Kazakh destroyer
JF-Expert Member
- Nov 16, 2017
- 3,278
- 6,843
amestaafishwa aisee..Hivi amestaafu tayari yule mzee?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
amestaafishwa aisee..Hivi amestaafu tayari yule mzee?
Dah...alikuwa ananiburudisha sana akikamata vijana wahalifu na kuwahoji😂😂😂amestaafishwa aisee..
kijana mzuri mnene lakini mwizi huku anampiga piga mgongoni hahaha...Dah...alikuwa ananiburudisha sana akikamata vijana wahalifu na kuwahoji😂😂😂
Hahahahahaha hapo kwenye kijana mzuri mnene 😂😂😂 mie ndio huwa sina mbavu huku anamgonga gonga bega!kijana mzuri mnene lakini mwizi huku anampiga piga mgongoni hahaha...
mimi nilikuwa napenda akitaja vifungu vya katiba "kifungu cha ine" halafu eti asiyefunzwa na mamaye atafunzwa na kamanda dodoma..
hahahahahaaaaa unakumbuka yule aliyemkuta na tattoo ya I LOVE YOU..Hahahahahaha hapo kwenye kijana mzuri mnene 😂😂😂 mie ndio huwa sina mbavu huku anamgonga gonga bega!
Hahahahhah Muroto ni funny sana yule mzee halafu anaonekana katili ila kimsingi ile ni mikwara tu nahisi watu wake wa karibu wanainjoy sana 😂😂😂...eti nahisi wanahabari mnaona nguvu kazi inavyopotea?hahahahahaaaaa unakumbuka yule aliyemkuta na tattoo ya I LOVE YOU..
GILLES:hii ni nini wewe ni kabila gani..
GILESS:ni sanaa tu mkuu, mimi ni mndengereko..
GILLES:sanaa ya i love you?! wandengereko wanajua i love you!?....nadhani ndugu wana habari mnaona jinsi nguvu kazi inavyopotea..
hahahaaaa gilles alikuwa sio wa karne hii..
eeh eti kisa jamaa amechora tattoo ya i love you ndo nguvu kazi imepotea hahahaaha..Hahahahhah Muroto ni funny sana yule mzee halafu anaonekana katili ila kimsingi ile ni mikwara tu nahisi watu wake wa karibu wanainjoy sana 😂😂😂...eti nahisi wanahabari mnaona nguvu kazi inavyopotea?
Kutofuatwa katiba ya sasa ni kwa sababu ya mapungufu yake pia!Tatizo wanasiasa wanatuvuruga hata wakati mwingine hawaeleweki, katiba iliyopo wanasema haifuatwi na viongozi! Sasa wameacha kuhimiza viongozi wa serikali wafuate hii iliyopo ili tuone Kama ikifuatwa ipasavyo itakuwa na mapungufu, Sasa wanacheza mziki wa katiba mpya? Hii iliyopo imefuatwa ipasavyo!????
kwan wewe unajua nini? FazaNa aliyekuwa mkali amefikia wapi? Tumia akili.
Baada ya Rais kusema kuwa anataka apewe muda ili ajenge uchumi kwanza na mambo ya katiba na mikutano ya hadahara itafata baadae.
Mh Mbowe leo amesema wazi kuwa hawatompa muda Rais samia na hawatakubali bali watafanya mikutano ya hadhara na watadai katiba kwa njia yeyote ile inayofaa na ikiwezekna wataingia barabarani kuidai katiba... na kwa sasa swala la katiba ni lazima watake wasitake ni lazima katiba ipatikane.
“Ombi la Rais Sami kwamba tumpe muda kuhusu suala la katiba, hatupo tayari kumpa muda na natoa agizo kwa Viongozi Nchi nzima wajiandae kwa mikutano ya hadhara siku ambayo tutaitangaza".
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe akizungumza leo kwenye Kongamano la BAVICHA Tabata, DSM.
"Tutaidai Katiba mpya asubuhi, mchana hadi usiku. Kama wanataka tukae mezani, turidhie. Kama wasiporidhia, tutakutana barabarani. Hatutaridhia kushiriki Uchaguzi wowote bila kuwa na Katiba mpya au Tume Huru ya Uchaguzi.
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe akizungumza leo kwenye Kongamano la BAVICHA Tabata, DSM.
Kama mnazo pesa. Leteni hizo pesa tulete kura maoniMama anatakiwa kuleta kura ya maoni nani anataka na nani ataki
Na kwenye usimamizi kila kitu wapewe chadema kusimamia
Im sure watu ambao hawataki katiba mpya watashinda tu
Huu ndo ukweli. Very sad hawa jamaa kuturudisha kule. Wengine hatupendi kabisa maisha ya mshikemshike.Watu tunaamini hivyo kwakua hizi kelele zenu hazikuwepo kabla ya Magufuli kufariki,hivyo basi mnamdharau sana Samia.
Kimsingi hiyo kauli ya Mbowe inaamsha hisia za SSH,kutaka kuwaonyesha makucha yake na mwisho wa siku tutarudi kulekule.
Jura maoni ndio nnKama mnazo pesa. Leteni hizo pesa tulete jura maoni