Mbowe: Bunge likipitisha Mkataba wa DP World, tutaamsha Nchi nzima

Mnaficha nini msiseme, toshekeni na mishahara yenu, utafuteni kwanza ufalme wa Mungu mengine mtazidishiwa, hata aibu hamuoni laana ya Magufuli itaondoka na ninyi wote.
 
Operation Sangara inakuja.
 
Akili yangu inaniambia bandari ni sehemu nyeti sana, pamoja na kuwa Mh Rais Mkapa alibinafsisha mashirika mengi ya uma lakini bandari hakuthubutu, ni hatari mno kwenda kumkabidhi mtu mmoja uti wa mgongo wa uchumi wa nchi, tena kwa masharti magumu magumu, huko mbele ya safari anaweza kutuchezea anavyotaka na akatukwamisha mambo mengi sana, kisha vizazi vyetu vikaja kutushangaa sana kwa maamuzi kama haya. Nashauri kama tumeshindwa kuizisumamia bandari zetu kiraia embu tuwakabidhi JKT au JW tuone mziki wao.
 
Akili yako ni Finyu
 
Lissu yeye kawa kimya kaona isiwe kesi kuliko kuropoka usivyo vijua.
Yeye angesubiri wakae kama chama, watafute wavujisha siri wao, waujue ukweli wote, wajue upande wa serikali umejipangaje kisha ndiyo waje na ukweli
 
Spika atuachie hapo
 
Serikali ni watu . Na mara ngapi wametuingiza chaka wakaja baadae kutengua mikataba..!! Watu wachache hawazidi watu wengi kwenye kuchambua mambo..!!
 
Uwa simuelewi mbowe ila kwenye hili akiniamsha nitaamka mimi na familia yangu pamoja na jamaa zangu kupinga upuuzi huu wa serikali.
 
Daah huwa simkubali jhuyu amaa ila kwa hili kanitoa usingizini.Nilikuwa sijalielewa sakata zima!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…