Mbowe kama unaweza ingilia kati mpasuko huu ndani ya CHADEMA

Kama huna upande wowote, ingilia kati. naamini unaweza kuepusha kupasuka chadema.
Naamini busara zako ni kubwa kulinganisha na wengine.

Ulikuwa na nafasi ya kuiba kura kashinda. Hukufanya. Hilo linanipa uhakika kuwa unawea kuwa msuluishi mzuri....neutral one!
😅😅😅😅😅wacha tu nicheke
 
Unapoteza muda bure. Ukitaka kujua owner wa project ya kina Mrema angalia waliopo ndani. In short wale wala hawataki ubunge! Hakuna anayeweza kushinda ubunge kwenye lile kundi so kuna la ziada.
 
😅😅😅😅😅wacha tu nicheke
Unadhani alishindwa kiba kura kura 33 walizopishana? that would have been a simple exercise. Lakini alikuwa mwadilifu. He had all weapons at his disposal.
 
Kama huna upande wowote, ingilia kati. naamini unaweza kuepusha kupasuka chadema.
Naamini busara zako ni kubwa kulinganisha na wengine.

Ulikuwa na nafasi ya kuiba kura kashinda. Hukufanya. Hilo linanipa uhakika kuwa unawea kuwa msuluishi mzuri....neutral one!
Hawo ambao hawakubaliani na maamuzi ya chama waondoke wenyewe kwa hiari waende wakagombee vyama vingine la sivyo ni kuwafyekelea mbali wote.Chadema hakuna mpasuko kama huamini waondoke hata sasa hivi chama kiko mioyoni mwa watu.
 
Good. Kama hukubaliani na mfumo wa wengi sepa.
 
Unapoteza muda bure. Ukitaka kujua owner wa project ya kina Mrema angalia waliopo ndani. In short wale wala hawataki ubunge! Hakuna anayeweza kushinda ubunge kwenye lile kundi so kuna la ziada.
Mh! catherine ana ushawishi serengeti.......... sijawaona wote but anything is possible. Mbowe basi atakuwa mjinga , kama aliruhusu demokrasia to take it shape, then aje kuwa na makundi haya, he must be a stupid rubbish! Kitu ambacho sikitegemei
 
Unapoteza muda.
Mbowe amesusa vikao vyote vya chama tangu akabidhi chama.
Hata kujibu tu mialiko ya vikao hakuna!
Hakuamini kwamba angepewa kichapo kinachoweza kufuta jina la "Mwamba" wakati wa uchaguzi wa ndani.
Nadhani G55 ni Mbowe in disguise!
Huyo mleta mada ndo watu walio kwenye payroll ya CCM kuleta fake tension CHADEMA ili kuwaondoa wananchi kwenye agenda ya No Reform No Election.

Usiwasikilize ni wa kupuuzwa tu hao mapandikizi. Ndo wapo kwenye hiyo payroll ya CCM.

Huitaji kwenda shule kuona na kugundua agenda ya No Reform No Election imekubaliwa vizuri na Watanzania wote.

Achana nae huyo. Yupo kazini kupoteza lengo la CHAMA.

Mbowe ndo kiongozi wao. Aliyeongoza kufanya biashara kwa kutumia siasa.
 
Kama huna upande wowote, ingilia kati. naamini unaweza kuepusha kupasuka chadema.
Naamini busara zako ni kubwa kulinganisha na wengine.

Ulikuwa na nafasi ya kuiba kura kashinda. Hukufanya. Hilo linanipa uhakika kuwa unawea kuwa msuluishi mzuri....neutral one!
MWACHENI MZEE WA WATU YUPO DUBAI.
 
Mbowe aliongea siku ile ile ambayo matokeo yalitangazwa kuwa alipokea simu nyingi ndani na nje ya nchi kutoka kwa familia yake kuwa apumzike kidogo na siasa.

Baada ya kumpongeza lissu alisema anaenda kupumzika kidogo na hakutaja ukomo wa muda atakapumzika.

Huenda yeye mwenyewe kaamua kujipa likizo ya mwaka.
 
Mh! catherine ana ushawishi serengeti.......... sijawaona wote but anything is possible. Mbowe basi atakuwa mjinga , kama aliruhusu demokrasia to take it shape, then aje kuwa na makundi haya, he must be a stupid rubbish! Kitu ambacho sikitegemei
Na hiyo ndiyo shida kubwa ya kuongoza kwa tamaa..Mbowe alikuwa ameshaingiwa tamaa na tuliomshauri asigombee ni ili kuepusha ujinga kama huu. Hivi Mrema anaweza kushinda ubunge Segerea? Alishindwa enzi za Kikwete kukiwa na demokrasia aje kushinda leo? Mrema 2010 alishindwa Vunjo tena akapitwa mpaka na mgombea wa CCM enzi hizo.

Haya Kileo aje kushinda ubunge Kawe? Hiyo inaingia akilini? Alishindwa Mwanga tangia 2010 tena huyu wala alikuwa haenguliwi chaguzi zote na zote alishindwa ije kuwa leo jimbo la Kawe?

Kiwanga alienguliwa kihuni kule Mlimba na Kunambi akazunguka nchi nzima na Lissu akilia kama mwehu, leo ndiyo anaona anaweza kushinda uhuni wa 2020?

Haya yule Emma Kimambo na Malya eti wanagombea Arusha! Hawaujui uhuni wa Makonda? Yani pale ni Mbowe anataka Chadema isiende mbele ili apigiwe magoti. Kasusa vikao vyote vya chama huyo ni kiongozi? Ni mhuni tu nilishawaambieni humu mkawa mnabisha leo mmeona? Na ajue kuwa Chadema bila yeye na genge lake itasonga mbele zaidi maana udalali utakuwa umefungwa rasmi!
 
Kama huna upande wowote, ingilia kati. naamini unaweza kuepusha kupasuka chadema.
Naamini busara zako ni kubwa kulinganisha na wengine.

Ulikuwa na nafasi ya kuiba kura kashinda. Hukufanya. Hilo linanipa uhakika kuwa unawea kuwa msuluishi mzuri....neutral one!
Je unafahamu aliye nyuma ya pazia ya hilo sakata, (saga) japokuwa haliwezi kuleta mpasuko badala yake lita leta afya kwenye chama

Binadamu akipata changamoto ndipo akili yake huamsha ubongo kuchakata mafile yaliyo hifadhiwa kwenye ubongo wake ambayo yatawezesha kutatua tatizo kumbe anapofanya hivyo hukutana na ubunifu
 
Kama huna upande wowote, ingilia kati. naamini unaweza kuepusha kupasuka chadema.
Naamini busara zako ni kubwa kulinganisha na wengine.

Ulikuwa na nafasi ya kuiba kura kashinda. Hukufanya. Hilo linanipa uhakika kuwa unawea kuwa msuluishi mzuri....neutral one!

Mbowe yupi?. Huyu aliyepigwa Chini na Lissu acha utani basi.
 
EXACTLY! AMETUMIA MAISHA YAKE YOTE KUIJENGA CHADEMA INAKUFA KIJINGA NAMNA HII!

Tangu siku ile Mbowe anaandamana yeye na mtoto wake pekee yao. CHADEMA ilikuwa imeshakufa. Lissu ndio kaifufua. Watu 29 ndio unaita mgawanyiko.
 
Back
Top Bottom