Mbowe ashikiwa bango kutafuna milioni 800 za ujenzi wa ghorofa la Ofisi za Makao Makuu ya CHADEMA

View attachment 886186

Gazeti la Fahari Yetu limeandika tuhuma dhidi ya Mwenyekiti wa CHADEMA na Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe, likimhusisha na matumizi ya milioni 800 za ujenzi wa jengo la ghorofa la Ofisi za Makao Makuu ya Chama hicho, Mtaa wa Ufipa, Kinondoni, jijini Dar es Salaam.
Gazeti hilo limedai kuwa, Mbowe alikiuka Azimio la Kikao cha Kamati Kuu ya Chama na kuamua kutumia fedha hizo kwa matumizi yake binafsi. Inaelezwa kuwa:
  • Mbowe alinunua nyumba Dubai kwa fedha za Chama.
  • Michango ya watu binafsi kwa Chama kama akina Mzee Sobodo haijulikani zilichukuliwa lini na kwa mfumo gani na hatimaye kutumikaje.
  • Fedha zilizopatikana kupitia "Fund Raising Events" mbalimbali kama za Dar na Mwanza hazijawahi kuonekana.
  • Malalamiko kwa Mbowe kujilipa fedha kwa mnadai ya kukikopesha milioni Chama milioni 700.
  • Malalamiko dhidi ya Mbowe kukiuzia Chama magari chakavu kwa zaidi ya milioni 600 ambapo kabla ya kuyauza kwa Chama, alikuwa akiyakodisha kwa Chama.
  • Malalamiko kwa Mbowe kununua LandCruiser V8 VX 2 kwa pesa za Chama na kisha kukiuzia Chama.
  • Ripoti ya CAG ya 2016/2017 imeonyesha namna fedha za CHADEMA zinavyotafunwa na wajanja wachache.
Kulingana na Gazeti la Fahari, kila anapojitokeza Kiongozi yeyote ndani ya CHADEMA kuhoji juu ya matumizi ya fedha za Chama, wanajitokeza wapambe wake wa kumtetea kwa kutumia hoja za nguvu badala ya nguvu ya hoja. Hivyo kwa mtaji huo wa kujichotea fedha bila kuhojiwa ama kuulizwa chochote, Mbowe hawezi kuachia nafasi ya Uenyekiti wa Chama.

View attachment 886175
Uwiii
 
Eti maendeleo unayaona! Unajua wewe no mbumbumbu 100% na unajiita Dr love inawezekana ni wale wa Kona Bar! Maana inawezekana hata huelewi wanaposema 1.5T hazionekani wanasema nini
Nenda kafie mbele aisee! Pambana na madanga yako. Stress zimekujaa kama mchimba visiki.
Pathetic swine!
 
View attachment 886186

Gazeti la Fahari Yetu limeandika tuhuma dhidi ya Mwenyekiti wa CHADEMA na Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe, likimhusisha na matumizi ya milioni 800 za ujenzi wa jengo la ghorofa la Ofisi za Makao Makuu ya Chama hicho, Mtaa wa Ufipa, Kinondoni, jijini Dar es Salaam.
Gazeti hilo limedai kuwa, Mbowe alikiuka Azimio la Kikao cha Kamati Kuu ya Chama na kuamua kutumia fedha hizo kwa matumizi yake binafsi. Inaelezwa kuwa:
  • Mbowe alinunua nyumba Dubai kwa fedha za Chama.
  • Michango ya watu binafsi kwa Chama kama akina Mzee Sobodo haijulikani zilichukuliwa lini na kwa mfumo gani na hatimaye kutumikaje.
  • Fedha zilizopatikana kupitia "Fund Raising Events" mbalimbali kama za Dar na Mwanza hazijawahi kuonekana.
  • Malalamiko kwa Mbowe kujilipa fedha kwa mnadai ya kukikopesha milioni Chama milioni 700.
  • Malalamiko dhidi ya Mbowe kukiuzia Chama magari chakavu kwa zaidi ya milioni 600 ambapo kabla ya kuyauza kwa Chama, alikuwa akiyakodisha kwa Chama.
  • Malalamiko kwa Mbowe kununua LandCruiser V8 VX 2 kwa pesa za Chama na kisha kukiuzia Chama.
  • Ripoti ya CAG ya 2016/2017 imeonyesha namna fedha za CHADEMA zinavyotafunwa na wajanja wachache.
Kulingana na Gazeti la Fahari, kila anapojitokeza Kiongozi yeyote ndani ya CHADEMA kuhoji juu ya matumizi ya fedha za Chama, wanajitokeza wapambe wake wa kumtetea kwa kutumia hoja za nguvu badala ya nguvu ya hoja. Hivyo kwa mtaji huo wa kujichotea fedha bila kuhojiwa ama kuulizwa chochote, Mbowe hawezi kuachia nafasi ya Uenyekiti wa Chama.

View attachment 886175
Hii habari mbona ya zamani sana. Ilikuja humu watu wakatoa mapovu kumtetea mfalme. Kuna pesa zilichangwa zikakusanywa kwa ndoo; zikaliwa na watu wasiijulikana. Mzee Sabodo akatoa pesa ya kuchimba visima; pesa ikaliwa na watu wasiijulikana! Mtu asiyejulikana akawa anajilipa pesa kwa sababu ati wakati usiojulikana alikikopesha chama fedha ambayo kiasi chake hakikujulikana!!
 
View attachment 886186

Gazeti la Fahari Yetu limeandika tuhuma dhidi ya Mwenyekiti wa CHADEMA na Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe, likimhusisha na matumizi ya milioni 800 za ujenzi wa jengo la ghorofa la Ofisi za Makao Makuu ya Chama hicho, Mtaa wa Ufipa, Kinondoni, jijini Dar es Salaam.
Gazeti hilo limedai kuwa, Mbowe alikiuka Azimio la Kikao cha Kamati Kuu ya Chama na kuamua kutumia fedha hizo kwa matumizi yake binafsi. Inaelezwa kuwa:
  • Mbowe alinunua nyumba Dubai kwa fedha za Chama.
  • Michango ya watu binafsi kwa Chama kama akina Mzee Sobodo haijulikani zilichukuliwa lini na kwa mfumo gani na hatimaye kutumikaje.
  • Fedha zilizopatikana kupitia "Fund Raising Events" mbalimbali kama za Dar na Mwanza hazijawahi kuonekana.
  • Malalamiko kwa Mbowe kujilipa fedha kwa mnadai ya kukikopesha milioni Chama milioni 700.
  • Malalamiko dhidi ya Mbowe kukiuzia Chama magari chakavu kwa zaidi ya milioni 600 ambapo kabla ya kuyauza kwa Chama, alikuwa akiyakodisha kwa Chama.
  • Malalamiko kwa Mbowe kununua LandCruiser V8 VX 2 kwa pesa za Chama na kisha kukiuzia Chama.
  • Ripoti ya CAG ya 2016/2017 imeonyesha namna fedha za CHADEMA zinavyotafunwa na wajanja wachache.
Kulingana na Gazeti la Fahari, kila anapojitokeza Kiongozi yeyote ndani ya CHADEMA kuhoji juu ya matumizi ya fedha za Chama, wanajitokeza wapambe wake wa kumtetea kwa kutumia hoja za nguvu badala ya nguvu ya hoja. Hivyo kwa mtaji huo wa kujichotea fedha bila kuhojiwa ama kuulizwa chochote, Mbowe hawezi kuachia nafasi ya Uenyekiti wa Chama.

View attachment 886175
Hahaa hela za nssf na mifuko mingine ya umma ccm wamekula pamoja na 1.5 trillion
 
Upelelezi bado unaendelea. Acheni kuipangia dola namna ya kufanya kazi yake.
Punguzeni utoto utoto kwa kila jambo. Watu hamkui hamkomai fikra hata siku moja. Ukishafeli jambo mara mbili au tatu jione mpumbavu alafu uachane nalo. uzwazwa.
 
Kuna baadh ya wanaxhadema wamerogwa yan mbowe anawatafuta ka co wao bac mama zao, waxhache chadema wenye uwezo wa kuhoji

Hakuna hasiyejuwa mbowe anakula pesa za chama je shujaa gan wa kumuondoa?

Tazama comment za humu utajuwa kuna kuna watu wanafiki mbaya..

Kama utashindwa kukemea ufisad katka chama chako hata kama unafanywa na mtu unayempenda je utaweza kuendesha serikali?
HAWAFAI
 
Wapigaji ni wale walioshindwa kutueleza mpaka leo zilipo Trilion 1.5 zetu!
Natamani lile Jamvi adhim lililofanya wengi wetu kuingia humu lingerudi tena maana humu kwa sasa wale wa facebook,insta etc ndio wameingia humu, nidhamu ya kuandika hawana, michango positive hakuna na constructive criticism ndiyo imekwenda harijojo.
Yaliyobakia ni malumbano yanayofanana na yale ya wake wenza.
 
Amefanya vibaya,maana viwanda inashindikana kujengwa kwa ajili yake.Bilashaka hizo hela ziliingia ktk akaunti yake binafsi wakati hairuhusiwi kisheria.Kama ni hivyo wakulaumiwa siyo Mbowe,bali ni serikali kwakupitia mamlaka ya ukaguzi wa mahesabu kushindwa kuwajibika.Pia mtoa mada ni vema ungefungua kesi mahakamani kuliko kupayukapayuka kama mtoto.Pia vipi kuhusu trillion 1.5?
 
Vipi kuhusu rambirambi.Acheni kutuletea hadithi za kitoto.Mbowe hanunuliki,mtajikondesha bure.
 
Mbona kila siku ni thread za Mbowe na most of them ziko negative?
 
View attachment 886186

Gazeti la Fahari Yetu limeandika tuhuma dhidi ya Mwenyekiti wa CHADEMA na Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe, likimhusisha na matumizi ya milioni 800 za ujenzi wa jengo la ghorofa la Ofisi za Makao Makuu ya Chama hicho, Mtaa wa Ufipa, Kinondoni, jijini Dar es Salaam.
Gazeti hilo limedai kuwa, Mbowe alikiuka Azimio la Kikao cha Kamati Kuu ya Chama na kuamua kutumia fedha hizo kwa matumizi yake binafsi. Inaelezwa kuwa:
  • Mbowe alinunua nyumba Dubai kwa fedha za Chama.
  • Michango ya watu binafsi kwa Chama kama akina Mzee Sobodo haijulikani zilichukuliwa lini na kwa mfumo gani na hatimaye kutumikaje.
  • Fedha zilizopatikana kupitia "Fund Raising Events" mbalimbali kama za Dar na Mwanza hazijawahi kuonekana.
  • Malalamiko kwa Mbowe kujilipa fedha kwa mnadai ya kukikopesha milioni Chama milioni 700.
  • Malalamiko dhidi ya Mbowe kukiuzia Chama magari chakavu kwa zaidi ya milioni 600 ambapo kabla ya kuyauza kwa Chama, alikuwa akiyakodisha kwa Chama.
  • Malalamiko kwa Mbowe kununua LandCruiser V8 VX 2 kwa pesa za Chama na kisha kukiuzia Chama.
  • Ripoti ya CAG ya 2016/2017 imeonyesha namna fedha za CHADEMA zinavyotafunwa na wajanja wachache.
Kulingana na Gazeti la Fahari, kila anapojitokeza Kiongozi yeyote ndani ya CHADEMA kuhoji juu ya matumizi ya fedha za Chama, wanajitokeza wapambe wake wa kumtetea kwa kutumia hoja za nguvu badala ya nguvu ya hoja. Hivyo kwa mtaji huo wa kujichotea fedha bila kuhojiwa ama kuulizwa chochote, Mbowe hawezi kuachia nafasi ya Uenyekiti wa Chama.

View attachment 886175
Mbona kuna kawimbo kenye misitali inayosema Chadema hakina office Leo tena mbowe kala pesa ya gorofa nyie mazuzu ya lumumba vipi jipeni hata sek kuwaza propaganda zenu
 
Back
Top Bottom