Mbowe kama unaweza ingilia kati mpasuko huu ndani ya CHADEMA

y

Ya TLP ya Mrema na CUF yalianza hivi hivi kama unavyosema. nadhani, you are a young generation wth no past experience in these issues of vyama vya siasa disintegrations
Hakuna hicho kitu, kila mtu anajifunza na past mistakes. Kama kupasuka chadema ingepasuka either kipindi cha zitto au kuondoka kwa Dr Slaa same as huu uchaguzi wa juzi ungeizika chadema ila kama tumevuka uchaguzi salama hakuna kitu kitaiua. Huyo Mrema ni nani? Hiyo movement ingekua ndio Lissu anaiongoza hapo sawa ila Mrema na Ntobi ndio wakuiuwa chadema?
 
Hapana. Huu sio wakati wa yeye kujiingiza katika hili suala. Akifanya hivyo atafungulia mlango wazo la kuwa anataka kuingilia utawala uliopo madarakani. Hasemi kitu lakini matusi anayakoga. Awaache waendelee wanavyojua. Wakishinda itakuwa ni uthibitisho kuwa walikuwa sahihi.

Wakishindwa watapata akili ya kuacha kiburi ili washirikiane na wenye mtazamo tofauti na wa kwao. Mbowe ni mtu makini, ukifika wakati muafaka atashirikiana na wenzie kukinusuru chama. Huu sio wakati wa kujadiliana na watu ambao wanafurahia kupigwa kiongozi Mwandamizi wa chama pamoja na wengine kushughulikiwa kutofautiana nae. Tofauti na propaganda za humu ndani, tayari kuna ufa katika Team Lissu. Dhana ya FAFO imedhihirika.

Amandla...
 
Lisu sio kiongozi ni meanaharakati. Mwanaharakati yeyote hafai kuwakiongozi sababu ni mtu anaueamini hisia zake yeye tu kiwani sahihi
 
Huyo ni mtuhumiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…