Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Mkuu Tindo, japo MwanaJF humu akimtaja Magufuli anaitwa "sukumagang", ukweli utabaki ukweli kuwa Magufuli hakuwa mwanasiasa wa aina ya Mbowe, kutafuta umaarufu majukwaani. Magufuli aliamini, kama mwanasayansi yoyote, matokeo, na anakumbukwa vizuri kwa yale aliyoyafanya na anasimangwa kwa yale aliyoyasema.
Kwa sababu ya tofauti hiyo kubwa, kusimamia kauli kwa vitendo, leo hii Mbowe, kama wanasiasa wote wa majukwaani, anaanza kusimangwa na wafuasi wake, humu JF, ambao kila alipoandikwa vibaya, mhusika alisakamwa na matusi lukuki.
Ni hivi, ukizungua hatuangalii ww ni nani tunakupa ukweli wako. Hatujali cha Mbowe wala dhalimu wa chattle.