Mbowe, achana na Samia Must Go. Ni Uhaini mtupu na mtatesa familia zenu

Hata mimi hiyo kauli mbiu siiungi mkono, (Chadema are running out of ideas)
 
Hivi wewe unajua uhaini ?
Samia must go unajua maana yake?

Sasa unaweza kuleta ushahidi must go ni kupindua nchi ?
 
Watekaji bwana
 
Yaan mwenyekiti wa kudumu anawambia Samia must go, wakati yeye ndiye anatakiwa aambiwe hivyo.
 
Mbowe na Zitto ni kweli kwanza ni wafanyabiashara, pili wanasiasa. Hapo Lissu ndio ana kauli thabiti ila na yeye kila kitu anategemea Western powers, ideas, intellect. Mwakubusi kidogo amejikita kuwapigania Watanzania bila kubabaika sana na Wazungu kwa kila kitu, kila ideas na mentality zake.
 
Nakumbuka Isreal anavyohangaika kwa Palestina. Licha ya kupewa mitambo yotd ya silaha duniani. Mwaka sasa Palestina wanapigania ardhi na haki yao mwisho wa siku watajenga heshima kubwa ktk maisha yao
 
Umekurupuka kijinga sana
 
Nakumbuka Isreal anavyohangaika kwa Palestina. Licha ya kupewa mitambo yotd ya silaha duniani. Mwaka sasa Palestina wanapigania ardhi na haki yao mwisho wa siku watajenga heshima kubwa ktk maisha yao
Na kule ukraine mwaka wa ngapi vile?
 
Unaandika riwaya yote hii, kumbe huelewi hata maana ya uhaini!! Kwa nini watu mnaupenda ujinga kiasi hiki?
 
Chawa anapumuwa
 
Tanzania siyo nyumba ya Samia,ni mali ya watu milioni 60,ameshindwa kulinda uhai wetu sasa ataondoka na ndo mwisho wa CCM,Samia ndo muuaji na mtekaji namba moja,anaondoka,hujui hata maana ya uhaini wewe
 
Kamishina Awadh Hajji msimsahau lakini kuna Watu nusu awatie ulemavu wa kudumu na hawajamfanya kitu na kuwabonda kawabonda, sasa hio siku akipewa tena rungu yasije yakatokea ya kutokea lawama zikaanza upya
 
Call it ujinga au vyovyote, hata hao waliopo madarakani walitumia namna hiyohiyo kuingia madarakani tena wao wameendekea kutumia mbinu chafu na ovu zaidi kubaki mararakani
Kamishina Awadh Hajji bado yupo lakini msiseme hamkuambiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…