Mbowe ashindwa kuhudhuria Mahakamani. Kesi yaendeshwa kwa njia ya video, Yaahirishwa mpaka Agosti 27

Taasisi gani hiyo Kama sio mama dikteta?
Hahaha, kila nyimbo mtaimba, mlidhani ni dhaifu mkataka kumwingia kichwa kichwa eh? Kalichukua jambazi lenu kuu kaliweka mahali salama...!! Mmebaki kutukana mitandaoni tu, field hamna kitu, na bado!
 
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu wameshindwa kufikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, leo Agosti 13 kuhudhuria kesi yao

Sababu ya kushindwa kufika mahakami ni changamoto ya usafiri wa gari la magereza. Mbowe na wenzake wanatuhumiwa kesi ya ugaidi na uhujumu uchumi
 
Hahaha, kila nyimbo mtaimba, mlidhani ni dhaifu mkataka kumwingia kichwa kichwa eh? Kalichukua jambazi lenu kuu kaliweka mahali salama...!! Mmebaki kutukana mitandaoni tu, field hamna kitu, na bado!
Utoto at work. Hapo wazungu wanaachaje kutuita manyani kwa mfano?
 

Kesi ya sabaya inasomwa daily ila ya mbowe inarushwa siku nyingi ,inasikitisha sana.
 
Gari za kuwasafirisha wapinzani kuwatoa Mwanza mpaka Dar zilipatikana kirahisi sana ila gari za kuwaleta Mbowe na waliokuwa walinzi wake Mahakamani leo kutokea hapo mahabusu ambapo hakuna hata kilomita tano zimekuwa ni shida!🚶🚶🚶
 
Ukiwa kwenye heat lazima umtaje Mbowe, utafikiri wewe ndiye wa kutolewa usichana kisha ukaachwa. Mkaushie huyu mshikaji mbona hata huko CCM kuna wanaume?
 
Uyu jamaa angekuwa na makandokando mwenda zake angemuacha kweli? Ila SIASA ni ujinga sana sitamani hata mjukuu wangu aingie huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…