ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
๐๐๐๐๐๐๐Mpasuko unao wewe, CHADEMA hakuna mpasuko
View: https://www.instagram.com/p/DIGg6ZQJ-60/?igsh=MWk1ZWpwN2w2ZmcxNQ==
๐๐๐๐๐๐๐Mpasuko unao wewe, CHADEMA hakuna mpasuko
Hakuna hicho kitu, kila mtu anajifunza na past mistakes. Kama kupasuka chadema ingepasuka either kipindi cha zitto au kuondoka kwa Dr Slaa same as huu uchaguzi wa juzi ungeizika chadema ila kama tumevuka uchaguzi salama hakuna kitu kitaiua. Huyo Mrema ni nani? Hiyo movement ingekua ndio Lissu anaiongoza hapo sawa ila Mrema na Ntobi ndio wakuiuwa chadema?y
Ya TLP ya Mrema na CUF yalianza hivi hivi kama unavyosema. nadhani, you are a young generation wth no past experience in these issues of vyama vya siasa disintegrations
chadema ilishakufa mwaka 2015 Lissu ndio amerudisha tu kwenye angaNaamini Mbowe hata kubali aone Chadema kina kufa akiwa hai.
Hapana. Huu sio wakati wa yeye kujiingiza katika hili suala. Akifanya hivyo atafungulia mlango wazo la kuwa anataka kuingilia utawala uliopo madarakani. Hasemi kitu lakini matusi anayakoga. Awaache waendelee wanavyojua. Wakishinda itakuwa ni uthibitisho kuwa walikuwa sahihi.Kama huna upande wowote, ingilia kati. naamini unaweza kuepusha kupasuka chadema.
Naamini busara zako ni kubwa kulinganisha na wengine.
Ulikuwa na nafasi ya kuiba kura ukashinda. Hukufanya hivyo. Hilo linanipa uhakika kuwa unaweza kuwa msuluhishi mzuri....neutral one!
Lisu sio kiongozi ni meanaharakati. Mwanaharakati yeyote hafai kuwakiongozi sababu ni mtu anaueamini hisia zake yeye tu kiwani sahihiLaiti kama LISSU asingekomaa uchaguzi ule ukawa wa huru na hali mbele ya Vyombo vya habari, MBOWE ANGESHINDA.
Hivo so far Mbowe hajapona maumivu hayo , Uenyekiti wa CDM Mbowe aliutumia Kwa manufaa yake binafsi.
Hivo hata Asipokuwepo Ndani ya CHADEMA, LISSU NA TIMU YAKE INATOSHA.
Huyo ni mtuhumiwaKama huna upande wowote, ingilia kati. naamini unaweza kuepusha kupasuka chadema.
Naamini busara zako ni kubwa kulinganisha na wengine.
Ulikuwa na nafasi ya kuiba kura ukashinda. Hukufanya hivyo. Hilo linanipa uhakika kuwa unaweza kuwa msuluhishi mzuri....neutral one!