Faka25
JF-Expert Member
- Sep 14, 2021
- 1,738
- 1,134
Kwanini awamu iliyo pita miliponda kazi zote za JPMMkuu ukiwa kiongozi lazima uwe flexible, huwezi expect kutumia mbinu zile zile ushinde. Tumekuwa radical tokea 2000 ila Serikali haikuwahi tenda haki Sasa tumeamua kuwa diplomatic na Serikali inakubali mazungumzo naona ni njia nzuri.
Kwanini tuingie barabarani ilihali mezani tunaweza pata suluhu? Umeona Kenya, Odinga kaamua kutumia meza kuupata urais na imezaa matunda atapelekwa Ikulu Hata kwa wizi wa kura!! so nadhani path tuliyochukua sio mbaya tusubiri matokeo tukiona hayazai matunda obviously tutarudi Ground kujipanga upya