Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Jibu swali kamanda mwenzangu acha kurukaruka kama sisimizi.Wanafahamu viongozi wasomi hupatikana vyuo vikuu huru na sio kwenye vyuo vya propoganda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jibu swali kamanda mwenzangu acha kurukaruka kama sisimizi.Wanafahamu viongozi wasomi hupatikana vyuo vikuu huru na sio kwenye vyuo vya propoganda
Isikurupuke kwa jambo usilolijua, chuo hicho kimejengwa kwa msaada wa serikali ya China. Serikali ya Marekani ikitoa msaada wa kuwajengea choo Chadema huenda chama kikafutwa kwa kuhusisha wageni kufanya siasa nchini!Tulishakuwa na mpango kama wa CCM kuwa na chuo kama hicho na tuliahidi kukiita chuo cha uongozi cha Edwin Mtei.
Sasa kama ofisi ya Makao makuu imetushinda, ndio tutaweza chuo?
Tuna marafiki zetu huko Ujerumani na Denmark. Hujui hilo?Isikurupuke kwa jambo usilolijua, chuo hicho kimejengwa kwa msaada wa serikali ya China. Serikali ya Marekani ikitoa msaada wa kuwajengea choo Chadema huenda chama kikafutwa kwa kuhusisha wageni kufanya siasa nchini!
Kwahiyo, ulitaka nitoe mfano kwa kuzitaja nchi zote duniani! Usilete hoja ukiwa tayari una lako mdomoni.Tuna marafiki zetu huko Ujerumani na Denmark. Hujui hilo?
Calm down,young man. Chadema tuna vyama marafiki wengi tu na huwa wanatupa mpunga.Kwahiyo, ulitaka nitoe mfano kwa kuzitaja nchi zote duniani! Usilete hoja ukiwa tayari una lako mdomoni.
Huo mpunga unaishia mifukoni mwa Mbowe na kakikundi kadogo pale ufipa.Calm down,young man. Chadema tuna vyama marafiki wengi tu na huwa wanatupa mpunga.
Nimeijua rangi yako halisi, sina haja kujibizana nawe kwani sitatimiza azma yako, kwaheri.Calm down,young man. Chadema tuna vyama marafiki wengi tu na huwa wanatupa mpunga.
We ni MCCM sugu hadi una kutu makwapani.Sasa mimi ni MccM?
Nadhani unasahau kwamba kwa sasa CCM inapata zaidi ya sh bil moja kwa hela za walipa kodi Kama ruzuku. Pia CCM inamiliki majengo viwanja vya michezo viwanja vya ardhi na mali zingine ambazo kimsingi no mali za watanzania ambazo zimebinafsishwa na CCM na kuzifanya ni mali zao. Pamoja na hayo kuna uwezekano mkubwa sana kiasi kikubwa cha gharama za ujenzi huo zikatolewa na serikali. Kumbuka hayati Mkapa alijisifu kwenye kitabu chake kuwa alitumia hela ya serikali kulipia gharama za uchaguzi za CCM mwaka 2005. Hawatashindwa kufanya hivyo tena sasa ukizigatia kuwa kwa sasa bunge no lao peke yao hakuna wa kuwauliza.Tulishakuwa na mpango kama wa CCM kuwa na chuo kama hicho na tuliahidi kukiita chuo cha uongozi cha Edwin Mtei.
Sasa kama ofisi ya Makao makuu imetushinda, ndio tutaweza chuo?
Huu ukweli wenzangu wanaupinga.Huo mpunga unaishia mifukoni mwa Mbowe na kakikundi kadogo pale ufipa.
Huu uzi ufungwe sasa. Chama kinachoshabikia kujenga chama badala ya kujenga nchi hicho sio chma.Chama kisichotaka mabadiliko ya katiba kuwa na majengo mapya haikisaidii.
Kwanza chuo hicho siyo cha CCM. Ni chuo cha vyama vya Ukombozi Kusini mwa Africa .... Wamejengewa bure na Wachina.Tulishakuwa na mpango kama wa CCM kuwa na chuo kama hicho na tuliahidi kukiita chuo cha uongozi cha Edwin Mtei.
Sasa kama ofisi ya Makao makuu imetushinda, ndio tutaweza chuo?
Ndugu The Khoisan , yaani inashangaza sana jinsi uongozi wa CCM na serikali kwa ujumla wasivyoona jinsi Uchina inavyohangaika na kutulisha ukomunisti ili tuukubali na kuufuata. Napata shida sana kuwaelewa hawa watu kuwa wanawaza Wachina wanawapenda sana sana!!!!Kwanza chuo hicho siyo cha CCM. Ni chuo cha vyama vya Ukombozi Kusini mwa Africa .... Wamejengewa bure na Wachina.
Pili kuwa na vyuo kama hivyo ni kuwa ajili ya kuindoctrinate wafuasi na kuwalisha itikadi. Hayo ni mambo ya communism na utayakuta China, Cuba na North Korea. Hicho chuo ni kama kilivyokuwa chuo cha kivukoni. Ni kwa ajili ya kutengeneza wapiga propaganda wa chama. Hii siyo dalili njema kwa nchi ..... Wataturudisha enzi zile.
Kwani CCM walijenga ofisi lini?Ofisi tu kwa miaka 20 hamjajenga Ije kuwa chuo?
Njozi yako itaishia utakapoamka na utawakuta kijani wenzio akina Sirro wanakushangaa.CHADEMA imekufa
Umemchana makavuNjozi yako itaishia utakapoamka na utawakuta kijani wenzio akina Sirro wanakushangaa.
Hajui kama wewe unaitwa na kujiita kamanda asiyechoka Kwa sababu maalumuUtoto unakusumbua ukikua utaacha.