Kweli mkuu na siku CCM ikitoka madarakani ndo mwisho wake maan hawajaandaliwa kuwa wapinzani....Spirit never die, ataondoka upinzani utarudi, anajidanganya tu na mihasira yake.
Japo watu wanashangilia hili lakini tuendako mbele kila nafsi itajuta.
Kwani watu hawapevuki kiakili? Hawabadili mawazo? Hawaelimiki? Labda wanataka wajaribu mabadiliko baada ya miaka 15 bila manufaa kwao.Kama last time alishinda why not this time?!
Issue hapa kuna uhuni wa hali ya juu zaidi umefanyika ambao haukutegemewa na mtu yeyote mwenye akili timamu kama ungeweza kutokea Tz.
Katiba Mpya unayoipigia kelele unadhani Chadema peke yao wanaweza kuileta? au kususa nako unadhani panaweza kusaidia chochote? mbona walisusa Znz maisha yakaendelea, wakasusa tena S/M maisha bado yanaendelea?!
CCM ni kikundi kidogo sana cha watu kinacholindwa na dola na tume ya uchaguzi kuendelea kubaki madarakani, nje ya hapo hawana lolote.kwel mkuu na siku ccm ikitoka madarakani ndo mwisho wake maan hawajaandaliwa kuwa wapinzani....
Ona hoja za vijana wake unakaa unawaza ivi siku wakiwa wapinzani wataendelea na hoja zao za kutetea dhambi au wote wataunga mkono jitihada upinzani uwe kwa chaumma
kwel Kabisaa.. maslai ya watu yatasahaulika na hakuna wa kuwasemea.Japo watu wanashangilia hili lakini tuendako mbele kila nafsi itajuta.
Ni muhuni tumemnyima kura, tena mimi ni ndugu yake lakini mwaka huu nimesema HAPANAUna justify vipi ushindi wa hilo pengo la kura kwenye mazingira ya uchaguzi yaliyogubikwa na utata kila kona ya nchi?
Hata kama walikuwa close last time, hiyo sio sababu this time ashindwe kwa pengo la kura karibia sitini elfu, it's all fake!.
Wanaweza, ila sio kwenye mazingira ya uchaguzi huu, kipofu pekee ndii ataamini hilo unalowaza.Kwani watu hawapevuki kiakili? Hawabadili mawazo? Hawaelimiki? Labda wanataka wajaribu mabadiliko baada ya miaka 15 bila manufaa kwao.
asiyewapenda wa kwao ni mbaya kuliko asiyeamin😅Ni muhuni tumemnyima kura, tena mimi ni ndugu yake lakini mwaka huu nimesema HAPANA
Hiyo picha ya Magufuli uliyoweka hapo juu inakusuta.Ni muhuni tumemnyima kura, tena mimi ni ndugu yake lakini mwaka huu nimesema HAPANA
Hawatumii akili.
Japo sikuwa mwanachama, nilikuwa naiunga mkono chadema mpaka wakati huo, nikaamua kuachana nao kabisa. Sina chama!hii chadema na akina mbowe nilishawakataaga tangu walivyomkaribisha lowassa. dhambi ya tamaa na dr slaa inawatafuna sasa.
Wanafukuzwa kama vibaka!.Mawakala karibu wote sabaya aliwatoa baruti unategemea nn.
Sijajua mnalalamika nini, wakati wenzenu CCM wanahamasisha watu wao wakajiandikishe kwenye daftari la kupiga kura nyie mlikuwa busy na mitandao.CCM ni kikundi kidogo sana cha watu kinacholindwa na dola na tume ya uchaguzi kuendelea kubaki madarakani, nje ya hapo hawana lolote.
Hongera sana Mh. Mbowe. Mchezo wa siasa ni kushinda au kushindwa. Wananchi wamesema sasa basi. CCM imeshinda kwa kishindi Jimbo la Hai
kufanya kosa sio kosa bali kurudia kosa ndo kosa....hii chadema na akina mbowe nilishawakataaga tangu walivyomkaribisha lowassa. dhambi ya tamaa na dr slaa inawatafuna sasa.
Mtoto akinyea kwenye mkono hatukati tunauosha na kwenda mbeleJapo sikuwa mwanachama, nilikuwa naiunga mkono chadema mpaka wakati huo, nikaamua kuachana nao kabisa. Sina chama!
Atapewa ukuu wa mkoa kama mwenzake aliyemtangulia yule RC wa Manyara.Kamaliza kazi aliyoteuliwa nayo anangojea teuzi.
Yule DC wa Arusha ngoja tusubirie atakavyomsabaratisha lema.
Hata km ni wizi gap ni kubwa aisee