Mbowe kama unaweza ingilia kati mpasuko huu ndani ya CHADEMA

Vipi kama yeye mwenyewe ndiyo chanzo kikuu cha huo mpasuko ndani ya chama?
 
Hakuna mpasuko, Lissu ana mandate kubwa ya wanachama hao 55 ni tone tu na wote ni team mbowe ambao maslahi yao yamekatwa. Mbowe anataka akapigiwe magoti ili awatulize vijana wake. Ni hivi, hawa wapuuzwe tu with time watakimbilia CCM na tutakua tumemalizana nao.
 
y
Ya TLP ya Mrema na CUF yalianza hivi hivi kama unavyosema. nadhani, you are a young generation wth no past experience in these issues of vyama vya siasa disintegrations
 
Laiti kama LISSU asingekomaa uchaguzi ule ukawa wa huru na hali mbele ya Vyombo vya habari, MBOWE ANGESHINDA.
Kama mtu una nia ya kuiba Lisu asingelifanya lolote, angelipiga kelel lakini uchaguzi ungelifanyika. Mbowe alikuwa na dhamira ya kutenda haki! Mbona Chadema inakomaa na CCM kwenye chaguzi lakini CCM inapeta kwa kila mbinu maana wana vyombo vya kuwasupport. Mbowe alikuwa na kila zana za kuiba kura. angelikataa vyombo kuingia mle, nani angelimfanya kitu? think deep
 
Ni marufuku kujisalimisha kwa wasaliti,hawa G55 tayari wako kwenye payroll ya CCM.
 
Kipindi cha kampeni, lisu aliwatuhumu akina mbowe kula rushwa ya abdul, kutoa siri za chama alichukuliwa hatua gani, lisu ndio alioanza kuvunja kanuni za chama
 
Kipindi cha kampeni, lisu aliwatuhumu akina mbowe kula rushwa ya abdul, kutoa siri za chama alichukuliwa hatua gani, lisu ndio alioanza kuvunja kanuni za chama
Mwaka huu ndio utajua kuwa LAKI NI PESA.....ILE AIBU YA ABDUL KUHONGA PESA ni cha mtoto wakati wa Kampeni mtachagua mchutame au mchuchumae!
 
Kaka mpaka leo hii ni mtoto mdogo wa darasa la nne tu ambaye hawezi kutambua maumivu aliyoyapata FAM na genge lake kwa kupigwa chini na team TAL mbaya zaidi kwa kutumia pesa "'Mama Abdu"l" walizokula sasa zinawatokea puani...

Kwa ufupi ni kwa mba baada ya kula ela ya Mama na matokeo yakaja tofauti na matarajio kwa hivi sasa wameambiwa wawaachie wenye pesa yao ndio wawapangie nini cha kufanya na ndio maana ukiangalia style wanayotumia NJAA 55 ndiyo ile ile wamekuwa wakitumia chama chakavu kubomoa upinzani ila walichoshahau ni kwamba CDMA tayari ipo mioyoni mwa wananchi wengi na TAL ni mpango wa Mungu...

Kwa hiyo ndugu zangu akina kileo na Shirima waambieni kaka zenu wakafanye biashara nyingine, ujanja ujanja umeisha chama kimerudi kwa wananchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…