Salute kwa upande wa police ni tofauti haitolewi tuKwa hiyo tunaweza kuhitimisha hivi; salute ni kitu cha kawaida, zaidi yule anayetoa salute anakuwa anajiongezea credit huko mbeleni hasa ya utiifu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Salute kwa upande wa police ni tofauti haitolewi tuKwa hiyo tunaweza kuhitimisha hivi; salute ni kitu cha kawaida, zaidi yule anayetoa salute anakuwa anajiongezea credit huko mbeleni hasa ya utiifu.
Nimeipenda hiyo, Mazuzu wa kudumu!Mbowe ameitwa Ikulu kuongea na Rais wa nchi yako halafu wew kibwetele ulioko huko Nanyumbu unauliza kwa nini anapigiwa sarut?
Ngoja tukupe elimu wew kidampa Saluti ni heshima tuu ya kijeshi anaye pewa kiongozi yeyote ktk jamii na ni wajibu wao kuitoa.
Lakini kwakuwa ccm imewafanya ninyi kuwa mazuzu ya kudumu unaona kuwa ni kitu cha kipekee sana Ujinga wenu ninyi Mazuzu utaondolewa na katiba mpyaa.
Yaani wew kweli ni zuzu nilifikiri utasema hata wew kibwetele umewahi kuitwa ikulu kumbe unataja majina ya wenzio halafu unajina upo timamu kiakili badala ya kuwahi milembe mapema.Tuwekee kifungu cha Pgo. Kuitwa ikulu hata Mwijaku huwa anaenda ikulu.
Kwi Kwi KwiAlafu mbona hana ukakamavu kama sisi tuliopitia Jkt?View attachment 2639702
Unataka askari wetu wawapigie saluti tu viongozi wa chama chetu CCM?!!![emoji15][emoji15][emoji15]Huyo dogo mkimpata kwenye operation zao siku za hivi jaribuni mniite pimbi.ni rasmi yuko sero ya kijeshi
We nae huna unalolijua, unajifanya mjuaji kumbe huna lolote eti picha imeeditiwa.Salute ni salami tu,hata afisa mtendaji wa kata anapigiwa salute.
Yaani umepiga jkt unahoji mbowe kupigowa salute? Sijui huko jkt ulijifunza Nini,halafu ukiangalia Kwa making hiyo picha Iko edited,hakuna kupiga salute huku umenyanyua mguu Moja,Hilo nalo hujaliona mwana wa jkt.
Nilitarajia Hilo lingekua la kwanza kulihoji.
Afisa mtendaji anapigwa saluti na askari wa jeshi gani?Salute ni salami tu,hata afisa mtendaji wa kata anapigiwa salute.
Yaani umepiga jkt unahoji mbowe kupigowa salute? Sijui huko jkt ulijifunza Nini,halafu ukiangalia Kwa making hiyo picha Iko edited,hakuna kupiga salute huku umenyanyua mguu Moja,Hilo nalo hujaliona mwana wa jkt.
Nilitarajia Hilo lingekua la kwanza kulihoji.
Acha mchecheto...Alafu mbona hana ukakamavu kama sisi tuliopitia Jkt?View attachment 2639702
[emoji1787][emoji106]Afisa mtendaji anapigwa saluti na askari wa jeshi gani?
Saluti hazipigwi hovyo, kuna watu maalumu wa kupigiwa saluti
[emoji106]We nae huna unalolijua, unajifanya mjuaji kumbe huna lolote eti picha imeeditiwa.
Inamaana huoni hapo huyo askari anapiga saluti huku anatembea? Kama mtu anatembea unataka miguu iwe vipi
[emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Amri Jeshi mkuu ajaye
Jamaa hajui hata maiti zinapigiwa saluti...Kupigiwa salute na polisi wa Tanzania nayo ni deal?
[emoji1787][emoji1787]Jamaa hajui hata maiti zinapigiwa saluti...