Mbowe kama unaweza ingilia kati mpasuko huu ndani ya CHADEMA

Kipindi cha kampeni, lisu aliwatuhumu akina mbowe kula rushwa ya abdul, kutoa siri za chama alichukuliwa hatua gani, lisu ndio alioanza kuvunja kanuni za chama

Tangu lini kula rushwa ikawa Siri ya chama?. Lissu alikuwa mkweli
 
Tangu siku ile Mbowe anaandamana yeye na mtoto wake pekee yao. CHADEMA ilikuwa imeshakufa. Lissu ndio kaifufua. Watu 29 ndio unaita mgawanyiko.
Kumbe Lisu hakuwa na mpango wa kugombea uwenyekiti wadau wenye uwezo wa kufuatilia za ndani ndiyo waligundua kumbe kuna haja ya Lisu kugombea uwenyekiti ili kuleta mabadiliko ya kweli na siyo mabadiliko yanayo ishia nyuma ya mikamera cha ajabu hata mapovu hutoka
 
Unadhani alishindwa kiba kura kura 33 walizopishana? that would have been a simple exercise. Lakini alikuwa mwadilifu. He had all weapons at his disposal.

Alipigwa Chini na Mwamba Lissu. Lissu sio mchezo kamstaafisha kuruzinza kwa nguvu chama kimerudi kwa wananchi.
 
Mh! catherine ana ushawishi serengeti.......... sijawaona wote but anything is possible. Mbowe basi atakuwa mjinga , kama aliruhusu demokrasia to take it shape, then aje kuwa na makundi haya, he must be a stupid rubbish! Kitu ambacho sikitegemei

Anaushawishi kwa sababu ya chama. Akijiondoa CHADEMA huo ushawishi unaisha.
 
Mbowe ndo master plan kaamua kufadhili migogoro ili Lissu aonekane hafai
 
CCM haiwezi kukubali chadema ishinde, itafanya lolote.... hivyo hivyo Mbowe angeliweza....

Mbowe alikuwa ana Imani atashinda ila akapigwa ngwara na Lissu mbele ya Dunia mzima. Apumzike Sasa.
 

Kweli kabisa mkuu.
 
Ndio mnamwomba po leo, baada ya kumdhalilisha na kumpiga chini, mkaweka kichaa, sasa mnambwelambwela nini, pambaneni na hali yenu.
 
ALL IS POSSIBLE. SIDHANI KAMA MBOWE ANA KISASI. ALISEMA WAKI KUWA NIKISHINDWA NAKWENDA KUTAFUTA MAPEKECHEE.
BUSARA INGELIKUWA KUMTAFUTA AKAE NA WAFUASI WAKE WAACHE KUKIGAWA CHAMA. HILO ANAWEA KUFANYA, MY WORRY NI LISU MAANA HAELEWEKI!
Lissu hajawahi, hatawahi, na hakubali hata siku moja mawazo yake yapingwe. Huyu jamaa akipata madaraka ni mmbaya kuliko Hitler.
 
Sioni mpasuko hapa zaidi ya watu kukengeuka, msimamo wa chama unaonekana na unafahamika, anayependa Sana kugombea atafute chama
 
Hii kanuni ingefuatwa Lisu angekuwa wa kwanza kufukuzwa CHADEMA.
 
Sioni mpasuko hapa zaidi ya watu kukengeuka, msimamo wa chama unaonekana na unafahamika, anayependa Sana kugombea atafute chama
SI RAHISI KAMA UNAVYOLIWEKA. TUNA UZOEFU MKUBWA WA HAYA MABO. ULIKUWA UMEALIWA WAKATI WA G55 YA NYERERE? NYERERE SUCCUMBED TO G 55...AKAWAPA VYEO NA BUSARA ZAIDI IKATUMIKA WAKATULIA.
 
Haaha mkuu usijudanganye, chadema Ina uzoefu makubwa Sana wa kushughulikia migogoro, muda utasema.Lissu ni chuma sio mbowe
SI RAHISI KAMA UNAVYOLIWEKA. TUNA UZOEFU MKUBWA WA HAYA MABO. ULIKUWA UMEALIWA WAKATI WA G55 YA NYERERE? NYERERE SUCCUMBED TO G 55...AKAWAPA VYEO NA BUSARA ZAIDI IKATUMIKA WAKATULHaahaa mkuu
 
..Muda ukifika hakutakuwa na muda wa kuangaliana usoni, watatimuliwa tu...umma unaunga mkono msimamo wa viongozi wa chadema
 
ALL IS POSSIBLE. SIDHANI KAMA MBOWE ANA KISASI. ALISEMA WAKI KUWA NIKISHINDWA NAKWENDA KUTAFUTA MAPEKECHEE.
BUSARA INGELIKUWA KUMTAFUTA AKAE NA WAFUASI WAKE WAACHE KUKIGAWA CHAMA. HILO ANAWEA KUFANYA, MY WORRY NI LISU MAANA HAELEWEKI!
Lisu ni mbishi na hakujua uenyekiti una changamoto,na ni mgumu kukiri ugunu uliopo.Alfkiri kampen ndio uongozi.Uongozi sio ujasiri tu,bali unahitaji hekima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…