Mbowe: Mkisikia nimepigwa risasi iombeeni roho yangu ipumzike mahali pema peponi. Ninyi songeni mbele"

Hii ikitokea mwakani upinzani watachukua nchi sababu yeye na wenzake hakina Lipumba, Dr. Slaa ndio chanzo cha ccm kuendelea kutawala
 
Roho yako ilazwe peponi gani wewe chairman Mbowe? acha vichekesho bana 🀣

Mtu yeyote tu akifa tutamuomba Mungu aiweke Roho yake mahala ambapo anastahili, basi! Lakini sio huo ushirikina.

Eti peponi, labda aache konyagi 🀣
 
Wewe mwenyewe mganga wako wa Tanga umemuacha? Halafu amesema iombee roho yake hajachagua maombi!
 
Wewe mwenyewe mganga wako wa Tanga umemuacha? Halafu amesema iombee roho yake hajachagua maombi!
maswala ya peponi si ya kumpangia Mungu. Mpaka kwanza ajibu machozi ya wanaolia na kulalamika juu yake mbele za haki ndipo itajulikana na kuamuliwa na Mungu mwenyewe ikiwa ni wa peponi au wa kule kwingineko πŸ’

Tuliza mihemko kidogo gentleman mambo muhimu haya
 
Marufuku Iko pale pale πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/reel/DAOWePCsolT/?igsh=b3A2NDN2cmdiaHBj
 
Roho yako ilazwe peponi gani wewe chairman Mbowe? acha vichekesho bana 🀣

Mtu yeyote tu akifa tutamuomba Mungu aiweke Roho yake mahala ambapo anastahili, basi! Lakini sio huo ushirikina.

Eti peponi, labda aache konyagi 🀣
Kwa kuwa nyie mmejaa laana mnadhani kila mtu yupo hivyo
 
Kesho huenda mikoa 20 ikawa kwenye maandamano, ikiwa Jeshi la Polisi itashindwa kutegua mtego inaoingizwa na Chadema, wakajazana Dar.

Ova
 
Kwa kuwa nyie mmejaa laana mnadhani kila mtu yupo hivyo
siku ya mwisho mbele za haki kwa Mungu mpaka ujibu kwanza vilio na machozi uliyoyadhulumu humu duniani ndipo utajua wewe ni wa peponi au kule kwingineko.πŸ’

na hapatakua na konyagi huko 🀣
 
Huu ni ujasiri na uzalendo wa hali ya juu kabisa kuwahi kutokea hapa nchini! Mbowe tupo pamoja hadi mwisho!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…