Mbowe ashikiwa bango kutafuna milioni 800 za ujenzi wa ghorofa la Ofisi za Makao Makuu ya CHADEMA

Mbowe ashikiwa bango kutafuna milioni 800 za ujenzi wa ghorofa la Ofisi za Makao Makuu ya CHADEMA

Pamoja na kuwa na ofisi nzuri na kuzindua chuo lakini bado mnakosa watu wa kuwapa uongozi hadi mnachukua toka chama kisicho na ofisi (silinde, gekul, nassar, mashinji n.k). Hii maana yake kuwa chama bora sio majengo mazuri bali sera bora.
Sasa mimi ni MccM?
 
Ukilinganisha Chadema na CCM kwa muktadha wa maendeleo na rasilmali utakuwa hutendi haki. Angalia historia ya CCM, kimetoka wapi na pia kiliendelezwa na rasilmali za Serikali na bado wakarithi miundombinu ya Serikali. Kwa vyovyote huwezi hata kidogo kuilinganisha na Chadema.

Hata hapa Chadema ilipofikia ni maendeleo makubwa ikizingatiwa uchache wa rasilmali zake.

Kwa maendeleo ya wakati huu Makao Makuu siyo lazima yawe 'Brick-and -Mortar' ndiyo kazi zitendeke.. kwani nini kazi ya Makao Makuu ili yahitaji 'fancy offices'??
 
CCM ni chama kikubwa na kikongwe huwezi kukiweka mizania moja na vyama vingine vya upinzani. Ila zingatia kwamba, ukubwa na ukongwe siyo vigezo pekee vya kupewa ridhaa ya kuongoza na wananchi. Aidha, wananchi wana vigezo na vipimo vyao, pia na matakwa yao ambavyo hivyo vyote vitatu hubadilika mara kwa mara kulingana na wakati na mahitaji ya jamii.
CCM kinatumika Fedha za Serikali hilo halina Ubishi kama tu Vikao vya Chama kinafanyika Ikulu unatarajia nini
 
Ukilinganisha Chadema na CCM kwa muktadha wa maendeleo na rasilmali utakuwa hutendi haki. Angalia historia ya CCM, kimetoka wapi na pia kiliendelezwa na rasilmali za Serikali na bado wakarithi miundombinu ya Serikali...
Kwa hii miaka 20 tuliyosurvive,mpaka tukawa na munkari wa kukamata dola tulipaswa kuwa na ofisi yenye thamani hata ya bil moja yenye kigorofa kimoja.
 
Ukilinganisha Chadema na CCM kwa muktadha wa maendeleo na rasilmali utakuwa hutendi haki. Angalia historia ya CCM, kimetoka wapi na pia kiliendelezwa na rasilmali za Serikali na bado wakarithi miundombinu ya Serikali...

Unaweza kutetea uwezavyo, ila hili la ofisi ni aibu…. kwani bei gani?
 
Tulishakuwa na mpango kama wa CcM kuwa na chuo kama hicho na tuliahidi kukiita chuo cha uongozi cha Edwin Mtei.

Sasa kama ofisi ya Makao makuu imetushinda. Ndio tutaweza chuo?
Hakuna kamanda mnafiki kiasi hiki!!hicho chuo kimejengwa na wachina, usije shangaa kuwa wewe na ukoo wako mmetumika kama dhamana yake.

Hata leo waamue kujenga chuo kikubwa kuliko vyote duniani, wanaweza kwani sio pesa zao za kutafuta!!
 
Ofisi tu kwa miaka 20 hamjajenga Ije kuwa chuo?‽?
Anza kwanza na TANU mwalimu Nyerere hata nauli ya kwenda UNO alipewa na baba take Mbowe, leo mwanae mnambambika kesi.

Tukija na CCM, viwanja vya Mpira vimejengwa na wanachi, vilitakiwa viwe vya serikali, leo mmepora vimekuwa vyenu, neno HAKI kwenu mmelifungia sandukuni, hamuwezi kufanya siasa kwa kutegemea sanduku la kura, sanduku leni la kura ni TISS na Polisi.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna kamanda mnafiki kiasi hiki!!hicho chuo kimejengwa na wachina, usije shangaa kuwa wewe na ukoo wako mmetumika kama dhamana yake!!
Hata leo waamue kujenga chuo kikubwa kuliko vyote duniani, wanaweza kwani sio pesa zao za kutafuta!!
Kwani wale Conservative wa Denmark hawawezi kutusaidia?
 
Anza kwanza na TANU mwalimu Nyerere hata nauli ya kwenda UNO alipewa na baba take Mbowe, leo mwanae mnambambika kesi. Tukija na CCM, viwanja vya Mpira vimejengwa na wanachi, vilitakiwa viwe vya serikali, leo mmepora vimekuwa vyenu, neno HAKI kwenu mmelifungia sandukuni, hamuwezi kufanya siasa kwa kutegemea sanduku la kura, sanduku leni la kura ni TISS na Polisi.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Umewapa za uso
 
UDP, TLP, NCCR, ACT, CUF tuonyeshe ofisi zao kwanza, kwani CHADEMA lazima wajenge ofisi kama ya CCM?
 
Mlichomfanyia Jobo si cha kiuungwana hata kidogo.

Malizeni kwanza matatizo yenu ya ndani.
 
Tulishakuwa na mpango kama wa CcM kuwa na chuo kama hicho na tuliahidi kukiita chuo cha uongozi cha Edwin Mtei.

Sasa kama ofisi ya Makao makuu imetushinda. Ndio tutaweza chuo?
We hunaga akili chief. Kitila mkumbo, Nassari, Lusinde, Mwampamba, Lijuakali , Tumbili , waitara , mtatiro, na wengine wengi kuroka upinzani wamepewa vyeo ccm.

Walipitia chuo gani cha uongozi?
 
Tulishakuwa na mpango kama wa CCM kuwa na chuo kama hicho na tuliahidi kukiita chuo cha uongozi cha Edwin Mtei.

Sasa kama ofisi ya Makao makuu imetushinda, ndio tutaweza chuo?
We wewel,unajua amà nunua au jenga.hata hivyo hakuna mahali imesemwa kitabagua,ni cha watu wote wanahitaji taaluma hiyo almradi uwe na ada(sponser)
 
Back
Top Bottom