Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Sasa mimi ni MccM?Pamoja na kuwa na ofisi nzuri na kuzindua chuo lakini bado mnakosa watu wa kuwapa uongozi hadi mnachukua toka chama kisicho na ofisi (silinde, gekul, nassar, mashinji n.k). Hii maana yake kuwa chama bora sio majengo mazuri bali sera bora.
Tulishakuwa na mpango kama wa CcM kuwa na chuo kama hicho na tuliahidi kukiita chuo cha uongozi cha Edwin Mtei.
Sasa kama ofisi ya Makao makuu imetushinda. Ndio tutaweza chuo?
CCM kinatumika Fedha za Serikali hilo halina Ubishi kama tu Vikao vya Chama kinafanyika Ikulu unatarajia niniCCM ni chama kikubwa na kikongwe huwezi kukiweka mizania moja na vyama vingine vya upinzani. Ila zingatia kwamba, ukubwa na ukongwe siyo vigezo pekee vya kupewa ridhaa ya kuongoza na wananchi. Aidha, wananchi wana vigezo na vipimo vyao, pia na matakwa yao ambavyo hivyo vyote vitatu hubadilika mara kwa mara kulingana na wakati na mahitaji ya jamii.
Wewe na nani?Tulishakuwa na mpango kama wa CcM kuwa na chuo kama hicho na tuliahidi kukiita chuo cha uongozi cha Edwin Mtei.
Sasa kama ofisi ya Makao makuu imetushinda. Ndio tutaweza chuo?
Kwa hii miaka 20 tuliyosurvive,mpaka tukawa na munkari wa kukamata dola tulipaswa kuwa na ofisi yenye thamani hata ya bil moja yenye kigorofa kimoja.Ukilinganisha Chadema na CCM kwa muktadha wa maendeleo na rasilmali utakuwa hutendi haki. Angalia historia ya CCM, kimetoka wapi na pia kiliendelezwa na rasilmali za Serikali na bado wakarithi miundombinu ya Serikali...
Ukilinganisha Chadema na CCM kwa muktadha wa maendeleo na rasilmali utakuwa hutendi haki. Angalia historia ya CCM, kimetoka wapi na pia kiliendelezwa na rasilmali za Serikali na bado wakarithi miundombinu ya Serikali...
Hakuna kamanda mnafiki kiasi hiki!!hicho chuo kimejengwa na wachina, usije shangaa kuwa wewe na ukoo wako mmetumika kama dhamana yake.Tulishakuwa na mpango kama wa CcM kuwa na chuo kama hicho na tuliahidi kukiita chuo cha uongozi cha Edwin Mtei.
Sasa kama ofisi ya Makao makuu imetushinda. Ndio tutaweza chuo?
Si tumekubaliana ofisi zetu si zipo kifuan na kwenye cerebellum jamani hakuna hajaTulishakuwa na mpango kama wa CcM kuwa na chuo kama hicho na tuliahidi kukiita chuo cha uongozi cha Edwin Mtei.
Sasa kama ofisi ya Makao makuu imetushinda. Ndio tutaweza chuo?
Anza kwanza na TANU mwalimu Nyerere hata nauli ya kwenda UNO alipewa na baba take Mbowe, leo mwanae mnambambika kesi.Ofisi tu kwa miaka 20 hamjajenga Ije kuwa chuo?‽?
Kwani wale Conservative wa Denmark hawawezi kutusaidia?Hakuna kamanda mnafiki kiasi hiki!!hicho chuo kimejengwa na wachina, usije shangaa kuwa wewe na ukoo wako mmetumika kama dhamana yake!!
Hata leo waamue kujenga chuo kikubwa kuliko vyote duniani, wanaweza kwani sio pesa zao za kutafuta!!
Si ubaki CCM? umesikia CHADEMA wanalalamika hawana ofisi?Tulishakuwa na mpango kama wa CcM kuwa na chuo kama hicho na tuliahidi kukiita chuo cha uongozi cha Edwin Mtei.
Sasa kama ofisi ya Makao makuu imetushinda. Ndio tutaweza chuo?
Umewapa za usoAnza kwanza na TANU mwalimu Nyerere hata nauli ya kwenda UNO alipewa na baba take Mbowe, leo mwanae mnambambika kesi. Tukija na CCM, viwanja vya Mpira vimejengwa na wanachi, vilitakiwa viwe vya serikali, leo mmepora vimekuwa vyenu, neno HAKI kwenu mmelifungia sandukuni, hamuwezi kufanya siasa kwa kutegemea sanduku la kura, sanduku leni la kura ni TISS na Polisi.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kwani wale Conservative wa Denmark hawawezi kutusaidia?
We hunaga akili chief. Kitila mkumbo, Nassari, Lusinde, Mwampamba, Lijuakali , Tumbili , waitara , mtatiro, na wengine wengi kuroka upinzani wamepewa vyeo ccm.Tulishakuwa na mpango kama wa CcM kuwa na chuo kama hicho na tuliahidi kukiita chuo cha uongozi cha Edwin Mtei.
Sasa kama ofisi ya Makao makuu imetushinda. Ndio tutaweza chuo?
Mashinji, Kafulila, Katambi, Shonza, Silinde,We hunaga akili chief. Kitila mkumbo, Nassari, Lusinde, Mwampamba, Lijuakali , Tumbili , waitara , mtatiro, na wengine wengi kuroka upinzani wamepewa vyeo ccm. Walipitia chuo gani cha uongozi?
We wewel,unajua amà nunua au jenga.hata hivyo hakuna mahali imesemwa kitabagua,ni cha watu wote wanahitaji taaluma hiyo almradi uwe na ada(sponser)Tulishakuwa na mpango kama wa CCM kuwa na chuo kama hicho na tuliahidi kukiita chuo cha uongozi cha Edwin Mtei.
Sasa kama ofisi ya Makao makuu imetushinda, ndio tutaweza chuo?