haandika haya nakutoa kenye dictionary yangu! Ujinga usio na ushahidi siwezi kuujadili. kwaheri! Inaelekea wewe ni wa juzi juzi.....kutumia pesa Mama Abudul
😅😅😅😅😅wacha tu nichekeKama huna upande wowote, ingilia kati. naamini unaweza kuepusha kupasuka chadema.
Naamini busara zako ni kubwa kulinganisha na wengine.
Ulikuwa na nafasi ya kuiba kura kashinda. Hukufanya. Hilo linanipa uhakika kuwa unawea kuwa msuluishi mzuri....neutral one!
Unapoteza muda bure. Ukitaka kujua owner wa project ya kina Mrema angalia waliopo ndani. In short wale wala hawataki ubunge! Hakuna anayeweza kushinda ubunge kwenye lile kundi so kuna la ziada.Kama huna upande wowote, ingilia kati. naamini unaweza kuepusha kupasuka chadema.
Naamini busara zako ni kubwa kulinganisha na wengine.
Ulikuwa na nafasi ya kuiba kura kashinda. Hukufanya. Hilo linanipa uhakika kuwa unawea kuwa msuluishi mzuri....neutral one!
Unadhani alishindwa kiba kura kura 33 walizopishana? that would have been a simple exercise. Lakini alikuwa mwadilifu. He had all weapons at his disposal.😅😅😅😅😅wacha tu nicheke
Hawo ambao hawakubaliani na maamuzi ya chama waondoke wenyewe kwa hiari waende wakagombee vyama vingine la sivyo ni kuwafyekelea mbali wote.Chadema hakuna mpasuko kama huamini waondoke hata sasa hivi chama kiko mioyoni mwa watu.Kama huna upande wowote, ingilia kati. naamini unaweza kuepusha kupasuka chadema.
Naamini busara zako ni kubwa kulinganisha na wengine.
Ulikuwa na nafasi ya kuiba kura kashinda. Hukufanya. Hilo linanipa uhakika kuwa unawea kuwa msuluishi mzuri....neutral one!
Jipe moyoUnadhani alishindwa kiba kura kura 33 walizopishana? that would have been a simple exercise. Lakini alikuwa mwadilifu. He had all weapons at his disposal.
Good. Kama hukubaliani na mfumo wa wengi sepa.Hawo ambao hawakubaliani na maamuzi ya chama waondoke wenyewe kwa hiari waende wakagombee vyama vingine la sivyo ni kuwafyekelea mbali wote.Chadema hakuna mpasuko kama huamini waondoke hata sasa hivi chama kiko mioyoni mwa watu.
Mh! catherine ana ushawishi serengeti.......... sijawaona wote but anything is possible. Mbowe basi atakuwa mjinga , kama aliruhusu demokrasia to take it shape, then aje kuwa na makundi haya, he must be a stupid rubbish! Kitu ambacho sikitegemeiUnapoteza muda bure. Ukitaka kujua owner wa project ya kina Mrema angalia waliopo ndani. In short wale wala hawataki ubunge! Hakuna anayeweza kushinda ubunge kwenye lile kundi so kuna la ziada.
Huyo mleta mada ndo watu walio kwenye payroll ya CCM kuleta fake tension CHADEMA ili kuwaondoa wananchi kwenye agenda ya No Reform No Election.Unapoteza muda.
Mbowe amesusa vikao vyote vya chama tangu akabidhi chama.
Hata kujibu tu mialiko ya vikao hakuna!
Hakuamini kwamba angepewa kichapo kinachoweza kufuta jina la "Mwamba" wakati wa uchaguzi wa ndani.
Nadhani G55 ni Mbowe in disguise!
CCM haiwezi kukubali chadema ishinde, itafanya lolote.... hivyo hivyo Mbowe angeliweza....Jipe moyo
MWACHENI MZEE WA WATU YUPO DUBAI.Kama huna upande wowote, ingilia kati. naamini unaweza kuepusha kupasuka chadema.
Naamini busara zako ni kubwa kulinganisha na wengine.
Ulikuwa na nafasi ya kuiba kura kashinda. Hukufanya. Hilo linanipa uhakika kuwa unawea kuwa msuluishi mzuri....neutral one!
Ndiyo hivyo mkuu,hatutaki tena siasa za kilaghai kwa sasa.Good. Kama hukubaliani na mfumo wa wengi sepa.
Na hiyo ndiyo shida kubwa ya kuongoza kwa tamaa..Mbowe alikuwa ameshaingiwa tamaa na tuliomshauri asigombee ni ili kuepusha ujinga kama huu. Hivi Mrema anaweza kushinda ubunge Segerea? Alishindwa enzi za Kikwete kukiwa na demokrasia aje kushinda leo? Mrema 2010 alishindwa Vunjo tena akapitwa mpaka na mgombea wa CCM enzi hizo.Mh! catherine ana ushawishi serengeti.......... sijawaona wote but anything is possible. Mbowe basi atakuwa mjinga , kama aliruhusu demokrasia to take it shape, then aje kuwa na makundi haya, he must be a stupid rubbish! Kitu ambacho sikitegemei
yuko kwenye msiba wa mdogo wake na MteiMWACHENI MZEE WA WATU YUPO DUBAI.
Je unafahamu aliye nyuma ya pazia ya hilo sakata, (saga) japokuwa haliwezi kuleta mpasuko badala yake lita leta afya kwenye chamaKama huna upande wowote, ingilia kati. naamini unaweza kuepusha kupasuka chadema.
Naamini busara zako ni kubwa kulinganisha na wengine.
Ulikuwa na nafasi ya kuiba kura kashinda. Hukufanya. Hilo linanipa uhakika kuwa unawea kuwa msuluishi mzuri....neutral one!
Kama huna upande wowote, ingilia kati. naamini unaweza kuepusha kupasuka chadema.
Naamini busara zako ni kubwa kulinganisha na wengine.
Ulikuwa na nafasi ya kuiba kura kashinda. Hukufanya. Hilo linanipa uhakika kuwa unawea kuwa msuluishi mzuri....neutral one!
Mwamba anakula popcorn 🍿 tu na black coffee ☕️ pembeni huku ameshikilia remote anaangalia watu wakinyukana chamani
EXACTLY! AMETUMIA MAISHA YAKE YOTE KUIJENGA CHADEMA INAKUFA KIJINGA NAMNA HII!