Pre GE2025 Mbowe aendesha uchaguzi wa Mwenyekiti Pangani bila kufuata taratibu za CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Yote au wote!!??

Kukata tamaa kwa namna hii ndiyo kinakoonesha ni kwa nini sisi na wakenya ni tofauti.
Yaani unakaa unafananisha Kenya na Tanzania kabisaaa?! Tanzania fananisha na Burundi.Mimi sitaki kusikia chochote kwa hao wanasiasa.
 
Wanachadema kuhusu Mbowe ni zaidi ya ibada, yaani Mungu Mbowe ndiye anayeaminika na wanachama wote, hakuna mwanachama yeyote anayeaminika. Hapo Mbowe ni zaidi ya Mungu, maana hakuna mwanachama anaaminika kuchukua uenyekiti zaidi ya Mbowe, wengine wote wananunulika, yaani Lisu ananunulika, Lema ananunulika,yaani hakuna anayefaa zaidi ya Mungu Mbowe.
 
Sasa kwani katiba yao inamzuia? Mambo mengine yanatia aibu, wao wanamchagua nyie mnataka kuwapangia na mnaumia wakati vyama vingine vipo mnaaeza amia huko mkawe wenyevit kama alivyofanya Zitto
Wewe kaka mimi sina chama na wala siyo chadema. Nimetoa ushauri au siruhusiwi kuchangia hapa. Ungeweka nawewe mapendekezo yako. Haya ni yangu mimi ni haki yangu kusema nachoona.
 
Laana ya kumsaliti Magufuli itawatafuna
 
Mbona wanachama hawalalamiki km nyie Lumumba buku 7 fc 😂
Una uhakika wote ni lumumba
Fuatilia michango wengi wetu utaelewa

Tupo humu kitambo sana
Tuliitetea sana hiyo mnaita chadema but hatuoni matokeo chanya kila mwaka ni hasi.
So usikebehi comments za watu.
 
Wizi wa kura wa sisiemu vipi huuzungumzii?
 
Wanachama wao wamekubali iwe hivyo wasiyo kubali wanaruhusiwa kuhamia popote pale
 
Sawa msigwa tumekusikia.
 

..Ccm ndio waliosababisha yote unayolaumu.

..Kwa miaka 30+ Ccm wamegoma kutekeleza mapendekezo ya Tume ya Jaji Nyalali ili Tanzania iwe na mfumo wa kweli wa vyama vingi.
 
CCM kutakuwa na fomu ngapi 2025? si moja? huo si uhuni at national level, afadhali huu ni village level
Mwamba usipanic!! CHADEMA kama chama kikuu Cha Upinzani kinatakiwa kuwa mfano wa kuigwa. Kinatakiwa kiwe kisafi kuliko chama mnachotaka kiwapishe.

Una mahaba mazito na Mbowe, lakini tafadhali rejesha moyo wako nyuma Ili uitazame Demokrasia kati ubora unaohitajika.

Mbowe ni binadamu, na kama binadamu anakosea na hivyo wakati Fulani anastahili kusamehewa.

Lakini bahati mbaya sana Mbowe anakosea sana na makosa yake yanajirudia mno!! Kwanini asikubali kukosolewa na kushauriwa!?

Hakuna mashaka kwamba CHADEMA inapotomoka!! Kwani akikubali matakwa ya wenzake kwamba apumzike atapungukiwa nini!?

Au kaamua tu kwamba kama siyo yeye Mbowe basi ni heri chama kimfie!?

Mnafanya makosa Yale Yale ya Mwenyekiti wa CCM Taifa kuziba masikio na kuwasikiliza wachache. Mbowe kama kiongozi wa Upinzani afanye kinyume chake hata kidogo tu!!

Mbowe tunampenda sana, lakini CHADEMA bila Mbowe itaemdelea tu. Na hili unataka kupinga?
 
Upo na tatizo la kisaikolojia inahitaji ushauri nasaha. Maana wewe unadhani upinzani ni mbowe na Lissu. Mbowe alikaa ndani magereza karibia mwaka wewe unaweza kukaa hata siku moja?. Lissu kalimwa Risasi Zaidi ya kumi, wewe unaweza kuhimili?.


Kila siku imekaa kulaumu upinzani hakuna wakati wakipitia madhara mmekaa kimya na kuwacheka. Kama hakuna upinzani Baki na hiyo CCM yako utulie.
 
Katika Jambo nalo Pinga ni Mbowe kutaka kugombea Tena uenyekiti. Italeta picha mbaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…