Mbowe: Bunge likipitisha Mkataba wa DP World, tutaamsha Nchi nzima

Ona hiki kinyago kinavyobwabwaja
 
Mbowe yupo sahihi.Ila tusisahau kwamba nchi zetu za Afrika hufanya mambo ya hovyo mengi kwa mashinikizo.
 
Huyu akae kimya tu...
 
Mpuuzi ni wewe ambae hata haujui namuongelea nani nyani wewe 😂 Chakaza
Kuna majitu majinga yamekalia kulishana ujinga tu! Kila kinachofanywa na awamu ya 6 yanaona hakiko sawa utafikri mtu wao alikuwa na chochote cha maana!
 
Mnaopinga huo mkataba mmeusoma vizur au .binafsi siungi mkono kauli ya mbowe.
 
"Mbowe: Bunge likipitisha mkataba wa DP World tutaamsha nchi nzima."

Nitarudisha heshima yote niliyokwishampa Mbowe akisimamia hili; hata kama halitafanikiwa.
 
"Mbowe: Bunge likipitisha mkataba wa DP World tutaamsha nchi nzima."

Nitarudisha heshima yote niliyokwishampa Mbowe akisimamia hili; hata kama halitafanikiwa.
ukitaka kujua watanganyika wana dukuduku, mbowe afanye hivyo halafu uone idadi ya watu watakaokuwa nyuma yake, hapo ndipo utajua kumbe tanganyika bado inaishi mioyoni mwa watu.
 
Kitanuka this time.

Wametuona maboya sana Hawa wakoloni weusi.
 
Mkapinge mahakamani sio humu jf ni kupoteza muda tuu
 
ukitaka kujua watanganyika wana dukuduku, mbowe afanye hivyo halafu uone idadi ya watu watakaokuwa nyuma yake, hapo ndipo utajua kumbe tanganyika bado inaishi mioyoni mwa watu.
Wakati huu ni wakati sahihi kabisa kufanya jambo. Nchi hii imechezewa sana na hawa wajinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…