Mbowe azidi kukubalika kwa wananchi, apewa zawadi ya kuku na mtoto mdogo huko Kigoma

Makamanda uchwara bwana. Magu alipopewa jogoo tuliambiwa sio kweli ni michezo tu. Mbowe kacheza pia mchezo ule ule makamanda wanahaha na taarifa..

Kwa umaarufu upi aliokuwa nao mbowe zaidi ya ufipa mpaka watoto wamjue.?
Ukiwa mpumbavu daima unakuwa mpumbavu tu
 
[emoji1787][emoji1787] Yani mtu akipewa kuku ndio anakubalika???

Nyie kweli, Serengeti national park.
Hawa Jamaa wameshuka umaarufu kuliko hata ADA TADEA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…