Mbowe: Mkisikia nimepigwa risasi iombeeni roho yangu ipumzike mahali pema peponi. Ninyi songeni mbele"

Mbowe: Mkisikia nimepigwa risasi iombeeni roho yangu ipumzike mahali pema peponi. Ninyi songeni mbele"

Apigwe risasi na nani huyo? Huyo anaingizwa nyuma ya landrover tu, akanyee

Bila kusahahu kuwa hakufaulu kidata cha nne (mjinga)
Hakufaulu form IV, ila anakuajiri na ukoo wako wote kiuchumi. Sipendi mandamano, hugharimu, muda, rasilimali, na uhai. Alipoenda jela hakuna aliyejitikisa hata kumsalimia. Japo hata wangeruhusiwa sioni madhara yoyote. Wakati wa Augustino Lyatonga Mrema 1995, campaigns za urais wakati huo, askari walipokataza asishabikiwe, Mwl Julius Nyerere alisema "acheni wambebe, wakichoka watamshusha wenyewe" Na kweli mpaka anakufa hakuwahi kuwa Rais. Badala ya kuvunja kwa risasi na kuuwa nguvu kazi ya vijana katika tiga maskini sana linalojitafuta bado, waandamanaji wangelindwa tu wapige mayowe, kelele, kiu iwapige, njaa iwakung'ute na jioni wanarudi kulala njaa wakiwa hoi kwa miguu.
 
Kauli hii ameitoa leo kupitia X Spaces alipokjwa akiwahutubia wananchi wenye mapenzi mema kwa anchi na waliojipanga kushiriki kwa amani maandamano ya tarehe 23 Septemba 2024.

View attachment 3103371
Mbowe amesema kuwa mkisikia amepigwa risasi iombeeni roho yake ipumzike mahali pema peponi. Ninyi songeni mbele.

Tanzania Salama bila utekaji na mauaji ya raia inawezekana.

Polisi waache kutishia raia.
Polisi watoe ulinzi kwa waandamanaji
Polisi wasianzishe vurugu

Mmeshakula hela za wagiriki zitawatokea puani
Cup_-_Terracotta_-_1.jpg
 
Kauli hii ameitoa leo kupitia X Spaces alipokjwa akiwahutubia wananchi wenye mapenzi mema kwa anchi na waliojipanga kushiriki kwa amani maandamano ya tarehe 23 Septemba 2024.

View attachment 3103371
Mbowe amesema kuwa mkisikia amepigwa risasi iombeeni roho yake ipumzike mahali pema peponi. Ninyi songeni mbele.

Tanzania Salama bila utekaji na mauaji ya raia inawezekana.

Polisi waache kutishia raia.
Polisi watoe ulinzi kwa waandamanaji
Polisi wasianzishe vurugu
Kwa hiyo wwe Mbowe umesha pigwa risasi unekufa,alafu huku umekufa unatuambia tusonge mbele!sasa si tutakufa wote!!?? Sasa nani atamtetea mwenzake wakati wote tumesha kufa!!!??
 
Kauli hii ameitoa leo kupitia X Spaces alipokjwa akiwahutubia wananchi wenye mapenzi mema kwa anchi na waliojipanga kushiriki kwa amani maandamano ya tarehe 23 Septemba 2024.

View attachment 3103371
Mbowe amesema kuwa mkisikia amepigwa risasi iombeeni roho yake ipumzike mahali pema peponi. Ninyi songeni mbele.

Tanzania Salama bila utekaji na mauaji ya raia inawezekana.

Polisi waache kutishia raia.
Polisi watoe ulinzi kwa waandamanaji
Polisi wasianzishe vurugu
Polisi mshikeni tu huyo jamaa na msimjeruhi kabisa ingawaje nataraji hatajitokeza kwenye njia alizozichora.
 
Ni Mbowe aliyemsaliti Dr. Slaa au ni Dr.Slaa aliyeanza usaliti?😜
Mbowe alileta Lowassa bila makubaliano baada ya kupewa pesa

Akamtosa slaa a kampa EL, aka Rosa mnyika akampa mashinji etc

If you don’t see that…. Jipige dole
 
Mh Mbowe hili utakuwa umeoteshwa, tusipuuze.

Nashauri vaeni bullet proof.

Tusiogope kutenda mema, tutalipwa Kwa wakati wake tusipozimia Roho.
 
Back
Top Bottom