Mbowe akiri kuukubali "mziki" wa Rais Samia, agomea wana-Chadema kuingia barabarani, asema ni mihemko

Mbowe akiri kuukubali "mziki" wa Rais Samia, agomea wana-Chadema kuingia barabarani, asema ni mihemko

Hapa biashara imeisha ndugu zangu wale watu ambao walionekana ndio watakao leta mabadiliko makubwa ktk Taifa wameshanunuliwa ww uliye mfuatiliaji wa mambo haya utaona kitakacho kuwa kinaendelea tutarajie usanii na UNAFIKI uliotamalaki. tusubiri chama kingine kutuvusha Sio CHADEMA.Forget about it is over.
 
Tulia sukuma gang, sasa hivi inabidi mpambane na hali yenu maana nyie ni wafiwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sukuma gang wataungana na hangaya kuwapelekea moto 2025. Na hivi mmeungana na ccm kuramba asali, mnampitisha hangaya kwa kishindo ili kumkomoa marehemu!
 
..ukichunguza utagundua kwamba Ccm ni kupe na wanafuja fedha za umma kuliko chama chochote.

..angalia ma-V8 wanayotamba nayo mitaani wakati watoto wetu wanasoma kwa shida, hawana madarasa, na shule hazina matundu ya vyoo.
Mkuu, CCM Ina nidhamu, sio chama Cha kihuni
 
Baada ya mchungaji Mtikila rip kuunga mkono juhudi baada ya kifo cha UKAWA wengi tukabaki tukwaminia Mwamba atuvushe

Je, Mwamba katuvusha au kavushwa?

Kambini huko Upinzani kuna nani aliyebaki?
 
Baada ya mchungaji Mtikila rip kuunga mkono juhudi baada ya kifo cha UKAWA wengi tukabaki tukwaminia Mwamba atuvushe

Je, Mwamba katuvusha au kavushwa?

Kambini huko Upinzani kuna nani aliyebaki?
Huyu akuoe tu ili roho yako itulie,siyo kwa mhaho huo
 
Wamedanganywa watapewa power, kumbe hawawajui Waislamu vizuri!
 
Lisu mwenyewe keshachagua fungu bora tayari! Mara nyingi tumbo lina nguvu kuliko kichwa!! Hivi unafikiri kuahidiwa kulipwa mafao yake na kurudishiwa gharama ya matibabu ni jambo dogo? Ataanzaje kwa mfano kumvimbia mama katika mazingira hayo hata kama ni wewe!
 
Kusema ukweli wapinzani wa ukweli walikuwa kina James Mapalala na kina mzee Mtei!! Hawa waliokuja kuibuka baadaye ni wapinzani wa "kichina" tu! Lisu ni mwanaharakati zaidi kuliko mwanasiasa! Wanaharakati wote hutetemekea mabeberu maana ndio wafadhili wao wakuu!
 
Anachotaka ni assurance ya ruzuku na cheo, vingine ni mihemko ya wafuasi wake. Alianza Mrema, Cheyo, Mbatia, na Sasa Yeye.
 
Mbowe ndio alibariki akina Mdee kwenda bungeni, kwakuwa anajua fika hilo kosa lake halitakubalika na wafuasi wa CDM, hivi sasa anaanza miafaka na Ccm ili kuhakikisha huo uhuni wake hauwekwi wazi. Mbowe ameshapoteza ushawishi ni wa kupingwa wazi wazi na wafuasi wa CDM.

Muda mrefu alifaidika na kusikilizwa na wafuasi wa CDM kwakuwa alikuwa anaongea lugha tuitakayo. Naona anadhani anaweza bado kukokota tena wafuasi wake kama alivyofanya kwa yule tapeli wa kisiasa Lowassa. Haya anayoyafanya sasa ni kwa maslahi yake binafsi na sio kwa CDM. CDM wazinduke na kumtema Mbowe kama alivyofanyiwa Mbatia, ili kuiepusha CDM na udhaifu wa Mbowe.
Mkuu Tindo, japo MwanaJF humu akimtaja Magufuli anaitwa "sukumagang", ukweli utabaki ukweli kuwa Magufuli hakuwa mwanasiasa wa aina ya Mbowe, kutafuta umaarufu majukwaani. Magufuli aliamini, kama mwanasayansi yoyote, matokeo, na anakumbukwa vizuri kwa yale aliyoyafanya na anasimangwa kwa yale aliyoyasema.

Kwa sababu ya tofauti hiyo kubwa, kusimamia kauli kwa vitendo, leo hii Mbowe, kama wanasiasa wote wa majukwaani, anaanza kusimangwa na wafuasi wake, humu JF, ambao kila alipoandikwa vibaya, mhusika alisakamwa na matusi lukuki.
 
Back
Top Bottom