Mbowe anapigiwa saluti kama nani? Kwani akipigiwa saluti ndio CHADEMA mnapaishwa kisiasa?

Mbowe anapigiwa saluti kama nani? Kwani akipigiwa saluti ndio CHADEMA mnapaishwa kisiasa?

Kwa hiyo tunaweza kuhitimisha hivi; salute ni kitu cha kawaida, zaidi yule anayetoa salute anakuwa anajiongezea credit huko mbeleni hasa ya utiifu.
Salute kwa upande wa police ni tofauti haitolewi tu
 
Hapo mbowe anamalizwa kisaikolojia mdogo mdogo inakuja kufika 2025 anabalansiwa mkate nusu ya theluthi, hakika bimdashi anasukuma kete zake za kisiasa kimikakati bila kutumia miguvu.
 
Hv salute nayo imekuwa mada??? Mbowe kupigiwa salute imekuwa nongwa ?? Alafu kumbukeni kuwa mbowe anaongoza nchi kiaina, kama bado hamjagundua bc mtagundua mbele ya safari... Mnadhani ile salute imetoka kwa bahati mbaya???
 
Mbowe ameitwa Ikulu kuongea na Rais wa nchi yako halafu wew kibwetele ulioko huko Nanyumbu unauliza kwa nini anapigiwa sarut?
Ngoja tukupe elimu wew kidampa Saluti ni heshima tuu ya kijeshi anaye pewa kiongozi yeyote ktk jamii na ni wajibu wao kuitoa.
Lakini kwakuwa ccm imewafanya ninyi kuwa mazuzu ya kudumu unaona kuwa ni kitu cha kipekee sana Ujinga wenu ninyi Mazuzu utaondolewa na katiba mpyaa.
Nimeipenda hiyo, Mazuzu wa kudumu!
Yaani mazuzu ya kudumu ndani ndani ya hilo chama lao huwa wanashindania ujinga wakati wote.
Wakati mwingine hata mifugo inawazidi kufikiri!
 
Tuwekee kifungu cha Pgo. Kuitwa ikulu hata Mwijaku huwa anaenda ikulu.
Yaani wew kweli ni zuzu nilifikiri utasema hata wew kibwetele umewahi kuitwa ikulu kumbe unataja majina ya wenzio halafu unajina upo timamu kiakili badala ya kuwahi milembe mapema.
 
Salute ni salami tu,hata afisa mtendaji wa kata anapigiwa salute.
Yaani umepiga jkt unahoji mbowe kupigowa salute? Sijui huko jkt ulijifunza Nini,halafu ukiangalia Kwa making hiyo picha Iko edited,hakuna kupiga salute huku umenyanyua mguu Moja,Hilo nalo hujaliona mwana wa jkt.
Nilitarajia Hilo lingekua la kwanza kulihoji.
 
Mh.Mbowe anastahili kupigiwa saluti.....

Mh.Mbowe ana haki ya kupigiwa saluti.....

Mh.Mbowe ni mtu adhimu....ukitaka kulijua hilo hebu angalia jinsi safari zake Ikulu kualikwa kukutana na Amiri Jeshi wa majeshi ya ulinzi na usalama mh.Chifu Hangaya....sasa Kama anafanya mazungumzo ya faragha na Amiri Jeshi wa majeshi ya ulinzi na usalama masaa kadhaa kuna askari gani wa kutompigia hiyo heshima ya kijeshi ?!!![emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]

Mwenyezi Mungu amhifadhi chifu Hangaya,amen!!!

Siasa ni ustaarabu na si "mbango" kila uchao....dunia inabadilika na changamoto zinaongezeka hata katika siasa......

#Taifa letu ni la kidemokrasia

#SiempreJMT[emoji120]
 
Huyo dogo mkimpata kwenye operation zao siku za hivi jaribuni mniite pimbi.ni rasmi yuko sero ya kijeshi
Unataka askari wetu wawapigie saluti tu viongozi wa chama chetu CCM?!!![emoji15][emoji15][emoji15]

Taifa letu ni la demokrasia na huyo askari analifahamu hilo na ana uelewa mkubwa....atakayemfanyia hayo utakayo wewe ni zwazwa na asiyeheshimu katiba wala watanzania wenzake.....

#SiempreJMT[emoji120]
 
Salute ni salami tu,hata afisa mtendaji wa kata anapigiwa salute.
Yaani umepiga jkt unahoji mbowe kupigowa salute? Sijui huko jkt ulijifunza Nini,halafu ukiangalia Kwa making hiyo picha Iko edited,hakuna kupiga salute huku umenyanyua mguu Moja,Hilo nalo hujaliona mwana wa jkt.
Nilitarajia Hilo lingekua la kwanza kulihoji.
We nae huna unalolijua, unajifanya mjuaji kumbe huna lolote eti picha imeeditiwa.
Inamaana huoni hapo huyo askari anapiga saluti huku anatembea? Kama mtu anatembea unataka miguu iwe vipi
 
Salute ni salami tu,hata afisa mtendaji wa kata anapigiwa salute.
Yaani umepiga jkt unahoji mbowe kupigowa salute? Sijui huko jkt ulijifunza Nini,halafu ukiangalia Kwa making hiyo picha Iko edited,hakuna kupiga salute huku umenyanyua mguu Moja,Hilo nalo hujaliona mwana wa jkt.
Nilitarajia Hilo lingekua la kwanza kulihoji.
Afisa mtendaji anapigwa saluti na askari wa jeshi gani?
Saluti hazipigwi hovyo, kuna watu maalumu wa kupigiwa saluti
 
Amri Jeshi mkuu ajaye
[emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom