Mcharo son
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 4,718
- 3,804
Wana kitu inaitwa 'nguvu ya umma' Ogopa hiyo vifaru na mizinga tupa kule.Wananchi wana vifaru na mizinga!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wana kitu inaitwa 'nguvu ya umma' Ogopa hiyo vifaru na mizinga tupa kule.Wananchi wana vifaru na mizinga!?
Samia must goNyumbu ni mnyama Jamii ya mamalia yani hali kitu chenye damu.. Kwamba hategei damu ya kiumbe hai imwagike ndio yeye aishi.. Yeye ni vegan.. Damu kwake mwiko!
LAKINI kuna mahali pakifika nyumbu huwa hahofii tena makucha wala meno makali ya carnivora yeyote yule awaye yote. hupambana na kupambania uhai wake!
Kampeni ya SAMY MUST GO! Ni dalili za kuchoka kwa Nyumbu kwenye kuonewa, kunyanyaswa, kutekwa kupotezwa na hata kuuliwa
Samy lazima aende (aondoke mazima) ni dalili za wazi kwamba nyumbu kachoka na sasa anata kujilipua
Mdharau mwiba guu huota tende kama si tetanus na hatima yake ni kifo ( cha kujitakia)
Goof night Tanganyika (SMG)
Mbowe akiwa kwenye mkutano wa waandishi uliohudhuriwa na wanachama wa CHADEMA asema wataanza na kampeni ya Samia Must Go ikiwa hakutakuwa na uwajibikaji kwenye matukio ya utekaji.
Mbowe pia ametoa rai kwa viongozi wa CHADEMA siku 12 kuanzia sasa kuja Dar kwaajili ya kupeana mikakati muhimu kwa hatua zaidi.
Soma Pia:
- Freeman Mbowe: Scotland Yard ya Uingereza ichunguze Matukio ya Utekaji na Uuaji nchini
- News Alert: - Freeman Mbowe: Vikao vya CHADEMA vimesema 'This Must Come to an End', lazima jambo hili lifike mwisho
- Rais Samia aagiza Vyombo vya Uchunguzi kumpa taarifa ya kina ya Kifo cha Ali Mohamed Kibao
- Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
=====
"Kisiasa, n ani vyema mkasikia bunge la Tanzania, mwaka jana (2023) katika mabadiliko ya sheria ya usalama wa taifa ilipeleka usimamizi ya idara ya usalama wa taifa moja kwa moja Ikulu kusimamiwa na Rais, na sheria ile ilitoa kwa mara ya kwanza haki ya watu wa usalama wa taifa kukamata watu, kuwaweka kizuizini, bila kueleza mahali popote wala bila kushtakiwa.
"Sheria hii ilivyopitishwa Rais aliipitisha na akajimilikisha mamlaka ya usalama wa taifa. Sasa mimi kwa niaba ya CHADEMA na vikao na vikao vyangu, tuna declare mtu wa kwanza kuwajibishwa katika masuala hay ani Rais Samia Suluhu Hassan.
"Na sisi tunasema tunaanza moja kwa moja kampeni inayoitwa ‘Samia Must Go’, hiyo ndiyo rai yetu. Sasa basi, kwasababu bado tuna msiba, tumekubaliana kwamba tuna msiba kwasababu kuna viongozi wetu hatujui wako wapi. Kwahiyo sisi kama chama hatujamaliza msiba. Tutaendelea na msiba wetu kitaifa na bender azote za chama zitapeperushwa nusu mlingoti hadi tujue watu wetu wako wapi, wako hai au mauti
"Lingine, kuanzia siku ya Jumatatu, tar 23/9/2024 mkumbuke nilitangaza tar 21 tunategemea tuone hatua za watu kuwajibika zimeanza. Kama hawatachukuliana hatua wenyewe kwa wenyewe, sisi kuanzia tarehe 23 jiji lote la Dar es Salaam, kila kata kila mtaa.. ndugu zangu tumekuwa tunafanya utani mara nyingi, lakini kwa wakati huu hatuna utani.
"Kuanzia jumatatu sisi tutaingia barabarani kudai tunachoona ni uhai wa watu wetu waliopotenzwa unless serikali imechukua hatua za haraka na za makusudi kuwarejesha, watu kujiuzulu na watu wote kuwajibika kwa mujibu wa tamko letu la leo." - Amesema Mbowe katika mkutano kwenye ofisi za CHADEMA, Mikocheni leo 11/9/2024
Majaaliwa ya Rais Samia kugombea 2025, yamelalia kwenye hoja HII .Samia tunaye labda Mambo yaharibike zaidi.
Au Pascal Mayalla waonaje??
Huu ujinga ulioandika ndio wanaoutumia kuteka na kuua watu wakiamini watanzania watatulia tu. Usisubiri yakukute ndio ujie umuhimu wa kuchukua hatua kama hizi.Watanzania tunayo aina yetu ya maisha ya kutatua mambo yetu kwa mazungumzo. Kwa msingi huo, kwenda kinyume ni kutafuta jinai na katika vitu ninavyoviheshimu kwenye nchi hii; ni kutokuchezea mamlaka ya Rais, amani, Uhuru na Usalama wa Nchi. Tusiige demokrasia isiyoendana na historia yetu. 🙏🙏🙏
How eb tupe mawazo mbadalaNadhani hiyo ni wrong approach ambayo itasababisha ccm wote waungane kumtetea m/kiti wao. Nice approach ni kumgombanisha sa100 na wanaccm wenzake.
🤣Ungejua mfumo wa Jeshi uliopo una mfavour zaidi Rais wa Nchi.
Na hao wanaongozwa na Kiapo Kwa Amiri Jeshi Mkuu wao, ambaye ni Rais wa Jamhuri ya Muungano.
Wa libya walikua na vifaru na mizinga na ndege, achilia mbali bunduki vitaWana kitu inaitwa 'nguvu ya umma' Ogopa hiyo vifaru na mizinga tupa kule.
🤣 lolote linaweza kutokea. Wakitaka wanafanya tu.😂 Dah ww jamaa bhana