Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Mjanja na upeo mkubwa kuliko wanaharakati wengi anaowaongoza.
Alikuwa anaongoza kwakuwa alikuwa anasimamia tunachoamini, sasa hivi tunamcheck tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mjanja na upeo mkubwa kuliko wanaharakati wengi anaowaongoza.
Uanaharakati umemchosha.Alikuwa anaongoza kwakuwa alikuwa anasimamia tunachoamini, sasa hivi tunamcheck tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sukuma gang wataungana na hangaya kuwapelekea moto 2025. Na hivi mmeungana na ccm kuramba asali, mnampitisha hangaya kwa kishindo ili kumkomoa marehemu!Tulia sukuma gang, sasa hivi inabidi mpambane na hali yenu maana nyie ni wafiwa.
Uanaharakati umemchosha.
Mkuu, CCM Ina nidhamu, sio chama Cha kihuni..ukichunguza utagundua kwamba Ccm ni kupe na wanafuja fedha za umma kuliko chama chochote.
..angalia ma-V8 wanayotamba nayo mitaani wakati watoto wetu wanasoma kwa shida, hawana madarasa, na shule hazina matundu ya vyoo.
Huyu akuoe tu ili roho yako itulie,siyo kwa mhaho huoBaada ya mchungaji Mtikila rip kuunga mkono juhudi baada ya kifo cha UKAWA wengi tukabaki tukwaminia Mwamba atuvushe
Je, Mwamba katuvusha au kavushwa?
Kambini huko Upinzani kuna nani aliyebaki?
Mama Mwalimu hujambo lakini?Huyu akuoe tu ili roho yako itulie,siyo kwa mhaho huo
Hivi una familia?Mama Mwalimu hujambo lakini?
Wewe umeolewa?Hivi una familia?
Olewa dada mkubwa umri unakwendaMama Mwalimu hujambo lakini?
Mwalimu atakubali kuwa na wake watatu?Olewa dada mkubwa umri unakwenda
Anzisheni uzi mwingine wa mambo ya kuolewa!! Msiharibu uzi wa watu!!Mwalimu atakubali kuwa na wake watatu?
Hahaha.....!Anzisheni uzi mwingine wa mambo ya kuolewa!! Msiharibu uzi wa watu!!
Mkuu Tindo, japo MwanaJF humu akimtaja Magufuli anaitwa "sukumagang", ukweli utabaki ukweli kuwa Magufuli hakuwa mwanasiasa wa aina ya Mbowe, kutafuta umaarufu majukwaani. Magufuli aliamini, kama mwanasayansi yoyote, matokeo, na anakumbukwa vizuri kwa yale aliyoyafanya na anasimangwa kwa yale aliyoyasema.Mbowe ndio alibariki akina Mdee kwenda bungeni, kwakuwa anajua fika hilo kosa lake halitakubalika na wafuasi wa CDM, hivi sasa anaanza miafaka na Ccm ili kuhakikisha huo uhuni wake hauwekwi wazi. Mbowe ameshapoteza ushawishi ni wa kupingwa wazi wazi na wafuasi wa CDM.
Muda mrefu alifaidika na kusikilizwa na wafuasi wa CDM kwakuwa alikuwa anaongea lugha tuitakayo. Naona anadhani anaweza bado kukokota tena wafuasi wake kama alivyofanya kwa yule tapeli wa kisiasa Lowassa. Haya anayoyafanya sasa ni kwa maslahi yake binafsi na sio kwa CDM. CDM wazinduke na kumtema Mbowe kama alivyofanyiwa Mbatia, ili kuiepusha CDM na udhaifu wa Mbowe.