ALL IS POSSIBLE. SIDHANI KAMA MBOWE ANA KISASI. ALISEMA WAKI KUWA NIKISHINDWA NAKWENDA KUTAFUTA MAPEKECHEE.Unapoteza muda.
Mbowe amesusa vikao vyote vya chama tangu akabidhi chama.
Hakuamini kuona kuchapo kinafuta jina la "Mwamba" wakati wa uchaguzi wa ndani.
Nadhani G55 ni Mbowe in disguise!
Mbowe aingilie kati wakati hilo kundi la G55 na covid19 ni magenge yake? Usimpe umuhimu asiokuwa nao. Yeye na hako kagenge kake ndio kanakimbilia kwenye vyombo vya habari na kutaka kuaminisha umma kuwa kuna mpasuko ndani ya cdm. Uzuri cdm inafanya kazi kwa vikao halali, sio hiyo miluzi ya kambi yake iliyoamua kuitumia cdm kama sehemu ya kujipatia maslahi binafsi.Kama huna upande wowote, ingilia kati. naamini unaweza kuepusha kupasuka chadema.
Naamini busara zako ni kubwa kulinganisha na wengine.
Ulikuwa na nafasi ya kuiba kura kashinda. Hukufanya. Hilo linanipa uhakika kuwa unawea kuwa msuluishi mzuri....neutral one!
ALL IS POSSIBLE. SIDHANI KAMA MBOWE ANA KISASI. ALISEMA WAKI KUWA NIKISHINDWA NAKWENDA KUTAFUTA MAPEKECHEE.
BUSARA INGELIKUWA KUMTAFUTA AKAE NA WAFUASI WAKE WAACHE KUKIGAWA CHAMA. HILO ANAWEA KUFANYA, MY WORRY NI LISU MAANA HAELEWEKI!
Naamini Mbowe hata kubali aone Chadema kina kufa akiwa hai.Kama huna upande wowote, ingilia kati. naamini unaweza kuepusha kupasuka chadema.
Naamini busara zako ni kubwa kulinganisha na wengine.
Ulikuwa na nafasi ya kuiba kura kashinda. Hukufanya. Hilo linanipa uhakika kuwa unawea kuwa msuluishi mzuri....neutral one!
EXACTLY! AMETUMIA MAISHA YAKE YOTE KUIJENGA CHADEMA INAKUFA KIJINGA NAMNA HII!Naamini Mbowe hata kubali aone Chadema kina kufa akiwa hai.
Laiti kama LISSU asingekomaa uchaguzi ule ukawa wa huru na hali mbele ya Vyombo vya habari, MBOWE ANGESHINDA.Kama huna upande wowote, ingilia kati. naamini unaweza kuepusha kupasuka chadema.
Naamini busara zako ni kubwa kulinganisha na wengine.
Ulikuwa na nafasi ya kuiba kura kashinda. Hukufanya. Hilo linanipa uhakika kuwa unawea kuwa msuluishi mzuri....neutral one!
CHADEMA IPO, NA LISSU NDIO MWENYEKITI KWA MIAKA 10 .EXACTLY! AMETUMIA MAISHA YAKE YOTE KUIJENGA CHADEMA INAKUFA KIJINGA NAMNA HII!
Mwambie Mbowe na hilo genge lake warejeshe pesa za ccm walizopewa na kuwahakikishia watamshinda Lisu. NRNE ni msimamo wa chama kupitia vikao halali, anayepinga alipaswa kuingia kwenye vikao halali na kusema anapata wapi nguvu ya kutaka kushiriki hizi chaguzi za kihuni. Uchaguzi SM wa 2024 uwe sehemu ya rejea yake.ALL IS POSSIBLE. SIDHANI KAMA MBOWE ANA KISASI. ALISEMA WAKI KUWA NIKISHINDWA NAKWENDA KUTAFUTA MAPEKECHEE.
BUSARA INGELIKUWA KUMTAFUTA AKAE NA WAFUASI WAKE WAACHE KUKIGAWA CHAMA. HILO ANAWEA KUFANYA, MY WORRY NI LISU MAANA HAELEWEKI!
Lisu aligoma alisema nambo ya chama ni kitu cha public hakuna haja ya kuficha siri yeyote10.1 Maadili ya Viongozi
(iii) Kila kiongozi anatakiwa kulinda siri zote za Chama.
LISSU ni mpole sana ,huo ndio ukweli, Alitakiwa awe ameshachukua hatua.Mie naona kuwa Lissu ni mpole sana.
Hebu angalia vifungu hivi vya kikatiba na kikanuni:
Kanuni za Chadema:
10.1 Maadili ya Viongozi
(iii) Kila kiongozi anatakiwa kulinda siri zote za Chama.
(ix) Kiongozi asijihusishe au kushiriki na vikundi au vitendo vya kuchonganisha au kuzua migogoro ndani ya uongozi wa Chama au
wanachama wake.
(x) Kiongozi asitoe tuhuma zozote juu ya viongozi wenzake pasipo kupitia vikao halali na kuzingatia taratibu na ngazi zilizoelezwa kwenye kanuni za Chama.
(xi) Kiongozi anatakiwa kutii na kutimiza maagizo anayopewa na viongozi wa ngazi ya juu au vikao halali na kama hakubaliani na maagizo hayo aeleze hivyo kwa kupitia taratibu na ngazi zilizowekwa kwenye kanuni.
(xii) Itakuwa marufuku kwa kiongozi wa CHADEMA kukashifu Chama, kiongozi au mwanachama yeyote wa Chama au vyama vingine, au viongozi wa kiserikali. Ni muhimu viongozi wa CHADEMA waelewe tofauti ya kashfa na ukosoaji wa kisiasa.
Katiba ya Chama:
6.3.6 (d) Bila kuathiri masharti ya vipengele (a) na (c) hapa juu, kiongozi yeyote anaweza kuchukuliwa hatua za kinidhamu ikiwa ni pamoja na kusimamishwa au kuachishwa uongozi na kikao cha juu ya ngazi yake ya uongozi.
My take:
Chadema inao uwezo wa kutumia kanuni ya "kikao cha juu" ili kuleta nidhamu kwa mpigo mmoja tu ndani ya chama chote.
One word to a wise man is enough ("verbum sapienti sat est")!
Hafiki uchaguzi mkuu huyo atatema bungo kuachia ngazi uenyekitiCHADEMA IPO, NA LISSU NDIO MWENYEKITI KWA MIAKA 10 .
Ila anakubali kuona uongozi wa Lisuu unafail.Naamini Mbowe hata kubali aone Chadema kina kufa akiwa hai.
Cdm iko mikononi mwa wananchi, sio kwenye magenge ya wauaza unga. Asiyekubaliana na NRNE, aende kwenye vyama vingine ambavyo vimekubali kushiriki chaguzi hizi.EXACTLY! AMETUMIA MAISHA YAKE YOTE KUIJENGA CHADEMA INAKUFA KIJINGA NAMNA HII!
Thubutu , LISSU umeanza kumjua Leo eehh??.Hafiki uchaguzi mkuu huyo atayema nungo kuachia ngazi uenyekiti