econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 25,522
- 40,795
Hafiki uchaguzi mkuu huyo atatema bungo kuachia ngazi uenyekiti
Uzuri ni kwamba Lissu ana back upa ya wanachama na wananchi. Atadumu Sana.
Hafiki uchaguzi mkuu huyo atatema bungo kuachia ngazi uenyekiti
Atakua kama Mrema LyatongaCHADEMA IPO, NA LISSU NDIO MWENYEKITI KWA MIAKA 10 .
Kipindi cha kampeni, lisu aliwatuhumu akina mbowe kula rushwa ya abdul, kutoa siri za chama alichukuliwa hatua gani, lisu ndio alioanza kuvunja kanuni za chama
Kumbe Lisu hakuwa na mpango wa kugombea uwenyekiti wadau wenye uwezo wa kufuatilia za ndani ndiyo waligundua kumbe kuna haja ya Lisu kugombea uwenyekiti ili kuleta mabadiliko ya kweli na siyo mabadiliko yanayo ishia nyuma ya mikamera cha ajabu hata mapovu hutokaTangu siku ile Mbowe anaandamana yeye na mtoto wake pekee yao. CHADEMA ilikuwa imeshakufa. Lissu ndio kaifufua. Watu 29 ndio unaita mgawanyiko.
Unadhani alishindwa kiba kura kura 33 walizopishana? that would have been a simple exercise. Lakini alikuwa mwadilifu. He had all weapons at his disposal.
Shukran Sana ndugu yanguMaua mkuu💐💐💐💐🌻💐🌻🌻🌻🌻💐💐💐💐💐💐🌻🌻
Mh! catherine ana ushawishi serengeti.......... sijawaona wote but anything is possible. Mbowe basi atakuwa mjinga , kama aliruhusu demokrasia to take it shape, then aje kuwa na makundi haya, he must be a stupid rubbish! Kitu ambacho sikitegemei
CCM haiwezi kukubali chadema ishinde, itafanya lolote.... hivyo hivyo Mbowe angeliweza....
Kumbe Lisu hakuwa na mpango wa kugombea uwenyekiti wadau wenye uwezo wa kufuatilia za ndani ndiyo waligundua kumbe kuna haja ya Lisu kugombea uwenyekiti ili kuleta mabadiliko ya kweli na siyo mabadiliko yanayo ishia nyuma ya mikamera cha ajabu hata mapovu hutoka
Ndio mnamwomba po leo, baada ya kumdhalilisha na kumpiga chini, mkaweka kichaa, sasa mnambwelambwela nini, pambaneni na hali yenu.Kama huna upande wowote, ingilia kati. naamini unaweza kuepusha kupasuka chadema.
Naamini busara zako ni kubwa kulinganisha na wengine.
Ulikuwa na nafasi ya kuiba kura kashinda. Hukufanya. Hilo linanipa uhakika kuwa unawea kuwa msuluishi mzuri....neutral one!
Lissu hajawahi, hatawahi, na hakubali hata siku moja mawazo yake yapingwe. Huyu jamaa akipata madaraka ni mmbaya kuliko Hitler.ALL IS POSSIBLE. SIDHANI KAMA MBOWE ANA KISASI. ALISEMA WAKI KUWA NIKISHINDWA NAKWENDA KUTAFUTA MAPEKECHEE.
BUSARA INGELIKUWA KUMTAFUTA AKAE NA WAFUASI WAKE WAACHE KUKIGAWA CHAMA. HILO ANAWEA KUFANYA, MY WORRY NI LISU MAANA HAELEWEKI!
Sioni mpasuko hapa zaidi ya watu kukengeuka, msimamo wa chama unaonekana na unafahamika, anayependa Sana kugombea atafute chamaKama huna upande wowote, ingilia kati. naamini unaweza kuepusha kupasuka chadema.
Naamini busara zako ni kubwa kulinganisha na wengine.
Ulikuwa na nafasi ya kuiba kura ukashinda. Hukufanya hivyo. Hilo linanipa uhakika kuwa unaweza kuwa msuluhishi mzuri....neutral one!
Hii kanuni ingefuatwa Lisu angekuwa wa kwanza kufukuzwa CHADEMA.Mie naona kuwa Lissu ni mpole sana.
Hebu angalia vifungu hivi vya kikatiba na kikanuni:
Kanuni za Chadema:
10.1 Maadili ya Viongozi
(iii) Kila kiongozi anatakiwa kulinda siri zote za Chama.
(ix) Kiongozi asijihusishe au kushiriki na vikundi au vitendo vya kuchonganisha au kuzua migogoro ndani ya uongozi wa Chama au
wanachama wake.
(x) Kiongozi asitoe tuhuma zozote juu ya viongozi wenzake pasipo kupitia vikao halali na kuzingatia taratibu na ngazi zilizoelezwa kwenye kanuni za Chama.
(xi) Kiongozi anatakiwa kutii na kutimiza maagizo anayopewa na viongozi wa ngazi ya juu au vikao halali na kama hakubaliani na maagizo hayo aeleze hivyo kwa kupitia taratibu na ngazi zilizowekwa kwenye kanuni.
(xii) Itakuwa marufuku kwa kiongozi wa CHADEMA kukashifu Chama, kiongozi au mwanachama yeyote wa Chama au vyama vingine, au viongozi wa kiserikali. Ni muhimu viongozi wa CHADEMA waelewe tofauti ya kashfa na ukosoaji wa kisiasa.
Katiba ya Chama:
6.3.6 (d) Bila kuathiri masharti ya vipengele (a) na (c) hapa juu, kiongozi yeyote anaweza kuchukuliwa hatua za kinidhamu ikiwa ni pamoja na kusimamishwa au kuachishwa uongozi na kikao cha juu ya ngazi yake ya uongozi.
Halafu mwanachama anapanua mdomo wake na kusema kuwa Lissu ni "Kasongo yoyo" na bado anabaki kwenye chama?
My take:
Chadema inao uwezo wa kutumia kanuni ya "kikao cha juu" ili kuleta nidhamu kwa mpigo mmoja tu ndani ya chama chote.
One word to a wise man is enough ("verbum sapienti sat est")!
Upende usipende lissu ndo mwenyekiti wa chademaLissu hajawahi, hatawahi, na hakubali hata siku moja mawazo yake yapingwe. Huyu jamaa akipata madaraka ni mmbaya kuliko Hitler.
SI RAHISI KAMA UNAVYOLIWEKA. TUNA UZOEFU MKUBWA WA HAYA MABO. ULIKUWA UMEALIWA WAKATI WA G55 YA NYERERE? NYERERE SUCCUMBED TO G 55...AKAWAPA VYEO NA BUSARA ZAIDI IKATUMIKA WAKATULIA.Sioni mpasuko hapa zaidi ya watu kukengeuka, msimamo wa chama unaonekana na unafahamika, anayependa Sana kugombea atafute chama
Hii kanuni ingefuatwa Lisu angekuwa wa kwanza kufukuzwa CHADEMA.
SI RAHISI KAMA UNAVYOLIWEKA. TUNA UZOEFU MKUBWA WA HAYA MABO. ULIKUWA UMEALIWA WAKATI WA G55 YA NYERERE? NYERERE SUCCUMBED TO G 55...AKAWAPA VYEO NA BUSARA ZAIDI IKATUMIKA WAKATULHaahaa mkuu
Lisu ni mbishi na hakujua uenyekiti una changamoto,na ni mgumu kukiri ugunu uliopo.Alfkiri kampen ndio uongozi.Uongozi sio ujasiri tu,bali unahitaji hekimaALL IS POSSIBLE. SIDHANI KAMA MBOWE ANA KISASI. ALISEMA WAKI KUWA NIKISHINDWA NAKWENDA KUTAFUTA MAPEKECHEE.
BUSARA INGELIKUWA KUMTAFUTA AKAE NA WAFUASI WAKE WAACHE KUKIGAWA CHAMA. HILO ANAWEA KUFANYA, MY WORRY NI LISU MAANA HAELEWEKI!