TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 28,186
- 15,549
Ifike sehemu chagadomozz mumtambue adui yenuWatawala wa kiafrika hasa wenye dosari za kiuongozi huwa wana hofu sanaa!!.
Kamwe huwa hawajiamini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ifike sehemu chagadomozz mumtambue adui yenuWatawala wa kiafrika hasa wenye dosari za kiuongozi huwa wana hofu sanaa!!.
Kamwe huwa hawajiamini.
Apigwe risasi na nani huyo? Huyo anaingizwa nyuma ya landrover tu, akanyee
Hakufaulu form IV, ila anakuajiri na ukoo wako wote kiuchumi. Sipendi mandamano, hugharimu, muda, rasilimali, na uhai. Alipoenda jela hakuna aliyejitikisa hata kumsalimia. Japo hata wangeruhusiwa sioni madhara yoyote. Wakati wa Augustino Lyatonga Mrema 1995, campaigns za urais wakati huo, askari walipokataza asishabikiwe, Mwl Julius Nyerere alisema "acheni wambebe, wakichoka watamshusha wenyewe" Na kweli mpaka anakufa hakuwahi kuwa Rais. Badala ya kuvunja kwa risasi na kuuwa nguvu kazi ya vijana katika tiga maskini sana linalojitafuta bado, waandamanaji wangelindwa tu wapige mayowe, kelele, kiu iwapige, njaa iwakung'ute na jioni wanarudi kulala njaa wakiwa hoi kwa miguu.Bila kusahahu kuwa hakufaulu kidata cha nne (mjinga)
Kauli hii ameitoa leo kupitia X Spaces alipokjwa akiwahutubia wananchi wenye mapenzi mema kwa anchi na waliojipanga kushiriki kwa amani maandamano ya tarehe 23 Septemba 2024.
View attachment 3103371
Mbowe amesema kuwa mkisikia amepigwa risasi iombeeni roho yake ipumzike mahali pema peponi. Ninyi songeni mbele.
Tanzania Salama bila utekaji na mauaji ya raia inawezekana.
Polisi waache kutishia raia.
Polisi watoe ulinzi kwa waandamanaji
Polisi wasianzishe vurugu
Kwa hiyo wwe Mbowe umesha pigwa risasi unekufa,alafu huku umekufa unatuambia tusonge mbele!sasa si tutakufa wote!!?? Sasa nani atamtetea mwenzake wakati wote tumesha kufa!!!??Kauli hii ameitoa leo kupitia X Spaces alipokjwa akiwahutubia wananchi wenye mapenzi mema kwa anchi na waliojipanga kushiriki kwa amani maandamano ya tarehe 23 Septemba 2024.
View attachment 3103371
Mbowe amesema kuwa mkisikia amepigwa risasi iombeeni roho yake ipumzike mahali pema peponi. Ninyi songeni mbele.
Tanzania Salama bila utekaji na mauaji ya raia inawezekana.
Polisi waache kutishia raia.
Polisi watoe ulinzi kwa waandamanaji
Polisi wasianzishe vurugu
Ni Mbowe aliyemsaliti Dr. Slaa au ni Dr.Slaa aliyeanza usaliti?😜
...The day he betrayed dr slaa….
Polisi waache kutishia raia.
Imeigizwa hiyo,kama ni yeye weka video ya kama Jerry Silaa akiwa Waziri wa Aridhi akitenda Majukumu yake akiwa site!!??Nimemsikiliza ni yeye
Polisi mshikeni tu huyo jamaa na msimjeruhi kabisa ingawaje nataraji hatajitokeza kwenye njia alizozichora.Kauli hii ameitoa leo kupitia X Spaces alipokjwa akiwahutubia wananchi wenye mapenzi mema kwa anchi na waliojipanga kushiriki kwa amani maandamano ya tarehe 23 Septemba 2024.
View attachment 3103371
Mbowe amesema kuwa mkisikia amepigwa risasi iombeeni roho yake ipumzike mahali pema peponi. Ninyi songeni mbele.
Tanzania Salama bila utekaji na mauaji ya raia inawezekana.
Polisi waache kutishia raia.
Polisi watoe ulinzi kwa waandamanaji
Polisi wasianzishe vurugu
Mbowe alileta Lowassa bila makubaliano baada ya kupewa pesaNi Mbowe aliyemsaliti Dr. Slaa au ni Dr.Slaa aliyeanza usaliti?😜
Lakini sasa hivi lao moja. Msaliti na msalitiwa😎Mbowe alileta Lowassa bila makubaliano baada ya kupewa pesa
Akamtosa slaa a kampa EL, aka Rosa mnyika akampa mashinji etc
If you don’t see that…. Go JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala yourself
Baba ndubwi is a snitchLakini sasa hivi wako pamoja. Msaliti na msalitiwa😎
Shauri yao watajijua wenyewe😂Baba ndubwi is a snitch
For life
Anachofanya ni kuongeza his bargaining chips tu
Soli marinda yakikurudi utakua na akiliApigwe risasi na nani huyo? Huyo anaingizwa nyuma ya landrover tu, akanyee debe.