Pre GE2025 Mbowe: Mtu wa kwanza kuwajibishwa kwenye matukio ya utekaji ni Rais Samia. CHADEMA kuanza kampeni ya 'Samia Must Go'

Pre GE2025 Mbowe: Mtu wa kwanza kuwajibishwa kwenye matukio ya utekaji ni Rais Samia. CHADEMA kuanza kampeni ya 'Samia Must Go'

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
labda, ila kumbuka yeye ndo ali liheshimisha jeshi !!.
Yeye na ma mamvi wali ingiza intake kubwa ya watu.
Nakubaliana na wewe, lakini suala la Jeshi kuasi hilo sahau

Inaweza kutumika njia shortcut ya kuhusisha watu wachache kutekeleza mission lakini sio Kwa Jeshi zima, Kuna watu wamevalishwa Vyeo naye Juzi tu hapo
 
Lakini waelewa kwanini ana badilisha manager wa duka la taarifa kila Mara??
 
Hiyo ni mbinu ya kujilinda, ndiyo maana ameamua kumleta wa kutoka Nchi ya mbali huku wale waliopita wakiwa kwenye uangalizi maalumu Kwa Kila hatua wanayopiga
Muoga Sana, mpaka mlinzi mkuu wa walinzi kabadilisha watatu.
Sijui ita kuwaje, ila yule mzee ni kiboko nchi hii.
 
Mkuu unazungumzia Nchi gani, hii hii Tanzania?

Kama ni Tanzania, hilo suala halitaweza kutokea hata baada ya miaka 100 ijayo

Ungejua Kuna watu walikuwa na ndoto kama yako, alipofariki JPM lakini kilitokea nini? Walishindwa kabla hata ya kuanza
Basi wewe baki hivyo hivyo, sina njia ya kukufanya utoke kwenye ujinga.
Unaandika mambo ya ajabu sana hapa; tena bila aibu!
 
Basi wewe baki hivyo hivyo, sina njia ya kukufanya utoke kwenye ujinga.
Unaandika mambo ya ajabu sana hapa; tena bila aibu!
Huwezi kutekeleza Mipango nyuma ya Keyboard Mkuu

Tukubaliane hakuna hao majasiri, wewe ikiwemo
 
Nadhani hiyo ni wrong approach ambayo itasababisha ccm wote waungane kumtetea m/kiti wao. Nice approach ni kumgombanisha sa100 na wanaccm wenzake.
Mtafanya kila njia. Hamtoweza.

Kazi ya Mungu haina makosa.
 
Ndiyo wakutaka hilo jambo bado hawajazaliwa

Maana sio Kwa uwoga wa Watanzania
🤣
Wanzania (ikiwemo wanajeshi) ni waoga sana, hata mimi ni muoga sana. Kama wao wangelikuwa sio waoga wangekataa kutumika na ccm kukandamiza wananchi na pia wangekataa kutumika kuharibu uchaguzi 🤣🤣🤣.

Uko sahihi, Sisi ni waoga tu 🤣🤣, hata wao ni waoga mno 🤣. Wasingekuwa waoga wangeshapindua kitambo, ila kwa kuwa ni waoga wao ni kupiga saluti na kufuata maagizo toka JUU 🤣

Uoga
 
Ukitaka kuamini hao jamaa nao ni waoga, angalia wanavyotumika kwenye matukio ya kiSiasa

Unakumbuka wakati Chadema wanataka kufanya maandamano, hao wa mabaka baka waliagizwa kufanya Usafi DSM yote?

Askari walikuwa majasiri ni wale wa miaka ya 80 kurudi nyuma, wale waliofanya majaribio ya kutaka kumpindua Mwalimu mara nne
 
Maandamano ya WANANCHI yanayoratibiwa na chama kikuu cha upinzani Chadema chini ya Mwenyekiti wake Freeman Mbowe.

Yameendelea kuungwa mkono
na wananchi mbalimbali huku
Mwanaharakati tishio Tanzania na Diaspora Mange kimambi akiyaunga mkono.

Kupitia mtandao wa Instagram mange ameweka clip huku akinukuliwa "guys nimeamua nijitokeze kwa njia ya clip maana kuandika inaniwia ngumu.... ni hivi maandamano ya wananchi yaliyotangazwa na chadema waingie barabarani niko tayari kuyaunga mkono na kuhamasisha watanzania wenzangu waliochoshwa na serikali hii ya kipumbavu...."
mange ameendelea kuishutumu serikali Kwa utekaji na utesaji unaondelea nchini baada ya kutekwa na kuuawa kwa Bwana Ali Mohamed Kibao kada wa chadema.

Duru za kisiasa zinasema kujitosa kwa mange kimambi kwenye Maandamano hayo kutatikisa nchi.
hivyo serikali inapaswa ifanyie kazi yale mambo ambayo Mwenyekiti wa chadema taifa Freeman Mbowe aliyo yataja kwenye mkutano wake na wanachadema jijini Dar es salam huku akiipa serikali siku kumi itoe majibu.
 
Back
Top Bottom