Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makamanda uchwara bwana. Magu alipopewa jogoo tuliambiwa sio kweli ni michezo tu...
Ukiwa mpumbavu daima unakuwa mpumbavu tuMakamanda uchwara bwana. Magu alipopewa jogoo tuliambiwa sio kweli ni michezo tu. Mbowe kacheza pia mchezo ule ule makamanda wanahaha na taarifa..
Kwa umaarufu upi aliokuwa nao mbowe zaidi ya ufipa mpaka watoto wamjue.?
[emoji1787][emoji1787] Yani mtu akipewa kuku ndio anakubalika???
Acha matusi tumia Lugha ya stahaUkiwa mpumbavu daima unakuwa mpumbavu tu
Mpumbavu sio tusi Bali ni mtu anayejua kitu alafu anajifanya hajuiAcha matusi tumia Lugha ya staha
Bwashee umewashitukia, siyo? 😂😂😂😂😃 Siasa za Bongo zimekuwa za Kienyeji sana siku Hizi!
Picha Moja sebuleni kwenye kochi
Picha nyingine Jukwaani
Hawa Jamaa wameshuka umaarufu kuliko hata ADA TADEA[emoji1787][emoji1787] Yani mtu akipewa kuku ndio anakubalika???
Nyie kweli, Serengeti national park.