simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,418
- 9,209
Mama anakuza siasa za kistaarabu, kuingia barabarani kipindi hiki cha neema kwa taifa ni upuuzi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ukiwa kiongozi lazima uwe flexible, huwezi expect kutumia mbinu zile zile ushinde. Tumekuwa radical tokea 2000 ila Serikali haikuwahi tenda haki Sasa tumeamua kuwa diplomatic na Serikali inakubali mazungumzo naona ni njia nzuri.Mbowe ndio alibariki akina Mdee kwenda bungeni, kwakuwa anajua fika hilo kosa lake halitakubalika na wafuasi wa CDM, hivi sasa anaanza miafaka na Ccm ili kuhakikisha huo uhuni wake hauwekwi wazi. Mbowe ameshapoteza ushawishi ni wa kupingwa wazi wazi na wafuasi wa CDM.
Muda mrefu alifaidika na kusikilizwa na wafuasi wa CDM kwakuwa alikuwa anaongea lugha tuitakayo. Naona anadhani anaweza bado kukokota tena wafuasi wake kama alivyofanya kwa yule tapeli wa kisiasa Lowassa. Haya anayoyafanya sasa ni kwa maslahi yake binafsi na sio kwa CDM. CDM wazinduke na kumtema Mbowe kama alivyofanyiwa Mbatia, ili kuiepusha CDM na udhaifu wa Mbowe.
Mkuu kwani haiba ya chadema ni kuingia barabarani? Mbona vijana wa chadema mnaonekana ni watu wenye hasira hasira na mmekaa kishari sana? Akitokea mtu akataka siasa za kistaarabu kwenu nyie ni msaliti au kanunuliwa embu jifunzeni kwa wenzenu Ghana.Mbowe namuona kwa kasi akifuata njia ya kina Mrema, Cheyo, Lipumba nk. Nimekuwa nikisisitiza sana kuwa Mbowe muda wake wa kuwa mwenyekiti wa CDM umepita. Kimsingi Mbowe alipaswa kujiuzulu au kuachia uenyekiti wa CDM baada ya ile project ya Lowassa kufeli. Ama kama alikuwa anaona aibu kujiuzulu kwa blunder ile ya Lowassa, basi hakupaswa tena kugombea uenyekiti uchaguzi uliopita. Lakini naona alishupaza shingo.
Madhara ya Mbowe kung'ang'ania kukaa madarakani muda mrefu hivi, ndio inapelekea yeye kupoteza ushawishi kwa wafuasi wake. Nashukuru kuwa sasa ametambua kuwa anaanza kupoteza ushawishi kwa wafuasi wake. Kama Mbowe ameamua kuingia kwenye ulaji, ashauriwe Aachie kiti cha uenyekiti kuliko kuipotezea CDM haiba yake.
Si walisema iendane na haki.?Hii haikukaa sawa mkuu,mtu akitaka amani nayo pia unamdhihaki?
It may be, narudia; it may be, kulikuwa na mazungumzo ya background na ya siri kati yake na rais Samia, na kuna mambo walipanga na kukubaliana na hawataki baadhi ya watu wayajue kwa sasa, kwa sababu maalum! Hii sababu maalum inaweza kuwa inahusiana na ''traces'' alizoacha mwendazake ambazo zinahitaji muda na ''ujasusi'' maalum kuzi-overcome!Unadhani sijui propaganda za sukuma gang boss? Ni wapi napinga msimamo wa sasa wa CDM kuendana na wanachisimamia sukuma gang? Mimi napinga msimamo wa sasa wa CDM kwa faida ya CDM, sukuma gang wanapinga msimamo wa sasa wa CDM ili kumtakakatisha dhalimu magufuli.
Samia mjanja si amempa hela Tundu Lissu! CDM kwishaSasa ni dhahiri, wale wanachadema na wanaharakati kama,Lema Martin Maranja Masese, Maria Sarungi wanaotegemea Siasa za mitafaruku na vurugu ili kujipatia mkate wa Kila siku, siku zao zinahesabika, na watafute kazi nyingine.
Wale waliokuwa wanatishia kuingia barabarani, haitawezekana tena. Mbowe kaona hii sio njia sahihi ya kujenga nchi.
SSH2025/30
SOFTpowerTechniques.
ChangeOfStrategy
View attachment 2250798
Acha uzwazwa Lissu alipoitisha maandamano mlijitokeza? Alipokuwa gerezani mlijitokeza kuandamana, ameona njia ya shali mnamuangusha Bora atumie dialogue
Wewe unapinga msimamo wao lakini wakiitisha maandamano hujitokez,wakipigwa risasi, kufilisiwa, fungwa jera, we unakuw keyboard worriors tu, acha wafate njia nyingine maaana nyie Ni mangombe tu
Kipindi hicho Asali ilikua haipo upande wakeSitanunulika Kwa cheo chochote, Kwa kiasi chochote cha Fedha, sitaogopa Gereza Wala kupoteza Mali zangu Kwa ajili ya kuwatumikia Watanzania siku zote katika uhai wangu wote. Ninachokiamini nitakisimamia siku zote, sitatetereka kwamwe.-Mhe. Mbowe(Clubhouse).
Amani ipi hiyo mkuuHii haikukaa sawa mkuu,mtu akitaka amani nayo pia unamdhihaki?
Mkuu ukiwa kiongozi lazima uwe flexible, huwezi expect kutumia mbinu zile zile ushinde. Tumekuwa radical tokea 2000 ila Serikali haikuwahi tenda haki Sasa tumeamua kuwa diplomatic na Serikali inakubali mazungumzo naona ni njia nzuri.
Kwanini tuingie barabarani ilihali mezani tunaweza pata suluhu? Umeona Kenya, Odinga kaamua kutumia meza kuupata urais na imezaa matunda atapelekwa Ikulu Hata kwa wizi wa kura!! so nadhani path tuliyochukua sio mbaya tusubiri matokeo tukiona hayazai matunda obviously tutarudi Ground kujipanga upya
Mkuu kwani haiba ya chadema ni kuingia barabarani? Mbona vijana wa chadema mnaonekana ni watu wenye hasira hasira na mmekaa kishari sana? Akitokea mtu akataka siasa za kistaarabu kwenu nyie ni msaliti au kanunuliwa embu jifunzeni kwa wenzenu Ghana.
NimekupataMbowe namuona kwa kasi akifuata njia ya kina Mrema, Cheyo, Lipumba nk. Nimekuwa nikisisitiza sana kuwa Mbowe muda wake wa kuwa mwenyekiti wa CDM umepita. Kimsingi Mbowe alipaswa kujiuzulu au kuachia uenyekiti wa CDM baada ya ile project ya Lowassa kufeli. Ama kama alikuwa anaona aibu kujiuzulu kwa blunder ile ya Lowassa, basi hakupaswa tena kugombea uenyekiti uchaguzi uliopita. Lakini naona alishupaza shingo.
Madhara ya Mbowe kung'ang'ania kukaa madarakani muda mrefu hivi, ndio inapelekea yeye kupoteza ushawishi kwa wafuasi wake. Nashukuru kuwa sasa ametambua kuwa anaanza kupoteza ushawishi kwa wafuasi wake. Kama Mbowe ameamua kuingia kwenye ulaji, ashauriwe Aachie kiti cha uenyekiti kuliko kuipotezea CDM haiba yake.
Kwa hiyo nyie mnasubiri huruma ya CCM mmuingie madarakani?Mkuu ukiwa kiongozi lazima uwe flexible, huwezi expect kutumia mbinu zile zile ushinde. Tumekuwa radical tokea 2000 ila Serikali haikuwahi tenda haki Sasa tumeamua kuwa diplomatic na Serikali inakubali mazungumzo naona ni njia nzuri.
Kwanini tuingie barabarani ilihali mezani tunaweza pata suluhu? Umeona Kenya, Odinga kaamua kutumia meza kuupata urais na imezaa matunda atapelekwa Ikulu Hata kwa wizi wa kura!! so nadhani path tuliyochukua sio mbaya tusubiri matokeo tukiona hayazai matunda obviously tutarudi Ground kujipanga upya
Ile ni kazi yakeAcha uzwazwa Lissu alipoitisha maandamano mlijitokeza? Alipokuwa gerezani mlijitokeza kuandamana, ameona njia ya shali mnamuangusha Bora atumie dialogue
Hivi kwanini wewe shaka uwa unarembua macho [emoji1787] watu wanadai wewe ni bwabwa ?Ni jambo jema,
Siasa sio ugomvi,
Big up Mbowe.
Kwani kunamtu kamuajili kuwapigania wa TzWewe unapinga msimamo wao lakini wakiitisha maandamano hujitokez,wakipigwa risasi, kufilisiwa, fungwa jera, we unakuw keyboard worriors tu, acha wafate njia nyingine maaana nyie Ni mangombe tu