Mbowe akiri kuukubali "mziki" wa Rais Samia, agomea wana-Chadema kuingia barabarani, asema ni mihemko

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Sasa ni dhahiri, wale wanachadema na wanaharakati kama,Lema Martin Maranja Masese, Maria Sarungi wanaotegemea Siasa za mitafaruku na vurugu ili kujipatia mkate wa Kila siku, siku zao zinahesabika, na watafute kazi nyingine.

Wale waliokuwa wanatishia kuingia barabarani, haitawezekana tena. Mbowe kaona hii sio njia sahihi ya kujenga nchi.

SSH2025/30
SOFTpowerTechniques.
ChangeOfStrategy
 
#theDynamics
#rejuvenation
 
Sitanunulika Kwa cheo chochote, Kwa kiasi chochote cha Fedha, sitaogopa Gereza Wala kupoteza Mali zangu Kwa ajili ya kuwatumikia Watanzania siku zote katika uhai wangu wote. Ninachokiamini nitakisimamia siku zote, sitatetereka kwamwe.-Mhe. Mbowe(Clubhouse).
 
Askofu kashaondoka, wewe ndio unavaa nguo uingie kanisani. Karibu Lumumba mkuu. Natarajia mgao wako wa bando unaopewa kutukana hapa na kuhamasisha vurugu utapungua
 
Kwa hyo hayo ndo majibu ya HOJA ZA MBOWE?
mwanasiasa ni Kama KINYONGA usimuamini.
 
Kishafika bei,tena nafuu sana.Muulize hayo mazungumzo ya usuluhishi kati ya Chadema na CCM nani kateuliwa msuluhishi (neutral)
 

Mbowe namuona kwa kasi akifuata njia ya kina Mrema, Cheyo, Lipumba nk. Nimekuwa nikisisitiza sana kuwa Mbowe muda wake wa kuwa mwenyekiti wa CDM umepita. Kimsingi Mbowe alipaswa kujiuzulu au kuachia uenyekiti wa CDM baada ya ile project ya Lowassa kufeli. Ama kama alikuwa anaona aibu kujiuzulu kwa blunder ile ya Lowassa, basi hakupaswa tena kugombea uenyekiti uchaguzi uliopita. Lakini naona alishupaza shingo.

Madhara ya Mbowe kung'ang'ania kukaa madarakani muda mrefu hivi, ndio inapelekea yeye kupoteza ushawishi kwa wafuasi wake. Nashukuru kuwa sasa ametambua kuwa anaanza kupoteza ushawishi kwa wafuasi wake. Kama Mbowe ameamua kuingia kwenye ulaji, ashauriwe Aachie kiti cha uenyekiti kuliko kuipotezea CDM haiba yake.
 
ukishindwa kuwapiga JIUNGE NAO.
Haki Tanzania kuipata kiurahisi ni ngumu.
Ukikubaliana na watawala Basi ujue umeshaikosa hyo haki.
Watawala wanapenda kukunwa vizuri

Mbowe ndio alibariki akina Mdee kwenda bungeni, kwakuwa anajua fika hilo kosa lake halitakubalika na wafuasi wa CDM, hivi sasa anaanza miafaka na Ccm ili kuhakikisha huo uhuni wake hauwekwi wazi. Mbowe ameshapoteza ushawishi ni wa kupingwa wazi wazi na wafuasi wa CDM.

Muda mrefu alifaidika na kusikilizwa na wafuasi wa CDM kwakuwa alikuwa anaongea lugha tuitakayo. Naona anadhani anaweza bado kukokota tena wafuasi wake kama alivyofanya kwa yule tapeli wa kisiasa Lowassa. Haya anayoyafanya sasa ni kwa maslahi yake binafsi na sio kwa CDM. CDM wazinduke na kumtema Mbowe kama alivyofanyiwa Mbatia, ili kuiepusha CDM na udhaifu wa Mbowe.
 
Siasa sio uadui ama mapambano kila siku..ila kwa mwendo huu na wasiawasi na mwenendo wa mwenyekiti.

Kwahiyo harakati za kudai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi ndio zimeumaliza mwendo?
 
Propaganda za wana sukumagang zinakukolea siku kwa siku, Tindo! Katika kauli ya Mbowe, amesema “myonge myongeni, haki yake mpeni!”
 
Propaganda za wana sukumagang zinakukolea siku kwa siku, Tindo! Katika kauli ya Mbowe, amesema “myonge myongeni, haki yake mpeni!”

Unadhani sijui propaganda za sukuma gang boss? Ni wapi napinga msimamo wa sasa wa CDM kuendana na wanachisimamia sukuma gang? Mimi napinga msimamo wa sasa wa CDM kwa faida ya CDM, sukuma gang wanapinga msimamo wa sasa wa CDM ili kumtakakatisha dhalimu magufuli.
 
Acha uzwazwa Lissu alipoitisha maandamano mlijitokeza? Alipokuwa gerezani mlijitokeza kuandamana, ameona njia ya shali mnamuangusha Bora atumie dialogue
 
Wewe unapinga msimamo wao lakini wakiitisha maandamano hujitokez,wakipigwa risasi, kufilisiwa, fungwa jera, we unakuw keyboard worriors tu, acha wafate njia nyingine maaana nyie Ni mangombe tu
 
Unamuamini Dj?
 
CCM chama dume!! Tulishasema CCM itatawala milele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…