Mbowe: Hatutompa muda Rais na hatukubali. Viongozi wa CHADEMA watakiwa kujiandaa kuanza mikutano nchi nzima

Naona tumezoea maisha ya kibabe babe hivyo tunamlazimisha Samia awe mbabe. So sad! Yule aliyepita amesema hakuahidi, hana agenda hiyo na asipangiwe juu ya hilo huyu amesema apewe muda yet tunaona tabu kumpa huo muda? Chadema mnaturudisha wapi jamani?
Mkuu, hivi Magufuli angekuwepo, unajuwa kwamba CHADEMA wasingedai hayo wanayodai kwa vile alikuwa mbabe, una uhakika huo?

Unaamini Samia akiwa '"mbabe" katiba mpya watu wataacha kuidai? Unao uhakika huo?
 
HUYU MNYWA KONYAGI MBO + WE ANAPOSEMA HATUTAKUBALI ANAMAANISHA NINI? HILO NENO "HATUTAKUBALI" AMELITOA WAPI? NI SISI WANANCHI NDIYO TUMEMUAMBIA KWA HATUTAKUBALI"? AU YEYE ANATUSEMEA KWAMBA "HATUTAKUBALI" HV NI KWELI SISI WATANZANIA HUKU MITAANI KTK KUIDAI HIYO KATIBA MPYA, TUMESHAFIKIA HATUA YA KUSEMA HATUTAKUBALI"? MBN HUKU MASHINANI MIMI SIONI HIVYO VIBUNGE WATU WAKIJADAILI UHITAJI WA KATIBA MPYA? HILI NENO "HATUTAKUBALI" LINATOKA KWA WANANCHI AU CHADEMA? MTUME MUHAMADI ALISEMA HIVI. KUNA VITU VIWILI VITAWAINGIZA WANAUME WENGI SAAANA MOTONI. NAVYO NI MKUU WA WILAYA (UUME) NA NDIMI. JAMANI TUCHUNGE SANA NDIMI ZETU. NENO "HATUTAKUBALI" UKILITAFSIRI KWA TAFSIRI YENYE KUTAFSIRIKA. LINABEBA UJUMBE MZITO SANA. BINAFSI SIJAPENDEZWA NA HILI NENO
 
Let me say this, Tanzania is pregnant and ready for a shake up.

CCM and its leaders are forcing this shakeup to happen.

It doesn't take 60 million people to have a real shakeup.

Five hundred or less, very determined individuals will bring about a meaningful shake up to be remembered for a long time.

Tanzania will never be the same again after this shakeup.

It will be the end of the innocence.
 

Mama anatakiwa kuleta kura ya maoni nani anataka na nani ataki

Na kwenye usimamizi kila kitu wapewe chadema kusimamia

Im sure watu ambao hawataki katiba mpya watashinda tu
 
Ushauri kwa ndugu Mbowe:

He needs to control his emotions when making such pronouncements.

Watu wataelewa vizuri sana, hata ukitumia maneno laini laini kuelezea hali kama hii inayolikabili taifa letu chini ya utawala huu wa chama kimoja kisichoangalia lolote isipokuwa manufaa yake pekee.
 
Haya maneno ya kibabe ndio yaliwasababishia wakakimbilia Kenya, Dubai na Ubeligiji 😂
 
Wewe ni mwanadamu au?
 
Nchi ni shwari imebadilika kuna uhuru wa kudai katiba kama tulivo pewa haki kwenye katiba ya sasa
Ingekua enzi za Jiwe wacha kuingia barabarani hata huu mkutano usingekuwepo.
Watu walishakimbilia Dubai , Belgium ,Canada,Kenya
Ingekua Jiwe yupo huu mkutano upo karibu na Segerea !
 
Wewe hujui. Kwa Nyerere tuliandamana. Kwa Mwinyi tuliandamana. Kwa Mkapa na Kikwete tuliandamana na kufanya mikutano ya hadhara. Zuio ni la hivi karibuni. Wastaarabu wote hawatishwi na maandamano au mikutano ya hadhara kiasi cha kuvizuia
 
Naona tumezoea maisha ya kibabe babe hivyo tunamlazimisha Samia awe mbabe. So sad! Yule aliyepita amesema hakuahidi, hana agenda hiyo na asipangiwe juu ya hilo huyu amesema apewe muda yet tunaona tabu kumpa huo muda? Chadema mnaturudisha wapi jamani?
Katiba na sheria vinaruhusu. Aliyepita alivizuia kwa ubabe. Wewe unawasingizia ubabe wahanga wa ubabe huo. Jirudi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii mikwara mbona hatukuiona kwa Magu?
MAGU ALISHASEMA TENA HADHARANI "SIJARIBIWI" NA AKAMALIZIA " SITISHWI NA WALA SITISHIKI"

R. I. P RAIS WANGU WA MAISHA
 
Reactions: nao
Naona tumezoea maisha ya kibabe babe hivyo tunamlazimisha Samia awe mbabe. So sad! Yule aliyepita amesema hakuahidi, hana agenda hiyo na asipangiwe juu ya hilo huyu amesema apewe muda yet tunaona tabu kumpa huo muda? Chadema mnaturudisha wapi jamani?
kumbuka katiba mpya do mama wa sheria, unajifanya hamnazo
 
Muheshimiwa Mbowe kwa hapo tu unaharibu, soma alama za nyakati, watu hawata kusapoti kama ufikiriavyo, Tafuta ushauri sasa uachane na siasa za chuki na ubabe wa kijinga
 
Ukizoeana na mbwa..... atakufata msikitini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…