Mbowe: Hatutakubali Bunge lililopo litengeneze Katiba Mpya

Vyombo vya usalama/ulinzi vina namna ya kutuliza ghasia kama wanaghasia hawatii sheria,hivyo walikuwa wanatekeleza majukumu,LAKINI yasingetokea hayo bila chadema kwenda kuwafitinisha
 
Hawa jamaa wameshaanza sarakasi zao Mama itakubidi ukorome kidogo la sivyo watakutawala.
Akorome KWA lipi Sasa, wakati kinachaodaiwa ni haki ya wananchi, hivi nyie mnaona tanzania ni kisiwa ,msione kwamba mwendazake aliweza ilikua swala la mda ati ipo siku angeshangaa Sana, leta katiba ,maana hakuna wakuizuia katiba,
 
Msimuendeshe kama mlikuwa mpo desperate hivi mngefanya kweli enzi za UKUTA alipowaambia msinijaribu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]...mkaufyata, mmemkuta Mama hana makuu mnaanza kuzingua sawa tusubirie tuone.
 
Asipotokeleza matakwa yako mzee mbowe utafanya nini ?mshukuruni saaana mama yetu kwa angalau kuwapa ahueni mnaweza hata kutoa mawazo kwa uhuru hata kama hayo mawazo ni ya hovyo
 
Sasa ndio muache ukaidi wakati dunia inapambana na Uviko 19 nyie mpo busy kuhamasisha maandamano.

Na Mwenyekiti wa kudumu janja janja sana achelewi kubadili gear angani huyu.
Mbowe acha pupa aisee,unachotaka kulazamisha kamwe hutokipata ,mama kaonyesha saana kuwa tayari kwa majadilianonila inasikitisha saana unapompa ultimatum ,wewe ni nani?
 
Naunga mkono hoja,
This time hatutakubali.

Katiba mpya ni ya lazima.
Ila Kwa mnayemwita mwendazake mliufyata sasa mmeona hayupo mnatafuta sababu ya kumchafua aliyepo, kaizima JK mkakauka kisa alikuwa akiwaita mnakunywa naye chai, Kaja JPM hakutaka kusikia katiba wala wapinzani mkaimba kuingia barabarani hatukuwaona, ATI this time hatukubali [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ndio Hatutakubali iwe Asubuhi iwe Jioni Katiba mpya Itadaiwa kwa Uchungu na Wivu Mkubwa.
Nchi haiwezi kuwa under one man show. [emoji58][emoji58][emoji58]
 
Kwa hiyo hasira zenu Kwa.Magu mnataka kuzimalizia Kwa Mama Samia, Kwa hizo papara zenu mtasubiri sana
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] MBOWE NAE ANAMTISHIA AMIRI JESHI MKUU WA MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA. MKUU WA DOLA NA BOSI WA NCHI HII.
KUMBE JPM ALIKUWA SAHIHI SANA KUWANYOOSHA HAWA MAPIMBI.
 
..huenda Golda Meir aliungwa mkono kwasababu alikuwa akiua Waarabu na sio Wayahudi wenzake.

..Unadhani Mama Samia anaweza kuwa maarufu na akajijengea heshima kwa kuwa mkatili dhidi ya Watanzania wenzake?

..Binafsi naamini Mama Samia atajiharibia ikiwa atatawala kwa mkono wa chuma kama alivyotawala Magufuli.

..Kama kuna jambo la awamu ya 5 ambalo Watanzania hawataki Mama Samia aliendeleze ktk awamu ya 6 ni tabia za kikatili dhidi ya viongozi na wafuasi wa vyama vya upinzani.
 
Fikra zake kwamba Mama atakubali kuingilia muhimili wa Bunge na kuwaondoa wakina Halima Mdee na kitendo kuchelewa kupewa jibu la kukaribishwa ikulu limewafanya CHADEMA wapaniki.
 
Msimuendeshe kama mlikuwa mpo desperate hivi mngefanya kweli enzi za UKUTA alipowaambia msinijaribu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]...mkaufyata, mmemkuta Mama hana makuu mnaanza kuzingua sawa tusubirie tuone.
Hivi kua rais ndo kua na Hati miliki ya TAIFA , yote aya ni tokana na Katiba mbovu , Yani mtu anakua kiongozi mnamjaza utukufu kuliko mungu, MPAKA mnakufuru, iko ivi siku zote haki ushinda maovu, anaweza fanya lolote KWA sababu ni Rais ila mwisho wake usiwe mzuri , kwani atafikisha miaka mia akiwa rais
 
Vyombo vya usalama/ulinzi vina namna ya kutuliza ghasia kama wanaghasia hawatii sheria,hivyo walikuwa wanatekeleza majukumu,LAKINI yasingetokea hayo bila chadema kwenda kuwafitinisha

..Yote hayo yalitokea kwasababu ya kulazimisha ushindi wa CCM.

..Badala ya kuua watu, kuwatia ulemavu, na kuwafunga wengine, CCM ingeweza kubadili sheria ili wabunge waweze kuhama vyama bila kulazimisha uchaguzi kurudiwa.
 
Tuonesheni mfano kwa kumuambia Mwenyekiti wa kudumu kupisha na wengine pia waongoze dooh!!!
 
Kama Mbowe alisumbuliwa tu na DC Sabaya....ataweza kumsumbua mh.Rais na CCM yake ?!!!

Jamaa BOYA SANA HUYU.....
Upeo wako ni mdogo kiasi kwamba Huwezi kuona hata chembe yaliyokuwa nyuma ya pazia mpaka Sabaya kafika hapo alipo, Halafi unamsifu Sabaya kwa Ouvu wake.
 
..Kama kuna jambo la awamu ya 5 ambalo Watanzania hawataki Mama Samia aliendeleze ktk awamu ya 6 ni tabia za kikatili dhidi ya viongozi na wafuasi wa vyama vya upinzani.
Hilo la "tabia za kikatili" ni hisia ambazo hazijanishawisi; kusimamia sheria kunahitaji matumizi ya mabavu nandiyo nature ya utendaji wa serikali. Sasa ukivunja sheria halafu serikali ikakupiga rungu usiseme huo ni ukatili, ndivyo serikali inavyofanya kazi.
 
Huyu Mbowe naona Sasa anatafuta kurudi Dubai! Hamjui Mama,asimuone mpole vile,anaweza akawa Mkali zaidi ya Magu hasa ukiingia mwenyewe kwenye angaa zake! Mama alisha sema "Ukinizinguwa,tunazinguwana'!!
Ngoja tuone mahali "venom" yake ilipo.
 
Tuonesheni mfano kwa kumuambia Mwenyekiti wa kudumu kupisha na wengine pia waongoze dooh!!!
Kwani Kuna popote Ssh rais amekataliwa asiongoze ! Au Katiba inamzuia asiongoze? Yeye ata akiongoza KWA miaka 100 no one care,ilihali amechaguliwa Katika uchaguzi huru na haki , mbona akuna shida, Sasa mnaogopa Katiba MPYA kisa nini?

Maana ccm mkisikia Katiba mnachanganyikiwa tatizo nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…