Mbowe: CHADEMA hatutashiriki Uchaguzi Mkuu wa 2025 (bila Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi)

ACT hawa waliolia machozi juu baada ya kugongwa kule Muhambwe au wengine?!
 
Hata Mbowe hatakuwa mwenyekiti milele pamoja na kwamba anauwa wenzake wanaojaribu kugombea uenyekiti
We acha kumsema malaika wao. Nyumbu watakushambulia ukisema hvo maana nasikia wanatumia kiungo flan hv lain kama kichwa chao kufikiria🎃🎃👙
 
ACT hawa waliolia machozi juu baada ya kugongwa kule Muhambwe au wengine?!
Wenye nyege za kisiasa wanataka kusema walidhulumiwa. Muwe mnatumia kichwa kufikiria siyo hcho kiungo kingne cha kutolea taka mwili😂😂
 
Huyu jamaa anaua upinzani, yaani jana tu katoka kusema anamuunga mkono mama then leo tena hawatashiriki uchaguzi. Chadema mwangalieni huyu mwenyekiti.
We unadhani utaendelea kuitwa mshiriki mpaka lini si bora kujito halafu kuangalia njia ipi bora ya kuwang'oa hawa Ccm
 
Sema mbowe anajua siasa huyu mzee yani kaona kabisa plan nyepesi ya kumung'oa ccm sio kua na upinzani imara tu hpana ni pamoja na tume huru na hili ndilo kubwa kuliko
 
True bora kuacha kushika uchaguzi kama hakuna Katiba mpya.Akina TL wakomae kusaka Katiba mpya sio kuchosha wafuasi kwenye uchaguzi ambao matokeo yanajulikana
 
Kwani ccm ndio wanatoa Katiba mpya? Hayo ni mapambano kama mengine tuu
 
Is it better for a President to be loved or feared?

It’s better to be both. But since this is almost impossible to achieve, a leader is better off being feared than loved, because men are ungreatful, fickle, and greedy.

Mama Samia be mindful, history has proved that friendships forged by expecting rewards cannot be depended upon in times of adversity
 
watu wengi mdai katiba mpya ila ukiwauliza nini, kibadilishwe, hana jibu, vipi tuanze na wewe mkuu umeisoma rasimu ya Tume ya Jaji Warioba?
My friend mimi ni miongoni mwa wasomi wachache wenye kufuatilia pertinent issues kama hii ya katiba ya walioba. in short niliisoma sehemu kubwa japo sio yote, so I am aware of it's content , however, at my 50+ years of age sijawahi kuwa mwanachama wa chama chochote cha Siasa hapa Tanzania .Stay safe.
 
Nikikuita mbwa, nguruwe, takataka usikasirike. Kwa hiyo ulivyolawitiwa mwaka jana na aliekulawiti akafungwa, je alivyokata rufaa aliekufira aliachiwa huru mpaka rufaa itakaposikilizwa?
 
Watanzania wengi Wala hawaitaji katiba. Huu ni ukweli, katiba inahitajiwa Sana na wanasiasa
Umefahamuje kuwa Watanzania hawahitaji Katiba?Hao wanasiasa unaowataja wanaohitaji Katiba ni RAIA Wa nchi gani?Je,CCM na voingozi wake wanakataa kuwapatia Watanzania Katiba wanayoihitaji siyo wanasiasa?
Watanzania tunahitajika kukataa ulaghai wa siasa za CCM kuwa Katiba siyo kipaumbele huku wamegoma kuwajibika kwa kutuingizia hasara ya kuiandaa Katiba kupitia Mzee Warioba na CCM wakauharibu ile mchakato kisha wameifungia kabatini.
 
Angalau awamu ya 3 na 4 walikuwa watu wenye kiwango kikubwa cha ubinadamu.
Sasa huyu mwenye ushetani alitaka alazimishe kupendwa akafail pamoja na maigizo yote kila siku. Kwa kukosa mvuto, akata aue upinzani nayo ilishindwa kumsaidia mpaka anauacha ulimwengu huu.
Tumechoka kuishi kwa hisani ya mtu yeyote. Yahitajika Katiba mpya na Tume huru kusimamia haki hii.
 
Kwa nini sasa mbowe hatashiriki uchaguzi mwaka 2025?
Kwani mwendazake bado yupo?
 
Wasalaaaam!

"Hatutashiriki Uchaguzi wa Udiwani, Ubunge au Urais hadi tutakapokuwa na Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba mpya na hatusemi tunakwenda kulala tukisubiri vishuke kama maji tutavipigania kuanzia leo kwa nguvu zetu zote” amesisitiza Mh. Mbowe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…