greenwoods
JF-Expert Member
- Sep 21, 2020
- 2,328
- 3,955
Mama akiendelea kuwachekea hao kenge atajuta.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi kama mwananchi nahitaji maendeleo, katiba ipo tayari.Wananchi Wanataka KATIBA MPYA hatwishwi Mtu hapa
Wanaukumbi
Hakuna Mtanzania mwenye akili timamu asiyetambua umuhimu wa Katiba Mpya; tunapishana sehemu ndogo sana ‘timing’ na vipaumbele vya kitaifa kwa sasa viwe ni 1.Katiba Mpya au kupambana na 2.Janga la Corona na 3.Kuinua Uchumi na hali za wananchi masikini?
Sisi Watanzania tumechagua muhimu 2 na 3.
Mbowe na wafuasi wako mnachekesha sana hivi mnataka rais wetu afuate mnachotaka nyie kwa maslahi yenu?
Rais akitumia madaraka yake kama katiba unavyomtaka mtaanza tena kulia kuwa Tanzania hamna demokrasia.
Nakushauri Mbowe zile pesa mlizorudishiwa na mahakama jengeni ofisi kwanza ondokeni Ufipa mlilpopanga vyumba viwili hamna mtanzania anaweza kuwaamini wewe na kundi lako.
Mimi mbona staki katiba mpya acha kutusemeaWananchi Wanataka KATIBA MPYA hatwishwi Mtu hapa
Jinga wewe! Hopeless dumbfuck.Eti hatutokubali yaani wao ndiyo wanaona ndiyo wapinzani peke yao, wakati mwingine unaona sawa tul yue muhuni wa Hai alichokuwa anawafanyia.
Tena mapema iwezekanavyo....hao ni wahuni awashurukie
Jibu swali acha upopoma.Kwa hiyo mnataka afuate maneno ya kipuuzi ya Mbowe uchumi ndiyo utakuwa.
Wanaukumbi
Hakuna Mtanzania mwenye akili timamu asiyetambua umuhimu wa Katiba Mpya; tunapishana sehemu ndogo sana ‘timing’ na vipaumbele vya kitaifa kwa sasa viwe ni 1.Katiba Mpya au kupambana na 2.Janga la Corona na 3.Kuinua Uchumi na hali za wananchi masikini?
Sisi Watanzania tumechagua muhimu 2 na 3.
Mbowe na wafuasi wako mnachekesha sana hivi mnataka rais wetu afuate mnachotaka nyie kwa maslahi yenu?
Rais akitumia madaraka yake kama katiba unavyomtaka mtaanza tena kulia kuwa Tanzania hamna demokrasia.
Nakushauri Mbowe zile pesa mlizorudishiwa na mahakama jengeni ofisi kwanza ondokeni Ufipa mlilpopanga vyumba viwili hamna mtanzania anaweza kuwaamini wewe na kundi lako.
Cecil Mwambe nani alimfukuza ?Wananchi wanauliza Mbowe ni Mfalme Chadema? Kila siku kiongozi ni yeye atakayejaribu kugombea anafukuzwa chama alikuwepo wakati wa Mkapa, Kikwete, Magufuli, Samia, halafu anataka katiba daaah
Mapendekezo yake.Sawa hilo lipo wazi Rais juzi kasemaje?
Umemaliza.. 👏Wanachodai ni kitu muhimu ila aina ya uwasirishaji wa maombi yao umekua wa kibabe sana..Mbowe na wenzake wasidhani Ss wa Tz ni wajinga kiasi cha kuatarisha amani yetu kwaajili ya maslahi yao..Wakishakunywa Konyagi utaskia tukutane barabarani then yeye anaenda zake Dubai...atuache kwanza.