Mbowe akiri kuukubali "mziki" wa Rais Samia, agomea wana-Chadema kuingia barabarani, asema ni mihemko

Mbowe akiri kuukubali "mziki" wa Rais Samia, agomea wana-Chadema kuingia barabarani, asema ni mihemko

Kwishaaa.
No Katiba mpya, ni tume huru.
Hauwezi kusikia tena kelele
 
ELOI ELOI AMA SABATANI.

Hii dhambi ya usaliti Kwa kipande cha SARAFU itatutafuna wengi.
 
Dhana nzima ya upinzani Tanzania ni utapanyaji wa pesa za umma tu.

..ukichunguza utagundua kwamba Ccm ni kupe na wanafuja fedha za umma kuliko chama chochote.

..angalia ma-V8 wanayotamba nayo mitaani wakati watoto wetu wanasoma kwa shida, hawana madarasa, na shule hazina matundu ya vyoo.
 
WhatsApp Image 2022-06-05 at 11.06.27 AM.jpeg
 
Nchi hii sasa kuna mwangaza wa matumaini kuwa imebadilika, imani baina ya waTanzania kuhusu uzalendo wao haujalishi itikadi za vyama, ukanda au nani yupo serikali inakwenda kwa kushirikisha maamuzi na mawazo.

Toka Maktaba :

17 Feb 2020
Samia Suluhu : "Napenda mawazo ya wapinzani, huwa wanajenga hoja vizuri, walini 'inspire' niingie siasa"

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amefunguka kuhusiana na historia ya maisha yake ambapo ameeleza siri ya mafanikio na chanzo kilichomvutia kuingia kwenye siasa. Samia Suluhu anaona hoja za upinzani ni moto, zimejaa mantiki kuliko za mawaziri wa serikali ya CCM , hivyo walinivutia / inspire, mimi ni activist ... kuingia siasani baada ya kuona majibu na hoja za upande wetu (CCM) hazina uhalisia na hazijibu maswali ya wananchi ....

Kesha Mbowe., Chadema ime collapse ndani ya mikono ya mama samia, Mbowe hakuwa laini hivi,

Mama kamfutia kesi sasa anamuendesha mbowe anavyotaka

Tanzania bado tunahitaji chama cha upinzani kitakachowakwamua watanzania kutoka kwenye makucha ya ccm., Tutamkumbuka na kumuenzi maalim seif sharif hamad siku zote.,

Mbowe toka aachiwe kutoka jela ashaenda Ikulu mara 5., Tundu lissu naye kalipwa posho zake za ubunge, kafutiwa makesi sasa watanzania na wafuasi waliokuwa na natumaini na chadema si chochote si lolote
 
Picha : Rais Samia Hassan ambaye pia ni mwenyekiti wa CCM Taifa pamoja na makamu mwenyekiti Abdulrahman Kinana, mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe, mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA Joseph Mbilinyi

1654526846642.png

Tuliochangia join the chain turudishiwe pesa zetu
 
4 Juni 2022
CLUBHOUSE

PART 1 : Freeman Mbowe | Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Ameongea na WanaDiaspora~Tanzania Duniani

Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Aikaeli Mbowe afafanua mazungumzo yanayoendelea
  • Nia njema ya CCM na mwenyekiti wake
  • Rais Samia Hassan pia ana kazi kubwa ya kupata muafaka mpana ndani ya CCM hivyo mchakato utachukua mawiki kadhaa waeleweke na wenzao ndani ya CCM
  • N.K n.k
Source : America swahili news
 
Enzi mpya za kuaminiana, Mzee aliyeoona serikali saba toka Tanzania ipate uhuru amejiunga CHADEMA.

Azungumza mazito juu ya aina mbalimbali ya utawala :

MBUNGE WA KWANZA WA TANGA COAST 1965 - 1970 AHAMIA CHADEMA KUONGEZA NGUVU MADAI YA KATIBA MPYA

Kesha Mbowe., Chadema ime collapse ndani ya mikono ya mama samia, Mbowe hakuwa laini hivi,

Mama kamfutia kesi sasa anamuendesha mbowe anavyotaka

Tanzania bado tunahitaji chama cha upinzani kitakachowakwamua watanzania kutoka kwenye makucha ya ccm., Tutamkumbuka na kumuenzi maalim seif sharif hamad siku zote.,

Mbowe toka aachiwe kutoka jela ashaenda Ikulu mara 5., Tundu lissu naye kalipwa posho zake za ubunge, kafutiwa makesi sasa watanzania na wafuasi waliokuwa na natumaini na chadema si chochote si lolote
Maalim Seif ndo ovyo kuliko wote. Ndiye alimsaliti Jumbe akaishia kuvuliwa vyeo vyake vyote ikiwemo urais wa Zanzibar. Bahati nzuri alipotumika akageukwa na yeye. Hasira zake zote zilianzia mwishoni mwa miaka ya 80 alivyogeukwa.
 
Back
Top Bottom