Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ccm sio chama cha siasa, bali ni kikundi cha dola kilichojivika koti la chama cha siasa.
ni kawaida kwenye nchi zenye asili za kijamaa, hata vyama vya siasa navyo huwa ni mali ya dola..
Sio huruma ni maridhiano tu na serikali sio CCM, kwamba wanaweka uwanja sawa upinzani ufanye kazi zake kikatiba na CCM ifanye kazi zake kikatiba.Kwa hiyo nyie mnasubiri huruma ya CCM mmuingie madarakani?
Nani aliponda? Weka press release ya CHADEMA ikiponda "Kazi zote" za JPM. tatizo mnachukuq maoni ya watu wawili Twitter mnageuza ndio msimamo wa chama.Kwanini awamu iliyo pita miliponda kazi zote za JPM
Kumbe unajua?Ccm sio chama cha siasa, bali ni kikundi cha dola kilichojivika koti la chama cha siasa.
Mbona leo unatoa boko sana?Sasahv nnch imefongoookaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona ulikuwa unatoa povu humu tulipokuwa tunawaambia Mbowe anajua kila kitu kuhusu kina Mdee?Mbowe ndio alibariki akina Mdee kwenda bungeni, kwakuwa anajua fika hilo kosa lake halitakubalika na wafuasi wa CDM, hivi sasa anaanza miafaka na Ccm ili kuhakikisha huo uhuni wake hauwekwi wazi. Mbowe ameshapoteza ushawishi ni wa kupingwa wazi wazi na wafuasi wa CDM.
Muda mrefu alifaidika na kusikilizwa na wafuasi wa CDM kwakuwa alikuwa anaongea lugha tuitakayo. Naona anadhani anaweza bado kukokota tena wafuasi wake kama alivyofanya kwa yule tapeli wa kisiasa Lowassa. Haya anayoyafanya sasa ni kwa maslahi yake binafsi na sio kwa CDM. CDM wazinduke na kumtema Mbowe kama alivyofanyiwa Mbatia, ili kuiepusha CDM na udhaifu wa Mbowe.
Tindo anastress sana alizosababishiwa na MaguAcha uzwazwa Lissu alipoitisha maandamano mlijitokeza? Alipokuwa gerezani mlijitokeza kuandamana, ameona njia ya shali mnamuangusha Bora atumie dialogue
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona ulikuwa unatoa povu humu tulipokuwa tunawaambia Mbowe anajua kila kitu kuhusu kina Mdee?
Anachojivunia Mbowe ni kuwa na wafuasi wapumbavu, fullstop
Kusema tu, mwanadamu ana mdomoDuh,
Mfuko umejaa. Kwa M/kiti SACCOS
Dhana nzima ya upinzani Tanzania ni utapanyaji wa pesa za umma tu...Ccm kwa sasa hivi hawana HOJA tena.
..Silaha iliyobakia ni kutengeneza migogoro ndani ya vyama vya upinzani.
..Pia wamelenga kuporomosha credibility ya viongozi wa upinzani.
..Watz tunatakiwa tuwe makini tuwahoji Ccm wana mpango gani kuhusu Katiba Mpya.
..Pia tuwahoji Ccm wana mpango gani kuhusu Tume Huru ya Uchaguzi.
..Ccm wanataka tujadili nani kalamba asali mpaka 2025 huku tukiacha mambo ya msingi yanayohusu demokrasia yetu.
NB.
..kama Mbowe amenunuliwa basi anastahili lawama.
..lakini aliyemnunua anastahili lawama kubwa zaidi kwani uwezekano mkubwa amemnunua kwa kutumia fedha za umma.