Nyie jamaa bana, kwani Lissu hawezi kumuunga mkono Mbowe kukinusuru chama if that is the case.
Ninatofautiana na wewe. Lissu alipotangaza tu kugombea wafuasi wake wakaanza kumbeza Mbowe na kutaka asigombee ( hapo hata hajaonyesha nia) ya kugombea. Dharau na vijembe vya Lissu vilianza zamani sana. Kuna wakati alimtumia surrogate wake Msigwa kumshambulia Mbowe). Hapakuwa na haja ya kumshambulia Lissu wakati ule kwa sababu hamna aliyepinga uamuzi wake wa kugombea urais.
Yericko alimshambulia baada ya kutoa tuhuma za uongo dhidi ya Wenje na viongozi wengine (ingawa hakumtaja ilikuwa wazi alimlenga Mbowe). Alipobanwa kutoa ushahidi akasema aliyempa amefariki! Tuhuma nyingine za Yericko mpaka leo hazijajibiwa. Kuwa alikuwa hahudumii nafasi ya Mwanasheria Mkuu wa CDM mpaka ikabidi apewe Kibatala. Kuwa alikuwa hahudhurii wala kuitisha vikao.
Ni baada ya haya maneno ndio Ntobi akamshambulia kwa maneno yasiyofaa lakini alibanwa akaomba msamaha. Hamna hata mmoja aliyemuomba msamaha Mbowe kwa kumuita kibaraka, king'ang'anizi n.k. Na wakati wote huu wa mashambulizi ya Lissu, Mbowe hajasema neno.
Mimi naamini hapo ulipo ni kuwa hautaki kusikia lolote baya dhidi ya Lissu. Hiyo ni haki yako kama vile ilivyokuwa haki yangu kukupinga. Lakini kwa vile nimetambua kuwa ni futile exercise, sitakujibu tena kwenye suala lolote linalohusu uchaguzi wa CHADEMA. Nitangojea matokeo na nitamkubali yeyeto atakaeshinda.
Amandla....
Ndio maana miaka yote anashindwa, wenzie wanaanzisha vyama vipya fasta tu wanafanikiwa. Je wanachama wa chadema wanataka miaka yote washindwe??Mbona Kenya wanachama wa ODM hawajawahi taka Raila Odinga aachie madaraka ODM pamoja na kuunga mkono Serikali ya Uhuru Kenyata na sasa Ruto pia
Retired Quinine LusungoMheshimiwa mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Aikaeli Mbowe, ukitangaza leo kwamba baada ya tafakuri nzito umeamua kutogombea kwa mara nyingine uenyekiti wa Chadema leo utakuwa umeua ndege wawili kwa jiwe moja.
Kwa kuijengea CHADEMA heshima utakuwa umefuta kabisa dhana ile ya bila Mbowe hakuna CHADEMA hivyo kudhihirisha ukomavu wa CHADEMA kama chama chenye misingi imara.
- Utaijengea CHADEMA heshima
- Utajijengea heshima kubwa zaidi
Kwa kujijengea heshima utakuwa umedhihirisha ukomavu wako kidemokrasia kama mstaafu aliyeheshimu, kutetea na kulinda demokrasia kwa vitendo ndani na nje ya uongozi.
Ningependa kuwaona mmekaa pamoja wakati ukitangaza uamuzi wako huo na nakuhakikishia, utashangaa jinsi wananchi wengi wazalendo wakatavyoupokea uamuzi wako huo.
Uchaguzi ungekuwa unashirikisha wanachama wote kusingekuwa na shida,.Wakati mjadala wa vyama vingi unaendelea, Nyerere aliwahutubia UVCMM na kuwauliza kama wana imani na sera za CCM, wakamjbu "sana tu". Akawauliza kama wana imani na uimara na kukubalika kwa CCM, wakamjibu "100 %". Akawauliza kama wanakubali sera ya vyama vingi. Wakamjibu kwa sauti kubwa " hapana". Alicheka sana na kuwauliza " kama mna imani na chama chenu kwa nini mnaogopa ushindani?".
Swali kama hili linaweza kuulizwa kwa wafuasi wa Lissu, " kama mna imani na uwezo na sera za mgombea wenu kwa nini hamtaki Mbowe ashindane nae? Si atamgalagaza tu?" Hamuwezi kudai demokrasia halafu wakati huo mkataka washindani wanaowapendeza nyie tu.
Tofauti na nyie sisi tunasema washindane, wapimwe na wapiga kura, wapiga kura waamue na wao waheshimu matokeo, hata kama watashindwa. Tunachokiomba ( ingawa ni too late) ni kampeni ya kuchafuana zisiwepo maana hiyo itaacha kidonda kikubwa katika chama.
Mimi binafsi nimeanza kuwa "ignore" baadhi ya watu kwa sababu naona wanadhani kunitukana na kunikebehi ni sehemu ya mjadala. Katika umri wangu, uvumilivu wa kutukanwa sina.
Amandla...
Mbowe hawezi kushindana na muda akashinda. Muda ukuta,Mtahangaika sana, bado hadi muaibike katika BOX la kura na tumeshasema anayeshindwa hamna visingizio na lazima abakie kukijenga chama pamoja.
Hao wanaharakati wa mitandaoni wao ni kuvamia vyama, hawajui CDM imepitia yapi hadi hapa ilipo.
Mbowe - mwendo mdundo - mtoto kau...
Upo sahihi kabisa......Maneno yanayotumika sasa hivi kumkebehi na kumtusi mgombea yeyote yatatumiwa na wapinzani wao katika uchaguzi mkuu. Inasikitisha sana kuwa watu hawalioni hilo.
Hilo mtu kama Fundi Mchundo hawezi kulielewa si kwa sababu hana uwezo wa kuelewa ila mahaba yamefunga kabisa hiyo njia na kuweka kufuli kubwa.Uchaguzi ungekuwa unashirikisha wanachama wote kusingekuwa na shida,.
Tatizo ni hawa wajumbe na namna walivyopatikana kwenye baadhi ya maeneo.
Watu wote wanaokaa kwenye madaraka muda mrefu hipitia hali ya "Mugabeism" yaani anaamini BILA YEYE hakuna anayeweza.Erythrocyte, imhotep, Allen Kilewella, @elli, Retired, Fundi Mchundo, binti kiziwi nk, nini kimempata mwamba?
Busara zote hizi hazina maana yoyote kwake?
Jifunzeni demokrasia, heshima kubwa ya demokrasia ni kuheshimu mawazo na misimamo tofauti na yako.
Yes, wobbly legs indeed, at the same time deliberately skipping important details.Then stand up and be firm in that resolve. You seem to be standing on wobbly legs while expressing your desires!
Na hili ndilo mimi nilitegemea, na bado hajachelewa!Mheshimiwa mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Aikaeli Mbowe, ukitangaza leo kwamba baada ya tafakuri nzito umeamua kutogombea kwa mara nyingine uenyekiti wa Chadema leo utakuwa umeua ndege wawili kwa jiwe moja.
Kwa kuijengea CHADEMA heshima utakuwa umefuta kabisa dhana ile ya bila Mbowe hakuna CHADEMA hivyo kudhihirisha ukomavu wa CHADEMA kama chama chenye misingi imara.
- Utaijengea CHADEMA heshima
- Utajijengea heshima kubwa zaidi
Kwa kujijengea heshima utakuwa umedhihirisha ukomavu wako kidemokrasia kama mstaafu aliyeheshimu, kutetea na kulinda demokrasia kwa vitendo ndani na nje ya uongozi.
Ningependa kuwaona mmekaa pamoja wakati ukitangaza uamuzi wako huo na nakuhakikishia, utashangaa jinsi wananchi wengi wazalendo wakatavyoupokea uamuzi wako huo.
Atapataje kura 100% wakati kuna wajumbe wameishajitokeza kuwa hawatampigia kura? Kabla ya kunisema mimi unatakiwa ujiangalie mwenyewe kioo. Unajifanya kuwa ni mpenda demokrasia lakini unaweka sharti kuwa ni lazima mtu wako ashinde ndio utakuwa wa haki!Hilo mtu kama Fundi Mchundo hawezi kulielewa si kwa sababu hana uwezo wa kuelewa ila mahaba yamefunga kabisa hiyo njia na kuweka kufuli kubwa.
Mathalani tuseme Mbowe anapata asilimia 100% ya kura za wajumbe, bado sisi wengine tutahoji uhalali wa hizo kura...si husemwa ukiona vyaelea vimeundwa!
Sanasana atakuwa amevunja hata ile rekodi iliyowekwa na CCM kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa. Je na huo mliuita uchaguzi au uchafuzi?
I can state with confidence, with no contradictions whatsoever; that, Tundu Lissu is what Tanzania needs most at this time.Can you by name of God say with confidence who is indriving these agenda?
Its getting emotional after the power struggle failure...I can state with confidence, with no contradictions whatsoever; that, Tundu Lissu is what Tanzania needs most at this time.
As to "who drives the agenda"? Why should anyone waste their time worrying about driving any agenda when we know the only important agenda is one driven by Tanzanians for the wellbeing of their nation?
Tundu Lissu is the only candidate fighting for this agenda at the moment. If you have doubts about that, then you need to carefully examine your conscious.
There's a stuck difference between the two' you can't even begin mistaking one for another!As to why FAM is portrayed as so bad and corrupt now but not 3 years ago?
And TL is so clean, saint from heaven who will distribute 107M to all over 1200 CDM leaders?
Hii "labelling" inausadiaje huu mjadala?Erythrocyte, imhotep, Allen Kilewella, @elli, Retired, Fundi Mchundo, binti kiziwi nk, nini kimempata mwamba?
Busara zote hizi hazina maana yoyote kwake?