Uchaguzi 2020 Mbowe aitahadharisha Tume ya Uchaguzi kuhusu tuhuma za kupanga njama ya kumuengua Lissu kwenye mbio za Urais

Yaan NEC waache kumkata Lowassa waje kumkata Lissu.mbona mnajitekenya na kucheka wenyewe?

Lini mgombea wa chadema alikatwa?Kiongozi mkurupukaji,mashabiki wakurupukaji basi vurugu tupu
 
Akatwe tu kama hajakidhi matakwa ya sheria!
 

Ni kufuata sheria, au kumridhisha mtu ? Waache ujinga, haki ya mhalifu ni kupitishwa kwenye vyombo vya sheria na akipatikana na makosa aadhibiwe. Isitumike hekima kwa wahalifu.
 
Mbowe hua mpole mpole sana,hua anatoa kauli soft soft na wale jamaa wanajua hana madhara yoyote yale kwao.Maamuzi magumu wanaoweza kuyafanya ni kina Sugu,Heche,Lissu n.k

Sijui wakimfanyia hivi mtu kama Malema ingekuaje.
 
MWAKA HUU SIO MWAKA PROPAGANDA, BALI NI MWAKA WA KIROHO. OLE WAO WASIOAMINI MAANA LILILOANDIKWA LINAENDA KUTIMIA. NA MIOYO YAO HAO WASIOAMINI ITAZIDI KUFANYWA KUWA MIGUMU.


LUKA Mlango 13
1 Na wakati uo huo walikuwapo watu waliompasha habari ya Wagalilaya wale ambao Pilato alichanganya damu yao na dhabihu zao.
2 Akawajibu akawaambia, Je! Mwadhani ya kwamba Wagalilaya hao walikuwa wenye dhambi kuliko Wagalilaya wote, hata wakapatwa na mambo hayo?
3 Nawaambia, Sivyo; lakini msipotubu, ninyi nyote mtaangamia vivyo hivyo.
4 Au wale kumi na wanane, walioangukiwa na mnara huko Siloamu, ukawaua, mwadhani ya kwamba wao walikuwa wakosaji kuliko watu wote waliokaa Yerusalemu?
5 Nawaambia, Sivyo; lakini msipotubu, ninyi nyote mtaangamia vivyo hivyo.
 
NEC haitakubali ku set a bad precedent na itakuwa historia mbaya sana for future elections
 
Njama zenu mbovu za kishetani ipo siku mtazijutia.
 
Watahiniwa NEC wako wengi kufeli kwa Lissu hakuna madhara wapo watahiniwa makini watapita na kupitishwa kugombea. Lissu is less serious huwezi kujazo form kizembe namna ile
 
Well said
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…