zitto ni kweli kwanza ni wafanyabiashara, pili wanasiasa. Hapo Lissu ndio ana kauli thabiti ila na yeye kila kitu anategemea Western powers, ideas, intellect. Mwakubusi kidogo amejikita kuwapigania Watanzania bila kubabaika sana na Wazungu kwa kila kitu, kila ideas na mentality zake.
Huwajui watu wa CCM akili zao, hawa ni soulless, ikitokea hivyo kwenye familia yao atakunja mikono atasema kazi ya Mungu haina makosa, atasubiri masauni aje ampe Millioni 5!Mtoa hoja, kama mama yako mzazi angetekwa akakutwa ununio katobolewa macho na akiwa utupu, ukaitwa ili uutambue mwili nafikiri ungemwelewa Mh. Mbowe ana maanisha nini.
We demu wa kiume vp! Samia leta namba nikugegedeKeyboard warriors mnamshambulia mleta mada ila kwenye ground mnajificha. Hiyo kampeni ya Samia must go ni UHAINI.
Mbowe AMEROPOKA tu. Hilo haiwezekaniki.Samia Must Go ni uhaini, unaenda kujitesa mwenyewe na kutesa familia za wenzako, Lissu mkewe na watoto hawako nchini, Lema naye ni hivyo hivyo mkewe analishwa na wazungu huko Canada.
Hiyo Samia Must Go akifa mtu siku hiyo mshtakiwa wa kwanza ni wewe kwa sababu dunia nzima imekusikia.
Samia must Go, sasa where does she go?
Mbeya mmepigwa hadi leo Mnyika hawezi kutembea vzr mnataka mpigwe tena hiyo trh 23.
Prof Lipumba ambaye ndiye mwanasiasa aliyeteseka zaidi anawazoom t.
Hakuna serikali itakayoangalia usalama wa Taifa ukihatarishwa.
Ujinga huu mnaoufanya leo Kagame alishaumaliza miaka kibao, kule Rwanda husikii kelele wala nini, majenerali wanastaafu na wanakimbia nchi yao wenyewe.
Tafuteni njia nyingine ya kudai haki lakini sio uhaini huu.
Nilikuonea huruma sana ulipokuwa na kesi wakati ule, nililia mimi kwa kukuonea huruma Mbowe, nikiona umenyolewa kipara nasikitika sana, Sasa naona unayatafuta babangu.
Nakushauri achana na mipango yako hiyo huwezi kudai Samia Must Go, otherwise jiandae kwa treason case
Inasikitisha sana mkuuAcha kutetea uovu kijana, acha uchawa wewe.
Tukikutana uso kwa uso unaweza kunitamkia huo ushenzi au utaanza kulia nikuonee huruma kabla ya kukuadhibu? Acha ushujaa wa mitandaoni wakati kiuhalisia wewe ni chakula cha watu.We demu wa kiume vp! Samia leta namba nikugegede
Samia leta namba lamamaTukikutana uso kwa uso unaweza kunitamkia huo ushenzi au utaanza kulia nikuonee huruma kabla ya kukuadhibu? Acha ushujaa wa mitandaoni wakati kiuhalisia wewe ni chakula cha watu.