Mbowe anapigiwa saluti kama nani? Kwani akipigiwa saluti ndio CHADEMA mnapaishwa kisiasa?

Mbowe anapigiwa saluti kama nani? Kwani akipigiwa saluti ndio CHADEMA mnapaishwa kisiasa?

Salute Zina protocol sio kila lijitu linapigiwa salute. Mtu hata scouts hujawahi kupitia unaleta ubishi eti Limbowe linastahili kupigiwa salute..

Officers na viongozi walio teuliwa na rais ndio wanapigiwa salute..

Polisi na huyo mbowe, wote viazi
 
Ni CIA wa TANZANIA mbobevu ndio maana tanzania ipo salama.
 
Huyo dogo mkimpata kwenye operation zao siku za hivi jaribuni mniite pimbi.ni rasmi yuko sero ya kijeshi
Nadhani huna uelewa wa mambo haya..

Huna uelewa kuhusu salute. Salute zipo 3. Hiyo aliyoitoa ni salute ya kawaida ambayo inaweza kutolewa kwa mtu yeyote unayemheshimu. Inaitwa hand salute. Ingekuwa shida kama angetoa rifle salute at order arms.

Mimi siyo askari, lakini nimewahi kuhudhuria mafunzo ya kijeshi ya jeshi la NATO yanayotolewa kwa raia. Na kabla ya kujiunga University, baada ya kumaliza mafunzo ya mwaka mmoja JKT, nilihudhuria mafunzo ya awali ya kijeshi, kikosi cha anga, Upanga Air wing. Na baadaye nikabadili mawazo.

Kwa hiyo hivi vitu basic vya kijeshi, kwa jeshi letu na majeshi ya NATO, nina uelewa navyo.

Hand salute siyo jambo la pekee. Askari in full uniform, lazima matendo yake yawe rasmi, ikiwa ni pamoja na namna ya kusalimiana.

Majeshi mengi ya NATO, hata ile band ya jeshi kabla ya kuanza performance huwa wanapiga salute kuisalimia audience iliyopo, na wanapomaliza wanafanya hivyo hivyo.

Wasioelewa wanaona kama vile salute ni kitu cha pekee sana. Ile ni salamu maalum ya kijeshi inayoonesha heshima, urafiki na utii.

Kuna salute maalum kwa watu maakum, kama vile kupigiwa bunduki au mizinga.

Kuna salute maalum pia za kiraia ambazo ni rasmi kwa mambo rasmi. Mathalani mataifa mengi ya Magharibi, salute maalum ya kiraia kwa mambo maalum, ni kiganja cha mkono wako wa kulia kushika sehemu ya moyo. Hiyo hufanyika bendera inapopandishwa au kushushwa, na pia wimbo wa Taifa unapoimbwa.
 
Nadhani huna uelewa wa mambo haya..

Huna uelewa kuhusu salute. Salute zipo 3. Hiyo aliyoitoa ni salute ya kawaida ambayo inaweza kutolewa kwa mtu yeyote unayemheshimu. Inaitwa hand salute. Ingekuwa shida kama angetoa rifle salute at order arms.

Mimi siyo askari, lakini nimewahi kuhudhuria mafunzo ya kijeshi ya jeshi la NATO yanayotolewa kwa raia. Na kabla ya kujiunga University, baada ya kumaliza mafunzo ya mwaka mmoja JKT, nilihudhuria mafunzo ya awali ya kijeshi, kikosi cha anga, Upanga Air wing. Na baadaye nikabadili mawazo.

Kwa hiyo hivi vitu basic vya kijeshi, kwa jeshi letu na majeshi ya NATO, nina uelewa navyo.

Hand salute siyo jambo la pekee. Askari in full uniform, lazima matendo yake yawe rasmi, ikiwa ni pamoja na namna ya kusalimiana.
Samahani bro....hayo mafunzo ya awali ya kijeshi Upanga Air wings ilikua mwaka gani?
 
Back
Top Bottom