Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Ni sahihi, lakini sio Wananchi hawa wa Bongo ambapo ni rahisi kuwafanyiwa spinning Kwa kuwaletea Connection ya Wema SepetuChukulia mfano wa Gaddafi wa Libya, inawezekana wananchi wakiamua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni sahihi, lakini sio Wananchi hawa wa Bongo ambapo ni rahisi kuwafanyiwa spinning Kwa kuwaletea Connection ya Wema SepetuChukulia mfano wa Gaddafi wa Libya, inawezekana wananchi wakiamua
Nakubaliana na wewe, lakini suala la Jeshi kuasi hilo sahaulabda, ila kumbuka yeye ndo ali liheshimisha jeshi !!.
Yeye na ma mamvi wali ingiza intake kubwa ya watu.
Lakini waelewa kwanini ana badilisha manager wa duka la taarifa kila Mara??Nakubaliana na wewe, lakini suala la Jeshi kuasi hilo sahau
Inaweza kutumika njia shortcut ya kuhusisha watu wachache kutekeleza mission lakini sio Kwa Jeshi zima, Kuna watu wamevalishwa Vyeo naye Juzi tu hapo
Hiyo ni mbinu ya kujilinda, ndiyo maana ameamua kumleta wa kutoka Nchi ya mbali huku wale waliopita wakiwa kwenye uangalizi maalumu Kwa Kila hatua wanayopigaLakini waelewa kwanini ana badilisha manager wa duka la taarifa kila Mara??
Muoga Sana, mpaka mlinzi mkuu wa walinzi kabadilisha watatu.Hiyo ni mbinu ya kujilinda, ndiyo maana ameamua kumleta wa kutoka Nchi ya mbali huku wale waliopita wakiwa kwenye uangalizi maalumu Kwa Kila hatua wanayopiga
Ameamua kuishi naye Kwa style ya kwamba "Usiukate Mkono ukulishao" ama "Mchawi mpe mtoto akulelee" 🙌Muoga Sana, mpaka mlinzi mkuu wa walinzi kabadilisha watatu.
Sijui ita kuwaje, ila yule mzee ni kiboko nchi hii.
Sema uwanja Ali kosea kumshauri chuma, Eti muache mzee apukzukeAmeamua kuishi naye Kwa style ya kwamba "Usiukate Mkono ukulishao" ama "Mchawi mpe mtoto akulelee" 🙌
Hatari MkuuSema uwanja Ali kosea kumshauri chuma, Eti muache mzee apukzuke
Basi wewe baki hivyo hivyo, sina njia ya kukufanya utoke kwenye ujinga.Mkuu unazungumzia Nchi gani, hii hii Tanzania?
Kama ni Tanzania, hilo suala halitaweza kutokea hata baada ya miaka 100 ijayo
Ungejua Kuna watu walikuwa na ndoto kama yako, alipofariki JPM lakini kilitokea nini? Walishindwa kabla hata ya kuanza
Huwezi kutekeleza Mipango nyuma ya Keyboard MkuuBasi wewe baki hivyo hivyo, sina njia ya kukufanya utoke kwenye ujinga.
Unaandika mambo ya ajabu sana hapa; tena bila aibu!
Mtafanya kila njia. Hamtoweza.Nadhani hiyo ni wrong approach ambayo itasababisha ccm wote waungane kumtetea m/kiti wao. Nice approach ni kumgombanisha sa100 na wanaccm wenzake.
🤣Ndiyo wakutaka hilo jambo bado hawajazaliwa
Maana sio Kwa uwoga wa Watanzania
Ukitaka kuamini hao jamaa nao ni waoga, angalia wanavyotumika kwenye matukio ya kiSiasa🤣
Wanzania (ikiwemo wanajeshi) ni waoga sana, hata mimi ni muoga sana. Kama wao wangelikuwa sio waoga wangekataa kutumika na ccm kukandamiza wananchi na pia wangekataa kutumika kuharibu uchaguzi 🤣🤣🤣.
Uko sahihi, Sisi ni waoga tu 🤣🤣, hata wao ni waoga mno 🤣. Wasingekuwa waoga wangeshapindua kitambo, ila kwa kuwa ni waoga wao ni kupiga saluti na kufuata maagizo toka JUU 🤣
Uoga
Maandamano yanaazia-ga mitandaoni kwa miaka ya hivi karibuni mitandaoni ndio sehemu rahisi ya ku organised.Ma keyboard warriors wanaeleweka.........isije kua kama ya enzi za JPM siku ya tukio mji mweupeee
Chadema wanamuitaga Dada wa Taifa 😀😀Taka taka nyie
Mnadhani watanzania hawana kazi za kufanya
Taka taka nyie
Mnadhani watanzania hawana kazi za kufanya