Mbowe: Hatutompa muda Rais na hatukubali. Viongozi wa CHADEMA watakiwa kujiandaa kuanza mikutano nchi nzima

Leo yuko wapi? Duniani tunapita. Na mwendawazimu pekee ndiye anaweza kuonea waru, halafuakajiona mbabe.

Wababe:
Idd Amin alifia uhamishoni.
Gadafi alifia kwenye mtaru wa takataka.
Sadam alifia kwenye shimo dogo la kutosha kuingia ngiei.
Wa kwetu corona ilimwondoa akiwa amejitengezea bunge bandia la kumwongezea muda wa kutawala milele.
Nkuruzinza corona ilimwondoa akiwa amejitengenezea cheo cha kumsimamia Rais.
 
Haki haistahili kutolewa kama hisani, baki inastahili kudaiwa.
 
Mwenyekiti wa kudumu yeye ni nani hasa mpaka ampangie Mh. Rais?
 
Uzuri JK yupo..anawajua CDM

Mama atawapiga silent killer style za JK huku anawachekea na kuwapooza na maneno ya upole., watajua hawajui
 
Atoe FEEDBACK kwanza, BAWACHA wameshaenda Dodoma kuwatoa kina Bulaya bungeni.

Aisee Hiki chama ni bangi tupu.
 
Mara paaap mwendazake huyo hapo...kazi sana. Wote tuliufyata
 
So Kama kitakacho fanyika ni KWA mjibu wa sheria hakuna Cha kumjalibu , Mimi nafikili viongozi wengi wanapenda kanyaga wananchi kichwa Sana

Mgonja watangaze , mikutano tufanye Kama kutua wache watuuwe tu , Tufike mda Sasa Kama viongozi wanashindwa kisimamia haki basi Kama TAIFA tuombe na misaada ipigwe pin ,tufe hata KWA ufukara, kana haja gani Sasa kwamba mnajenga miundombinu nk wakati uo hampati haki za kikatiba?
 
Naunga mkono hoja ,mama asituzingue kama ataki kuzinguliwa ,tunataka katiba mpya,,
 
Umeshaona tobwe sehemu fulani wakati ule walikimbia nchi.

Mambo yasiyo ya kistaarabu ya kulazimisha mambo
 
Kumbe hawa ngedere hawana shukrani kabisa,yani mtu anawaambia wampe muda (sio kwamba kakataa) ila bado wataka kum-provoke? Yani nia yao ni kutaka tu Rais awaeendee kwa ubabe Ili wapate cha kusema, maana wameona kabisa Rais hawapi agenda.
Kama ni mimi ninge-deal nao kibabe tu kama wanavyotaka, potelea mbali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Neno moja tu la SSH ni amri kubwa sana. Msimchokoze hugo Mama jamani. Tutaru kulekule kwa John Joseph.............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…