Pre GE2025 Mbowe aendesha uchaguzi wa Mwenyekiti Pangani bila kufuata taratibu za CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sawa sawa maana wote hao lengo lao moja
 
Mleteni msigwa
 
Ni kweli ila astaafu na kuwapa wengine nafasi. Maana alipofika inabidi mwingine achukue nafasi.

..kuna wakati Mbowe alikuwa analaumiwa kwamba amehongwa na Mama Samia.

..kwa mazingira ya sasa hivi sishauri Mbowe aondoke nafasi ya Uenyekiti.

..Mbowe hata kama anahongwa hawezi kuondoka Chadema, na kutimkia Ccm.

..kuna hatari ya Ccm kupandikiza mtu wao kuwa Mwenyekiti wa Chadema, halafu muda ukifika wanamchomoa.
 
mungu wenu mbowe kawaweza sana hamna ujanja
 
mungu wenu mbowe kawaweza sana hamna ujanja

..aliyetuweza ni mungu-mama-abduli.

..katulaghai na 4R hakuna hata kimoja alichotekeleza.

..na hali ya uchumi ni ngumu lakini anaongeza kodi na tozo.
 
Wote ni sawa, utakuta hata Lissu na mama Abduli ni marafiki wakubwa hayo mambo ya majukwaa wanatuchora tu.

Hawaaminiki hawa

..suluhisho ni kuondoa MFUMO unaomuwezesha mwenyekiti wa Ccm kuhonga viongozi wa vyama vya upinzani.
 
Sasa unalia nini?
 
..suluhisho ni kuondoa MFUMO unaomuwezesha mwenyekiti wa Ccm kuhonga viongozi wa vyama vya upinzani.
Kumbe wanahongeka.....sasa hapo shida ni ya nani??

Kweli tumbo ni shida. Haya bana kila mtu na ajali tumbo lake tu
 
Kwa kauli hii ina maana bado Chadema haijajiandaa kwa 'maisha' baada ya Mbowe kung'atuka.....achilia mbali hata kuandaa mrithi wake .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…