Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Too shallow minded! Kama makalio ya bataAlafu mbona hana ukakamavu kama sisi tuliopitia Jkt?View attachment 2639702
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Too shallow minded! Kama makalio ya bataAlafu mbona hana ukakamavu kama sisi tuliopitia Jkt?View attachment 2639702
[emoji1787][emoji1787]
Ukute mbowe ni mmoja ya wanaoripoti kwa mkuu wa usalama wa TaifaAlafu mbona hana ukakamavu kama sisi tuliopitia Jkt?View attachment 2639702
Anapigiws saluti kama kiongozi kwenye jamii.Alafu mbona hana ukakamavu kama sisi tuliopitia Jkt?View attachment 2639702
Hela tenahttps://www.facebook.com/100082075335248/posts/226617140084129/?mibextid=HQY48bSgtFjSxY5fWewe una hela kama zake ambae hajapitia JKT?
Mjinga huyo.. achana nae .Tuwekee kifungu cha Pgo. Kuitwa ikulu hata Mwijaku huwa anaenda ikulu.
nini kinakuwasha hapoAlafu mbona hana ukakamavu kama sisi tuliopitia Jkt?View attachment 2639702
Salamu tu hiyo...Alafu mbona hana ukakamavu kama sisi tuliopitia Jkt?View attachment 2639702
Nadhani huna uelewa wa mambo haya..Huyo dogo mkimpata kwenye operation zao siku za hivi jaribuni mniite pimbi.ni rasmi yuko sero ya kijeshi
Hata ukiwapa ya kublashia kiatu unaweza ipataSaluti za polisi zinatoka hovyo kama njugu
ndiko unakojifunza mambo mengi ya uzalendo na ukakamavu.Kupita Jkt ndio kitu Gani!???
Nyie mananga ambao hata JKT hamjapitia, haamjui kwamba hata mheshimiwa maiti inapigiwa saluti.Alafu mbona hana ukakamavu kama sisi tuliopitia Jkt?View attachment 2639702
Samahani bro....hayo mafunzo ya awali ya kijeshi Upanga Air wings ilikua mwaka gani?Nadhani huna uelewa wa mambo haya..
Huna uelewa kuhusu salute. Salute zipo 3. Hiyo aliyoitoa ni salute ya kawaida ambayo inaweza kutolewa kwa mtu yeyote unayemheshimu. Inaitwa hand salute. Ingekuwa shida kama angetoa rifle salute at order arms.
Mimi siyo askari, lakini nimewahi kuhudhuria mafunzo ya kijeshi ya jeshi la NATO yanayotolewa kwa raia. Na kabla ya kujiunga University, baada ya kumaliza mafunzo ya mwaka mmoja JKT, nilihudhuria mafunzo ya awali ya kijeshi, kikosi cha anga, Upanga Air wing. Na baadaye nikabadili mawazo.
Kwa hiyo hivi vitu basic vya kijeshi, kwa jeshi letu na majeshi ya NATO, nina uelewa navyo.
Hand salute siyo jambo la pekee. Askari in full uniform, lazima matendo yake yawe rasmi, ikiwa ni pamoja na namna ya kusalimiana.